Itakubidi tu love.... thou naskia huwa kuna kauchungu fulani hivi but najua utakashinda.....
Kumbuka itabidi tuwe na familia na familia inakamilika baada ya kupata mtoto [emoji4] [emoji4]
Yes love kiasi chake huwa inapunguza maumivu na kufanya zoezi zima la parturition kuwa rahisi kabisa.....itapendeza tuingie wote labour room love,unipe support, ina raha yake....😉😉😉
Pole sana sanaMorogoro Hosp nikienda kujifungua pale, ukilia unapigwa kama mtoto, wale waupe mpaka wa napata wekundu kwa makofi. Mi hawakunipiga ila waliniulia mtoto.
Unanyanyaswa mpaka unaona hiki nini,,,sitasahau pale uchungu umekolea naambiwa nenda kafate dawa nje( sikujua kumbe wanataka rushwa) nikaanza kutambaa kwenda( kumbuka sakafu ya leba na serikalini uchafu wake) nilipofika mlangoni nikaskia we vipi wewe rudi,,utaendaje sasa
Aiseee I have a tale to tell
Shabiki maandazi, nikikatazwa ndio nafanya nilichokatazwaWanaume hamhusiki na hili kaeni mbali,karibuni wahusika!
Yes love kiasi chake huwa inapunguza maumivu na kufanya zoezi zima la parturition kuwa rahisi kabisa.....
Especially when i hold your hand na kukuambia sweet word woow unajikuta tu mtoto kazaliwa darling....
All credit to tou love maana bila wewe im nothing.....you are such understanding and caring darling,... cant wait for us to be a family...blessed Sunday,honey.
Mwili umenisisimka.... kwann hukuwashtaki??Morogoro Hosp nikienda kujifungua pale, ukilia unapigwa kama mtoto, wale waupe mpaka wa napata wekundu kwa makofi. Mi hawakunipiga ila waliniulia mtoto.
Unanyanyaswa mpaka unaona hiki nini,,,sitasahau pale uchungu umekolea naambiwa nenda kafate dawa nje( sikujua kumbe wanataka rushwa) nikaanza kutambaa kwenda( kumbuka sakafu ya leba na serikalini uchafu wake) nilipofika mlangoni nikaskia we vipi wewe rudi,,utaendaje sasa
Aiseee I have a tale to tell
Pole sanaMorogoro Hosp nikienda kujifungua pale, ukilia unapigwa kama mtoto, wale waupe mpaka wa napata wekundu kwa makofi. Mi hawakunipiga ila waliniulia mtoto.
Unanyanyaswa mpaka unaona hiki nini,,,sitasahau pale uchungu umekolea naambiwa nenda kafate dawa nje( sikujua kumbe wanataka rushwa) nikaanza kutambaa kwenda( kumbuka sakafu ya leba na serikalini uchafu wake) nilipofika mlangoni nikaskia we vipi wewe rudi,,utaendaje sasa
Aiseee I have a tale to tell
Kuna watu wanapenda kesi balaa, hata ukimtazama anaweza kukushtaki. Manesi hutoa maneno ya kebehi ili uwahi kujifungua.Mwili umenisisimka.... kwann hukuwashtaki??
Nyie ndio mnaowaendekeza hao makatili kwa kunyamza na kusema "Mungu atahukumu"... My God i wish ningekua ndio mumeo halafu unaniambia hayo ulofanyiwa.. God Forbid.
Yani mi naogopa hicho kitendo,hua nawaza hiyo siku itakuajepoleni,kama kuna jambo naliogopa maishani ni kuzaa lol
Manesi wanatoa maneno ya kebehi ili uwahi kujifungua.Kuna watu wanapenda kesi balaa, hata ukimtazama anaweza kukushtaki. Manesi hutoa maneno ya kebehi ili uwahi kujifungua.
Pole sana mpendwaMorogoro Hosp nikienda kujifungua pale, ukilia unapigwa kama mtoto, wale waupe mpaka wa napata wekundu kwa makofi. Mi hawakunipiga ila waliniulia mtoto.
Unanyanyaswa mpaka unaona hiki nini,,,sitasahau pale uchungu umekolea naambiwa nenda kafate dawa nje( sikujua kumbe wanataka rushwa) nikaanza kutambaa kwenda( kumbuka sakafu ya leba na serikalini uchafu wake) nilipofika mlangoni nikaskia we vipi wewe rudi,,utaendaje sasa
Aiseee I have a tale to tell
Thank yousorry
ahsante dearPole sana sana
Sasa hiyo trela,,,kuna kubwa mbili ndo nikikumbuka naliaga tuuMwili umenisisimka.... kwann hukuwashtaki??
Nyie ndio mnaowaendekeza hao makatili kwa kunyamza na kusema "Mungu atahukumu"... My God i wish ningekua ndio mumeo halafu unaniambia hayo ulofanyiwa.. God Forbid.
AhsantePole sana mpendwa
Hakuna,, havihusiani.kuna Dada niliyekua naye,,alikua na tumbo limekaa km Chungu afu liko juu halijashuka na siku zimefika,,waliitana wanacheka njooni muone tumbo gani hili,,,tumbo kibuyu,,aisee nilijionea maajabu ya dunia,,,Manesi wanatoa maneno ya kebehi ili uwahi kujifungua.
Sina la kukujibu zaidi ila you are so pathetic and dump.