Wanawake tubadilishe mitazamo juu ya wanaume

Utamchezea nan wewe ikiwa huna kitu?tafuta hela baba,acha kulialia
Atakaye kubal kufanywa single mom na wewe atakuwa mwehu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akili zako hizi nani akupe hela !!
Kumbe mwandiko wa mtu unabainisha hana ela !?.

Unategemea nikwambie nina hela ili iweje ! kwa mtu kama wew...

Nisimtunze mke wangu nijipe mkosi kwa kuhonga gumegume...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za asubuh wana nzengo.

Ijumaa baada ya kutoka kazin,nilipita sehemu kupiga mbili tatu kabla sijarud nyumban.

Ikatokea nikakaa meza moja,ilikuwa ina kinywaji Ila hakijafunguliwa,akaja muhudumu nikamuuliza kuna mtu hapa?akajibu yupo ila katoka kidogo,nikamwambia ok,naomba nitafutie meza nyingine,akanambia haina shida we keti tu.Akachukua oda yangu ya chakula ,wakati nakisubir nikamwagiza chupa ya wine nikawa napiga mdogomdogo.

Baada ya dk 20 akaja baba mmoja nadhan yuko kwenye 50's something years, akaniuliza mbona umekaa meza yangu,nikamjibu baba samahan,ila nilimuuliza muhudumu akaniambia niketi tu,lakin kama hutojal wacha nitafute meza nyingine,akajibu kaa tu,ila akawa anaondoka,nikamwambia karibu tuketi wote. Akaniuliza siwezi pigwa?nikamwambia,kuwa na amani manake nilikwenda alone.

Basi akakaa,akaagiza nami msos ukaja nikala,nikaendelea na wine yangu.Sasa katika mazungumzo nilijifunza mengi sana kwake.Nikajajua pia ni mmiliki wa ile bar.Bonge la baa inayoingiza pesa nyingi sana kwa vinywaj na vyakula.

La muhimu na msingi,alinambia binti ,kamwe usimtegemee wala kumwamini mwanaume.Daima tafuta hela zako,jiwekeze,pata watoto utakao wamudu wewe kama mama,baba akihudumia ama asichangie ,malezi na mahitaj ya wanao yasiyumbe,kwani watoto ni wamama.

Alonambia haya,ni mwanaume,ana biashara nyingi nzuri,ana hela ya kutosha na ana mke na watoto wawili,ila anasema anamuheshimu sana mwanamke independent, kwa maana ya mwanamke anayeweza jisimamia yeye na uzao wake.

So wasichana na wanawake tujipange,tusiwe tegemezi.Mie ndio sababu sidate mwanaume kapuku kamwe,haimaanishi Mwenye hela atanipa,no ila mwanaume asiye na kitu ni gunia la misumari.Ila Mwenye nacho siku ukikwama atakuboost.

Tujiongeze January hii,tujitegemee ila pia usidate kapuku ,kwani fedha inafuata fedha zenzake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Walahi baada ya siku mbili mtayasahau.
 
Amekuwini tayari. Ana hela m-date ukikwama atakuboost

Shida haijirudii
 
tafsiri halisi ya neno au mtu kapuku ipoje?
naomba msaada Khantwe
Kapuku inategemea na yule anayepima ukapuku ana hali gani kwa kweli. Mimi hapa naweza kuona kapuku ni yule aliyepanga chumba kimoja uswahilini, hana kazi ya maana yaani anaungaunga tu, mwingine mtu mwenye kipato chini ya M1 kwa mwezi atamuona kapuku, mwingine kama haumiliki gari, nyumba n.k utaitwa kapuku e.t.c

kapuku inahusiana na hali ya kiuchumi tu?
tofauti na masikini....maana tunasikia kuna na umasikini wa fikra!! je hakuna kapuku wa fikra?
 
Siku ukikutana namgegedo wa maana utakuja NA mada nyengine
 
Habari za asubuh wana nzengo.

Ijumaa baada ya kutoka kazin,nilipita sehemu kupiga mbili tatu kabla sijarud nyumban.

Ikatokea nikakaa meza moja,ilikuwa ina kinywaji Ila hakijafunguliwa,akaja muhudumu nikamuuliza kuna mtu hapa?akajibu yupo ila katoka kidogo,nikamwambia ok,naomba nitafutie meza nyingine,akanambia haina shida we keti tu.Akachukua oda yangu ya chakula ,wakati nakisubir nikamwagiza chupa ya wine nikawa napiga mdogomdogo.

Baada ya dk 20 akaja baba mmoja nadhan yuko kwenye 50's something years, akaniuliza mbona umekaa meza yangu,nikamjibu baba samahan,ila nilimuuliza muhudumu akaniambia niketi tu,lakin kama hutojal wacha nitafute meza nyingine,akajibu kaa tu,ila akawa anaondoka,nikamwambia karibu tuketi wote. Akaniuliza siwezi pigwa?nikamwambia,kuwa na amani manake nilikwenda alone.

Basi akakaa,akaagiza nami msos ukaja nikala,nikaendelea na wine yangu.Sasa katika mazungumzo nilijifunza mengi sana kwake.Nikajajua pia ni mmiliki wa ile bar.Bonge la baa inayoingiza pesa nyingi sana kwa vinywaj na vyakula.

La muhimu na msingi,alinambia binti ,kamwe usimtegemee wala kumwamini mwanaume.Daima tafuta hela zako,jiwekeze,pata watoto utakao wamudu wewe kama mama,baba akihudumia ama asichangie ,malezi na mahitaj ya wanao yasiyumbe,kwani watoto ni wamama.

Alonambia haya,ni mwanaume,ana biashara nyingi nzuri,ana hela ya kutosha na ana mke na watoto wawili,ila anasema anamuheshimu sana mwanamke independent, kwa maana ya mwanamke anayeweza jisimamia yeye na uzao wake.

So wasichana na wanawake tujipange,tusiwe tegemezi.Mie ndio sababu sidate mwanaume kapuku kamwe,haimaanishi Mwenye hela atanipa,no ila mwanaume asiye na kitu ni gunia la misumari.Ila Mwenye nacho siku ukikwama atakuboost.

Tujiongeze January hii,tujitegemee ila pia usidate kapuku ,kwani fedha inafuata fedha zenzake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio mkae mkijua kuwa hampa mapenzi wafu wanaangalia mfuko wako una urefu gani...kuoa ni kugegedana tuu story za mapenzi ni za baada ya mwisho wa dunia
 
Unazunguuuuka ila unarudi kule kule.

Anyway tunatafuta vya kwetu ila vyao nanyo ni vyetu, hilo wasilisahau.
 
Hili la single mothers linasikitisha sana na linasababishwa na jinsia zote mbili.

Ndo maana wanawake wakileo watabaki tu kuchezewa.

Asa mtu hata ndoa hujaionja unatoa ushauri wa namna hii na mwngine nae kweli anafata single mom wasiongezeke kweli !!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom