BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Hapana nasema kweli kabisa kapuku wa leo si kapuku wa kesho. Inategemea na mtazamo wake wa maisha na jinsi alivyojipanga kutafuta kwa halali.
Haha asante BAK I hope haunipaki mafuta kwa mgongo wa chupa[emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app