General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,187
Huu uzi hawataki kapuku sijuiHii mitandao bwana, Wanawake kwa kuji proud alafu mwisho wa siku wanabaki bila option
So wasichana na wanawake tujipange,tusiwe tegemezi.Mie ndio sababu sidate mwanaume kapuku kamwe,haimaanishi Mwenye hela atanipa,no ila mwanaume asiye na kitu ni gunia la misumari.Ila Mwenye nacho siku ukikwama atakuboost.
Tujiongeze January hii,tujitegemee ila pia usidate kapuku ,kwani fedha inafuata fedha zenzake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kutoa ushauri ila mapenzi sio ukapuku wala maduka makubwa, biashara kubwa na vingine unavyovisema.. mapenzi ni hisia na moyo.. hapo wewe umeongelea tamaa za kibinadamu na sio mapenzi.. so tofautisha moyo ukipenda na tamaa zikitawalaHabari za asubuh wana nzengo.
Ijumaa baada ya kutoka kazin,nilipita sehemu kupiga mbili tatu kabla sijarud nyumban.
Ikatokea nikakaa meza moja,ilikuwa ina kinywaji Ila hakijafunguliwa,akaja muhudumu nikamuuliza kuna mtu hapa?akajibu yupo ila katoka kidogo,nikamwambia ok,naomba nitafutie meza nyingine,akanambia haina shida we keti tu.Akachukua oda yangu ya chakula ,wakati nakisubir nikamwagiza chupa ya wine nikawa napiga mdogomdogo.
Baada ya dk 20 akaja baba mmoja nadhan yuko kwenye 50's something years, akaniuliza mbona umekaa meza yangu,nikamjibu baba samahan,ila nilimuuliza muhudumu akaniambia niketi tu,lakin kama hutojal wacha nitafute meza nyingine,akajibu kaa tu,ila akawa anaondoka,nikamwambia karibu tuketi wote. Akaniuliza siwezi pigwa?nikamwambia,kuwa na amani manake nilikwenda alone.
Basi akakaa,akaagiza nami msos ukaja nikala,nikaendelea na wine yangu.Sasa katika mazungumzo nilijifunza mengi sana kwake.Nikajajua pia ni mmiliki wa ile bar.Bonge la baa inayoingiza pesa nyingi sana kwa vinywaj na vyakula.
La muhimu na msingi,alinambia binti ,kamwe usimtegemee wala kumwamini mwanaume.Daima tafuta hela zako,jiwekeze,pata watoto utakao wamudu wewe kama mama,baba akihudumia ama asichangie ,malezi na mahitaj ya wanao yasiyumbe,kwani watoto ni wamama.
Alonambia haya,ni mwanaume,ana biashara nyingi nzuri,ana hela ya kutosha na ana mke na watoto wawili,ila anasema anamuheshimu sana mwanamke independent, kwa maana ya mwanamke anayeweza jisimamia yeye na uzao wake.
So wasichana na wanawake tujipange,tusiwe tegemezi.Mie ndio sababu sidate mwanaume kapuku kamwe,haimaanishi Mwenye hela atanipa,no ila mwanaume asiye na kitu ni gunia la misumari.Ila Mwenye nacho siku ukikwama atakuboost.
Tujiongeze January hii,tujitegemee ila pia usidate kapuku ,kwani fedha inafuata fedha zenzake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu uzi hawataki kapuku sijui
Then kuna uzi wa hudda kule wanasema huwezi hisha utajiri kwa kuwa na billionea.
Yaani wanawake/wasichana basi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo mkuu kunamanzi yangu alitaka turudiane akajaniambia alikuwa na mwanaume ambaye ye ndo anampa hela kila mda yani hataki mishemishe ila anaomba hela kwa demu wake na kibaya zaidi alivyomuacha jamaa analia na kubembelezaUkimchunguza background yake atakua na shida inamsumbua khantwe
Ni nzuri kaka!
Teh kwahyo kuzunguka kote huku mwenzako we umekuja mmaliza na mstari mmoja hahahah ila ndo ukweli juu kaanza vizur chini dahKiufupi unadanga
Ungeanza kumu-approach huyo huyo mzee. Maana bila shaka atakuwa si kapuku.Habari za asubuh wana nzengo.
Ijumaa baada ya kutoka kazin,nilipita sehemu kupiga mbili tatu kabla sijarud nyumban.
Ikatokea nikakaa meza moja,ilikuwa ina kinywaji Ila hakijafunguliwa,akaja muhudumu nikamuuliza kuna mtu hapa?akajibu yupo ila katoka kidogo,nikamwambia ok,naomba nitafutie meza nyingine,akanambia haina shida we keti tu.Akachukua oda yangu ya chakula ,wakati nakisubir nikamwagiza chupa ya wine nikawa napiga mdogomdogo.
Baada ya dk 20 akaja baba mmoja nadhan yuko kwenye 50's something years, akaniuliza mbona umekaa meza yangu,nikamjibu baba samahan,ila nilimuuliza muhudumu akaniambia niketi tu,lakin kama hutojal wacha nitafute meza nyingine,akajibu kaa tu,ila akawa anaondoka,nikamwambia karibu tuketi wote. Akaniuliza siwezi pigwa?nikamwambia,kuwa na amani manake nilikwenda alone.
Basi akakaa,akaagiza nami msos ukaja nikala,nikaendelea na wine yangu.Sasa katika mazungumzo nilijifunza mengi sana kwake.Nikajajua pia ni mmiliki wa ile bar.Bonge la baa inayoingiza pesa nyingi sana kwa vinywaj na vyakula.
La muhimu na msingi,alinambia binti ,kamwe usimtegemee wala kumwamini mwanaume.Daima tafuta hela zako,jiwekeze,pata watoto utakao wamudu wewe kama mama,baba akihudumia ama asichangie ,malezi na mahitaj ya wanao yasiyumbe,kwani watoto ni wamama.
Alonambia haya,ni mwanaume,ana biashara nyingi nzuri,ana hela ya kutosha na ana mke na watoto wawili,ila anasema anamuheshimu sana mwanamke independent, kwa maana ya mwanamke anayeweza jisimamia yeye na uzao wake.
So wasichana na wanawake tujipange,tusiwe tegemezi.Mie ndio sababu sidate mwanaume kapuku kamwe,haimaanishi Mwenye hela atanipa,no ila mwanaume asiye na kitu ni gunia la misumari.Ila Mwenye nacho siku ukikwama atakuboost.
Tujiongeze January hii,tujitegemee ila pia usidate kapuku ,kwani fedha inafuata fedha zenzake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah kudadeki eti analia kazi ipoWapo mkuu kunamanzi yangu alitaka turudiane akajaniambia alikuwa na mwanaume ambaye ye ndo anampa hela kila mda yani hataki mishemishe ila anaomba hela kwa demu wake na kibaya zaidi alivyomuacha jamaa analia na kubembeleza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie nilikwenda kwa ishu zanguUngeanza kumu-approach huyo huyo mzee. Maana bila shaka atakuwa si kapuku.
Unaturushia ndege zetu sisi wakulima wa korosho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utamchezea nan wewe ikiwa huna kitu?tafuta hela baba,acha kulialiaNdo maana wanawake wakileo watabaki tu kuchezewa.
Asa mtu hata ndoa hujaionja unatoa ushauri wa namna hii na mwngine nae kweli anafata single mom wasiongezeke kweli !!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mm namsaka mwanamke wa kuzaa nae ila tiari Nina familia...kama upo tiari nianze kutema matumizi kabla ya kukugusa[emoji1787][emoji41][emoji41]Utamchezea nan wewe ikiwa huna kitu?tafuta hela baba,acha kulialia
Atakaye kubal kufanywa single mom na wewe atakuwa mwehu
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora mwanaume suruali?