Wanawake this is the harsh reality

Anaemiliki huyu mtu aoe haraka , kuna mwanamke hapa
 
Kama hujavuka miaka 45 hujachelewa sana,unaweza kuwa na matumaini kwa mbali.
 
Sema na sisi wanaume tusijiweke kwny kinvuli cha uanaume kutesa watoto wa watu natural tu mke ni mvumilivu sana sasa wengine huingiza hata wanawake wengine chumban kwao mbaka mke anapambana na ww ujue umefanya mengi ya kijinga
Utakuwa na asili ya upumbavu kama utamuingizia mkeo malaya ndani. Mwanamke ambaye anakupa nafasi ya kutamba kama kidume with full respect.
 
Acha ligi isio na msingi...Mwanaume ukimtii na kumuheshimu automatically atakuthamini na kukupenda kama lulu. Mbona unatumia nguvu sana kujaribu kuleta msuguano baina ya pande mbili. Ukiwa neutral utavunjika popote?

Kitu cha maana ambacho wanaume tunatakiwa tujifunze ni kwamba sio kila mwanamke anafaa kuwa kwenye mahusiano na mwanaume. Wewe ukishaona mwanamke ambae anapenda ligi kwenye kila kitu ujue huyo sio wife material, kwahiyo kaa nae mbali. Wanawake dizaini hiyo ni pasua kichwa hata ukiwa nae ni tabu tupu.
 
Hakuna wanawake wanawake pasua kichwa na wanaokera kama wale wanaotaka kuleta ligi katika mahusiano.
Kuna wanawake wanaamua ku pick up fights ambazo sio za lazima. Kama ukiwa neutral hutavunjika popote kwanini usichague kuwa neutral. Kuleta ligi katika mahusiano hakuleti afya zaidi ya mifarakano. Hili ndio feminist wengi linawagharimu
 
Kweli mkuu ni kujiepusha nao tu.
 
Wewe usiyetaka kuwa mvumilivu kaolewe na ibilisi basi ,LA sivyo utabaki kuwa mdangaji na masela watakichezea hadi kichakae.
 
Wewe wa pwani leo umenifurahisha umeongea point, usishindane na mume, mtaishia kuwa akina Joyce kiria
 
Wewe ni feminist kama Joyce kiria huna lolote, harafu inaonekana ni jeuri na unapenda kushindana na wanaume.

Kumbuka huwezi kwenda haja ndogo ukiwa umesimama razima uchutume,

Tulia utajizeekea mwenyewe shauri yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…