Wanawake this is the harsh reality

Sema na sisi wanaume tusijiweke kwny kinvuli cha uanaume kutesa watoto wa watu natural tu mke ni mvumilivu sana sasa wengine huingiza hata wanawake wengine chumban kwao mbaka mke anapambana na ww ujue umefanya mengi ya kijinga
Wewe ni mbegu ambayo ipo hatarini kupotea duniani..
 
Ukiona tu mwanamke wako anahudhuria sana vi kongamano vya mwanamke na uongozi, sijui anamfwatilia joyce kiria tegemea mabadiliko makubwa sana yanakuja na dharau zinakaribia.
 
Tunapenda kuwa wema kwenu ila shida mwanamke ukimpa likizo ya stress anakuona zoba at the end 😂😂😂
 
Wanaume waliotulia wanafurahia ndoa zao. We uliskia wapii?!
Hamna wanaume wenye stress kama ambao wameamua ku stick na mwanamke mmoja. Mie ni shahidi na nikikusimulia mapito yangu unaweza ukatamani kumuacha mmeo uje kwangu 😂😂😂.

Yani sijui inakuwagaje but ukitokea umetulia basi lazma patner wako atakuletea uxenge tu. Kiburi dharau kejeli, kufanyiwa comparison na akina flani mara uonekane zoba. Ila eversince nimebadili upepo sahivi ndio napigiwa simu mie kila saa yani nainjoy kuwa baharia. I feel wanted
na kale ka wivu ka kike all the time.
 
pendomamtefu ishi na hiyo mama
 
pole sana kwa yaliyokukuta
 
Ukiona tu mwanamke wako anahudhuria sana vi kongamano vya mwanamke na uongozi, sijui anamfwatilia joyce kiria tegemea mabadiliko makubwa sana yanakuja na dharau zinakaribia.
Ha ha ha doooh
 
Mpe mawe mpe mawe huyo feminist, atakuwa wa kibosho huyu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimevumiLia replies zote ila gii nimeshindwa. Hivi kwanini wanawake wa kibosho ni wakorofi sana? Anyways, bado nawapendaga. Karibuni Rombo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
"Two alphas can't exist on the same territory".
Caption that [emoji115]
 

Mbona kama unajichanganya, maana post yake haijaonesha popote kama amekuwa abussed ila wewe umeonesha hilo kwenye post yako!
Nini kimekupata? Hadi kukuchanganya kiasi hicho?
 
😘
 
You sound bitter whats the problem...
 
Mkuu umepata likes 95 soon zinafika 100.

Unajielewa sana.,
 
Umeongea vyema sana.Ndoto yangu ni kupata mwanamke wa aina hii.Mwanamke mnyenyekevu na mtiifu asiye na kiburi wala dharau
 
"Enyi wanawake watiini na kuwaheshimu waume zenu "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…