Kwani bikra alikuwa peke yake dunia nzima wakati huo?
Ungejaribu kuvivaa viatu vya hawa vijana wa sasa linapokuja suala la kuoa ungeona mateso wanayoyapitia
Ukimchagua mwanamke unategemea angalau akidhi hata robo ya mahitaji yako
Sasa wa siku hizi, ukimuoa tuu ujue umeleta fundi tabia wa ndani,
Halafu anashindwa kujua kabisaaa kwamba umempendelea yeye ataona kama umepata ngekewa kumuoa yeye.
Tukubaliane tuu kwamba,
Sasa hivi kwa akina dada au wanawake wanaamini ukimuoa umebahatika na hukustahili, kwani yeye anajiona sio levo zako,
Wakina kaka au wanaume, akiangalia kundi aliloliweka kwenye mchujo na mchakato wa kuoa ulivyokuwa anakuona kama ulipendelewa vile.
Nini kifanyike?
Unapo amua kuolewa au kuoa anza ukurasa mpya wa maisha, sahau yaliyopita jengeni kadri ya mapngufu yenu. Mbebeane madhai, kila mmoja akubali kuonywa na kuelekezwa na mwenzake
Mfundishane msitishiane
Kosa kubwa.
Kumlinganisha mwenzio na wakwako waliopita hapa mtaumia aseeeee