Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,494
Ukitaka tuwe hivyo basi na nyie anzeni kufanya kazi za nyumbani na kulea watoto kwa ukamilifu yaani kupika kufua kuosha vyombo kufanya usafi na kulea watoto maana hata wanaume wa kizungu hayo wanayafanya tena wanaona ni kawaida sana na kwa wazungu siyo ajabu mwanaume kuamka asubuhi kumuandalia mkewe chai huku mkewe amelala ila sema tu ukweli hilo africa linawezekana?Ila hata maandiko ya biblia imeandikwa mwanamke ni msaidz kwa mwanume,..alafu utamaduni wetu unafanya nyinyi hali iwe hvyo,kumbuka hata hayo mabara mengn yako hvyo,lakn ni sheria tu ndo inatumika na ndo iliweka usawa huo,ila sio kwamba na wao wanataka hapana
Wanawake wetu pia uwa wanajshusha thamani wenyew kitu ambacho kinamfanya mwanaume aendelee kujioana mbabe,hivi nithakueshimu vipi na kila ktu unanitegemea nikupe mimi mpaka hela ya vocha....ila wewe huwez kuninunulia vocha hapana.
Ukitaka tueshimiana tuwaige wenzetu amabo hata hela ya nyanya wanachanjia hela kununua.ila hali ni tofaut kabisa na sheria zetu.ila wenzetu ziko hvyo na ndomana wanaeshimiana kwamaana kwamba kila mtu anamchngo kwny familia na matumiz hayaegamii upand mmoja kama tulivyo waafrica.
Naamn ukiwa mwanamke ambae hufkrii psaa ya mwanaume au vocha toka kwa mwanaume,naamn kila mwanaume atakueshimu....
Kwahiyo usitulaumu sisi kuwategemea nyie kiuchumi ni kutokana na mgawanyo wa majukumu kwa sababu ukiangalia wanaume majukumu yetu mnaweza kuyafanya vizuri kabisa majukumu ambayo hamuwezi ni kubeba mimba kuzaa watoto na kunyonyesha watoto na hiyo ni kutokana na maumbile lakini majukumu mengine yote mnayaweza ila kwanini hamfanyi mnategemea sisi ndo tuwafanyie? Nijibu hili
