Wanawake stress nyingine tunazitafuta

Wanawake stress nyingine tunazitafuta

Mmekaa sitting room mnaangalia taarifa ya habari, simu ya mr inaita, anaamka anachukua simu, ameamua kuongelea chumbani. Baada ya maongezi anarudi anakukuta mwanamke umeumuka kama umetiwa hamira, aliyepiga simu ni nani?
Kama ungetakiwa kumjua au kujua wanayoongea asingeenda chumbani, yeye ni mtu mzima anahitaji privacy yake. Kama anataka kukopa hela je?
Mimi ninaamini kama katika wote amenichagua mimi, hata akitoka wala sina wasiwasi ninajua atarudi. Simu ikipigwa ninampelekea kama yuko mbali, hata kama caller’s name ni Joyce siulizi kwani mwenye pete ya ndoa ni mimi.
Uache kulala usingizi wako mzuri unamsubiri mtu ambae yuko kwenye bata lake huko au ndiyo anashughulikia ada za watoto. Mradi tu awe na adabu ya kunijulisha kuwa atachelewa.

Hii inamuhusu mtu wangu direct ni msumbufu kupita kiasi
 
we mtoto where are u ? i want to give ya a biiiiiiiiiiiig hug and a looooonnnggg Kiss.
What a statement !!!!!!!!!
 
Hamna anayefanya kosa makusudi
Basi na wewe nijibu hili swali kwahiyo wanaume mnafanya makosa kwa makusudi mkitegemea kwamba wake zenu watawaheshimu na kuwavumilia si ndiyo? Ndo heshima mnayoitaka hiyo? Mbona nimeuliza hili swali mara kibao ila hadi sasa hamna mwanaume anayejibu hili mnazunguka jibuni hili basi labda mimi ndo siwaelewi
 
Nilikua nasoma kama guest ila hapa nimelazimika ku log in.....
Kama wanawake wote wangekua na mtazamo kama huu wallah dunia ingekua mahala salama sana pa kuishi.Halafu msichokijua nyie mkiacha kufuatilia fuatilia huwa tunaingia wenge flani,kuna hali mtu anajjistukia.
Aisee,kuna watu wana bahati sana
Yaaap,nakubaliana na wewe, unajikuta una self discipline tu, ze more unavyombana mtu ndio ze more anavyotafuta mbinu mpya.
 
Basi na wewe nijibu hili swali kwahiyo wanaume mnafanya makosa kwa makusudi mkitegemea kwamba wake zenu watawaheshimu na kuwavumilia si ndiyo? Ndo heshima mnayoitaka hiyo? Mbona nimeuliza hili swali mara kibao ila hadi sasa hamna mwanaume anayejibu hili mnazunguka jibuni hili basi labda mimi ndo siwaelewi
Hujui kwamba sisi ni wadhaifu. Na pia tunataman??? Mnatakiwa mvumilie na muache kufatilia fatilia mtakufa siku kabla ya zenu
 
Back
Top Bottom