Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Kumbe???Tatizo mnapotafuta ada mnatafuta na watoto wengine
Kumbe???Tatizo mnapotafuta ada mnatafuta na watoto wengine
Hivi kweli kwenye ndoa kuna vitu vingine vya kufichana zaidi ya michepuko? Basi nasikitika kusema kuwa hatujui nini maana ya ndoa na nini maana ya kuwa mwili mmojaKukemea kwa sabab anaongea na simu pembeni???Kukumbusha kupo kama kuna moja mbili tatu nk lkn si kumfanya akose uhuru na simu yake
Haha nimependa response yako nilikuwa najiandaa kukinga damuHahaha kwanini?? Fanya kutetea hoja yako
Hahahahaahahahahah! SikuweziNimetulia jamani ule ujumbe si uliuona.... Hapa tunachangamsha kijiwe
Kwahiyo dunia ndo ingekuwa sehemu salama baada ya nyie kuchepuka?Yes
Kauli mbiu yake ni mwanaume hachunguzwi
Kumchunguza mwanaume ni kujitafutia msongo wa mawazo.
Unajifanya hujuiKumbe???
Ukifikia hapo uwe ushaomba usafishiwe chumba kwa babaako maana unarudi mda si mrefu kwenu. Hivi nyie watoto mlikulia kwenye nyumba gani jamani? Au mmekuzwa vituoni? The way your mom respected your father is the way you have to respect your man. Period!!!Swali ni je hilo hata wanaume wanaweza kufanya? Yaani mke simu inaingia anaenda kuongelea chumbani halafu mume kakaa tu hana hata wasiwasi na wala haulizi ni nani aliyepiga simu?
Wanawake tunaweza ila na wanaume wanaweza? Na wao wakiweza basi hakika ndoa itakuwa tamu zaidi ila siyo hawa wanaume wa kiafrika kila kitu utasikia "mimi ndo mwanaume humu ndani na mimi ndo niliyekuoa" ishiii kwahiyo?
No my friend I am not controlling and I wouldn't want to be like that mimi nadhani haujanielewa tu au labda nikuulize hili swali ina maana unataka kusema kwamba mke akifanya makosa mume wake apaswa amuadhibu ila mume akifanya makosa mke hatakiwi kuongea chochote akae tu kimya? Hebu nijibu kwanza hapoSasa cha kuomba ni kupata mume muaminifu ila sio kulazimisha mume wako awe muaminifu. Kama hujabahatika kupata jamaa anayeheshimu hisia zako to an extent asiwe ana cheat ukapata kichaa ujue utateseka sana.
Piga sana dua, wanaume tunatofautiana sana. And from a closer look you seem to be so controlling. Hio sio character nzuri try to change.
Hakika, maana ukiongea pale pale utaskia "umenificha umalaya wakoooo weeee Leo kwa jinsi ulivyonichoka umeamua kunidhihirishia"Hata moja hamna yani😂 sasa si bora mtu uchague nafuu kwako. Bora nikaongelee pembeni nijiachie nkirudi tugombane vyema
Ukifikia hapo uwe ushaomba usafishiwe chumba kwa babaako maana unarudi mda si mrefu kwenu. Hivi nyie watoto mlikulia kwenye nyumba gani jamani? Au mmekuzwa vituoni? The way your mom respected your father is the way you have to respect your man. Period!!!
Hoja zako humu zinanivutia piaUmeona eheee,na anajua anapaswa akufanyie nini na kwa wakati gani,tunakosa kujiamini sana ndio tatizo letu
Hakika, maana ukiongea pale pale utaskia "umenificha umalaya wakoooo weeee Leo kwa jinsi ulivyonichoka umeamua kunidhihirishia"
Hawana jema hawa kina zeshchriss na Khantwe




Basi na wewe nijibu hili swali kwahiyo wanaume mnafanya makosa kwa makusudi mkitegemea kwamba wake zenu watawaheshimu na kuwavumilia si ndiyo? Ndo heshima mnayoitaka hiyo? Mbona nimeuliza hili swali mara kibao ila hadi sasa hamna mwanaume anayejibu hili mnazunguka jibuni hili basi labda mimi ndo siwaelewiUkifikia hapo uwe ushaomba usafishiwe chumba kwa babaako maana unarudi mda si mrefu kwenu. Hivi nyie watoto mlikulia kwenye nyumba gani jamani? Au mmekuzwa vituoni? The way your mom respected your father is the way you have to respect your man. Period!!!
Ndiyo wanachotaka ila wanashindwa kujibu moja kwa moja wanazunguka tuKumbe kurespect mtu ni kumuacha achepuke kwa uhuru....sikujua aisee
Sio Kuchepuka tu, bali kufanya mambo yako kwa uhuru bila kufatiliana na kuchunguzana kama vile umefuga Li FBI ndani.Kwahiyo dunia ndo ingekuwa sehemu salama baada ya nyie kuchepuka?
Astaghfirullah astaghfirullahKwamba mtu akichepuka anakuwa kadhamiria toka rohoni hapana, that's not always the case. Muda mwingine anajikuta amechepuka tu kwa kuwa vishawishi vimemzidi nguvu
Me nlikuwa sijui. Ahsante kwa kunijuzaUnajifanya hujui