Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,720
- 15,352
Ahsant 👏👏👏Hoja zako humu zinanivutia pia
Ahsant 👏👏👏Hoja zako humu zinanivutia pia
Unajua sometimes tunadanganya mpaka tunasahau tulidanganyaje the previous time😀😀😀😀😀😀Unajifanya hujui
[/QUO
Muone vileeee
Sasa jamani si wanaume wenyewe mnakiri kuwa hakuna mwanaume asiyechepuka chini ya jua? Nyie wenyewe ndo mnawajengea wake zenu hiyo mentality kuwa hakuna mwanaume asiyechepuka kwahiyo wanaingia kwenye ndoa wakiwa na mawazo kwamba nina mume anayechepuka sasa hapo haina haja ya ushahidi tena maana mmeshayafanya maneno yenu kuwa ni sheriaSio Kuchepuka tu, bali kufanya mambo yako kwa uhuru bila kufatiliana na kuchunguzana kama vile umefuga Li FBI ndani.
Mara nyingi wanawake hua mnaongozwa na hisia, unaweza ukahisi tu jambo bila hata kua na ushahidi wa uhakika halafu ukaleta tafrani ndani ya nyumba mpaka nyumba inageuka kua ni uwanja wa vita.
Mungu wangu!Wanaume wasiojua kufunga zipu wameufurahia huu uzi mpaka sio vizuri
Yaani mna matatizo ya gender yenu tu
Aamen! Na iwe hivyo, ntafuatilia nioneMumalizane pale ukiingia mlango wa home basi yasitokee ya kupiga simu wala kutuma messages
Ujumbe mzuri sana,Mimi nikinyanyuka kwenda kuongea na simu lazima waifu anifuate kwa nyuma,kumbe naongea na ndugu zangu,Mmekaa sitting room mnaangalia taarifa ya habari, simu ya mr inaita, anaamka anachukua simu, ameamua kuongelea chumbani. Baada ya maongezi anarudi anakukuta mwanamke umeumuka kama umetiwa hamira, aliyepiga simu ni nani?
Kama ungetakiwa kumjua au kujua wanayoongea asingeenda chumbani, yeye ni mtu mzima anahitaji privacy yake. Kama anataka kukopa hela je?
Mimi ninaamini kama katika wote amenichagua mimi, hata akitoka wala sina wasiwasi ninajua atarudi. Simu ikipigwa ninampelekea kama yuko mbali, hata kama caller’s name ni Joyce siulizi kwani mwenye pete ya ndoa ni mimi.
Uache kulala usingizi wako mzuri unamsubiri mtu ambae yuko kwenye bata lake huko au ndiyo anashughulikia ada za watoto. Mradi tu awe na adabu ya kunijulisha kuwa atachelewa.
Usiku huo mlilalaje sasa???Hahahahahhahahaha....... Ilitokea usiku fulani kufika asubuhi nilihamishia vitu kwenye gari nikaforce nirudishwe kwangu na uhusiano ukafa hapo![]()
KwakweliWanaume wasiojua kufunga zipu wameufurahia huu uzi mpaka sio vizuri
Duh FBI mstaafu alawalazimisha nawenzake wastaafu wakati umri bado hawawezi kukuelewa
Malizeni maongezi mnakotokaaaa mkiingia home pawe na amaniHakika, maana ukiongea pale pale utaskia "umenificha umalaya wakoooo weeee Leo kwa jinsi ulivyonichoka umeamua kunidhihirishia"
Hawana jema hawa kina zeshchriss na Khantwe
Sawaaaa nimeelewaMalizeni maongezi mnakotokaaaa mkiingia home pawe na amani
Hakuna kugusana...... Kila mtu upande wake na sikulala nilikaa kitako usiku kuchaUsiku huo mlilalaje sasa???
Eeeh afadhali; maana nilijua mimi tu ndo nimebaki kwenye kundi la non-wife material. Eti akapokelee simu wapi? Aaaaaah weeeeeeeeeeeHahahahaahhahahahaahahhahahahahahahahahahahahahahahhaahhaha hebu nijitahidi niwe kama hivi uwenda nikadumu kwenye mahusisno lol...
Nilivyo na gubu hivyo simu ipigwe ukaongee chumbani asalaleeeeeeeeee vita ya hapo si ya mchezo
Subiri tuzeeke tutakuelewa.
by nature kila mwanaume ana tamaaWanawake kama nyie mnaowapa waume zenu uhuru wa kuchepuka ndo huwa mnahitajika sana na wanaume malaya na ndo huwa mnaitwa 'wife material' hongereni
Hahahaaaa alikukomeshaSiku hiyo akakataa kunipa tunda muda wa kulala. Kesho yake baada ya kusuluhisha nilifidia ugwadu wote.
Ohhh!! That was tough, wasn't it??Hakuna kugusana...... Kila mtu upande wake na sikulala nilikaa kitako usiku kucha