realoctopus
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,232
- 1,985
Nyie mnatakanaHuyo "myself" ndio namuuliza bana.
Nyie mnatakanaHuyo "myself" ndio namuuliza bana.
Duuh..Nimechanganya madawa..Basi bana..Nimekosa bahati..Basi tuwe marafiki tuhaaa kwani nina uliza kama una mke? nilitaka ujibu swali la Lady in Red10. but kama una mke aisee stick na mke wako.
Loooh humtendei haki aisee
10years is a very long time,usifurahi mtu anapopata matatizonilikuwa nimejipanga nilimlia supu ya pweza na karanga mbichi wiki nzima nikala ugali na vingine nikala pia japo kwa shino upande,afu dada wa watu ana maisha mazuri sana huwezi amini lakini du supu hakuna ujue kuna tofauti ya kuwa mwembamba na kukongoroka,yule kakongoroka
Ts very sick kwa kweli, ya Mungu mengi huwezi jua baada ya mwaka dada atakuaje,nilichojifunza in life kiwa very humble mana utamudu maisha ya hali zoteMmmh yani kuja watu wakikataliwa basi wanatamani kweli wakute wale waliowakataa maisha yao yamekuwa mabovu, wamechokaa. Jamani ukikataliwa wewe shukuru tu, ukubaliwe/upendwe na Kila mtu kwani wewe nani? Afu sometimes mtu kukukataa sio kwa sababu ni mbaya au umefulia, inawezekana tu hujapata kibali moyoni mwake, au possibly alikuwa kwenye mahusiano na mtu mwingine. Mambo ya kufurahia downfall ya mtu eishhh
Inasikitisha maana hujui 'maisha'..hatufananiyou are what you eat,ukiendekeza kitimoto utakuwa kama mbuyu ,ukishindia maji utakuwa kama fimbo,kula mlo kamili,mimi miaka kumi nimeongeza kilo 4 tu
Ndo hapo,hajui hujafa hujaumbika??kila mtu na shida zake ye na Mungu ndo anajuaUsifurahishwa na halimbaya ya mtu kushindwa au kuharibikiwa kwake, yupo ktk mapito ya kibinada ambayo hata wewe yanaweza kukufika au kizazi chako. Mshukuru Mungu kwa yote.
Teh teh..Bro we unapendwa sana ujue..
Nyie mnatakana
yule huenda hana matatizo ila hawa dada zetu wanaharibu miili yao wenyewe ,usikute amejikondesha au ametoa mimba kibao maana nilienda kwake nikakuta anaishi kwenye mazingira mazuri tu10years is a very long time,usifurahi mtu anapopata matatizo
Haaahaaaaaa nimeotaUtakuwa genius we jamaa. Umejuaje?!
Sometimes maisha ni zaidi ya pesa,mtu ukivunjika moyo hata sura itakosa ung'avu hata uilishe na uipake nini...ukute hata hajatoa mimba wala hajajikondesha hizo no hisia zako,ukute tu Labda kafiwa na mtu wa karibu hajasahau,kazini hana raha,katendwa na mwanaume aliempenda nk nk,still hizi ni assumptions ajuaye yeye mwenyewe, sometimes ni vema kumsaidia if u really loved her,yule huenda hana matatizo ila hawa dada zetu wanaharibu miili yao wenyewe ,usikute amejikondesha au ametoa mimba kibao maana nilienda kwake nikakuta anaishi kwenye mazingira mazuri tu
Huwa wanajifanya wajuaji2 lkn siwatofautishi n n NZiiKuna dada mmoja miaka kama kumi iliyopita alikuwa moto wa kuotea mbali kila nilipojaribu kutupa ndoana alikuwa ananitolea nje,uzuri tuliendelea kuwasiliana kwa simu kwa muda wote,kwenye whatsap alikuwa haweki picha yake,juzijuzi baada ya kuwa mpweke nikamkumbuka nikaanza kumpigia simu ili tuonane akawa ananichenga,juzi nikakomaa mpaka nikaenda kwake huko.
Nikastuka mpaka yeye akanistukia,mtoto alikuwa na tako la haja guu guu,pajapaja leo nikakutana na miss 1GB mwembamba kama uzi supu yote hakuna kilichofanya nimkumbuke ni sura na sauti,sijui mwili umeenda wapi,tangu juzi sijampigia tena na simtaki tena.
Kweli wanawake siku zenu za kuringa ni chache sana yule hata ukiongozana nae watu watasema unatembea na shangazi yako dada wa baba yako na hapo bado hajazalishwa,akizaa itakuwaje kila akinipigia sipokei.
umeongea kwa hisia mpaka nimejisikia vibaya,najuta kupost huu uzi unajua kuna muda nimewaza nakuwazua kama ni dada ko au mwanao inakuwaje .Mungu anisamehe kwa kweliSometimes maisha ni zaidi ya pesa,mtu ukivunjika moyo hata sura itakosa ung'avu hata uilishe na uipake nini...ukute hata hajatoa mimba wala hajajikondesha hizo no hisia zako,ukute tu Labda kafiwa na mtu wa karibu hajasahau,kazini hana raha,katendwa na mwanaume aliempenda nk nk,still hizi ni assumptions ajuaye yeye mwenyewe, sometimes ni vema kumsaidia if u really loved her,
Unamzoea mnacatch up kidogo and u ask what happened to u mami mbona umepungua hivi..
Ila sasaa umekuja mkandia JF, inasikitisha sana
Do something Man,being a woman, I know, Acha tu Mungu ndo anajua,..js take ur tym mzoee and see km u can help, maisha haya nishajifunza kutojudge watu sanaumeongea kwa hisia mpaka nimejisikia vibaya,najuta kupost huu uzi unajua kuna muda nimewaza nakuwazua kama ni dada ko au mwanao inakuwaje .Mungu anisamehe kwa kweli
sijui if i can real help her yaani kanitoka kabisa wapemba wanasema bora yeeshe ,nilipiga bao moja kwa taabu sana kama TP mazembe ili kumridhisha tuDo something Man,being a woman, I know, Acha tu Mungu ndo anajua,..js take ur tym mzoee and see km u can help, maisha haya nishajifunza kutojudge watu sana