Wanawake siku zenu za kuringa ni chache sana

Wanawake siku zenu za kuringa ni chache sana

Atakuwa alipata kisukari cha ghafla, si unajua utamu ukizidi
 
Kabisa, umeongea yote. Hahahahaaa umenikumbusha mbali na 'Miwaya''

Nafikiri tumekosa elimu sahihi ya afya au hii elimu tulionayo
haitusaidi kufikiri nje ya tulichofundishwa au pengine hatufanyii kazi tunavyojua.

Umegusia swala muhimu sana la mentality ya kiswahili. Nafikikiri ishu kubwa iko hapa.

Inatubidi watu tuamke sasa, Dunia imebadilika saana.

Tized
Mkuu sisi wa TZ tuna mentality mbaya mno.
Mtu akiwa mnene =Afya, fedha, Tajiri, Kazi na
Kubwa kabisa hana "NGOMA "

ukiwa mwembamba sijui unaambiwa umekanyaga miwaya. Yaani akili zetu saa nyingine zimelala.

We are so quick to judge.

Yaani watu wangejua magonjwa yanayoambatana na unene/vitambi wangeanza mazoezi jana na diet juzi.

Life expectancy ya mnene ni fupi mno Pia.
 
Sasa wewee baada ya miaka kumi ulitegemea umkute yupo hivyo hivyo kwani ye jiwe? hiyo miaka hata kama mtoto yupo dalasa la nne. Sembuse mtu mzima ambaye ndani ya miaka kumi kashapitia mambo kibaoo. Mambo mengine Muwage mnawaza kabla hamjaandika humu.


Hata mm naona mwandishi hajatumia akili, anataka mtu awe hivyo hivyo miaka 10??? Mbona sisi wa kiume pia miaka 10 tunabadilika, mavitambi hadi shughuli za vitandani zinatushinda!!
 
Wa kaka ndio msiseme.
Mkiwa chuoni mko poa kweli. Mna afya nzuri
Mko fit miaka minne baada ya chuo mkisha anza
Kupokea shilingi vitambi, mikanda ya viatu shida
Kufunga.

Hili tatizo liko kwa wote.
Kwa hiyo mtutolee uvivu hapa .
Nimeangalia like zote ni za wanawake. Anyway wamekuelewa, ila wanaume Big NO
 
Yamekua hayaa?? Mhhh HV ndo kusema kaboon hunioni amaa unajifanya kipofu,tangu Sikh ya kwanza nakwambia nimeku dondokea .huelewi somo ??
We una mapenzi ya msimu my dear..Kuna kipindi unakuwa baridi kama barafu
 
hahahahhaha nikisema lovely umeelewa nini my love. naona sasa unaanza kunichukia kisa Kaboom.

the word lovely does not mean what you thought my love. be cool and calm.

Kaboom, kuja kipande hii useme bhana sitaki ugomvi na mwanamke mwenzangu.
Jje's kumbe muoga hivyo teh..
 
Jje's kumbe muoga hivyo teh..
sio muoga bhana, nataka ajue nani yuko kwenye kilo sasa.

chezea mimi weweee, nataka ajue nafasi yake na wewe sema sasa kama sio muoga

teh teh
 
sio muoga bhana, nataka ajue nani yuko kwenye kilo sasa.

chezea mimi weweee, nataka ajue nafasi yake na wewe sema sasa kama sio muoga

teh teh
Hii kesi tutaimalizia chemba
 
Nyie issue ni nini hapa? Wewe umewahi kuwauliza wanakuonaje kwa sura baada ya miaka kumi kupita?

Wanaume tuko self centered kweli kweli.
sija wauliza lkn wananiona kama bado sijachenji sana zaidi ya kunenepa kidogo na kufanya kitambi mbaya zaidi ni kwamba walinitosa but nao wanataka urafiki wa karibu!
 
Hupendwe kitambi ugonjwa huo .
Watajifanya wanakupenda kumbe wanaangalia wallet yako. Endelea kujidanganya unapendwa.
inawezekana wamependa kitambi na pochi ila naona its normal kwa mwanaume yeyeyote lkn ishu ni kwamba wao they look very old indeed!
 
Kuna dada mmoja miaka kama kumi iliyopita alikuwa moto wa kuotea mbali kila nilipojaribu kutupa ndoana alikuwa ananitolea nje,uzuri tuliendelea kuwasiliana kwa simu kwa muda wote,kwenye whatsap alikuwa haweki picha yake,juzijuzi baada ya kuwa mpweke nikamkumbuka nikaanza kumpigia simu ili tuonane akawa ananichenga,juzi nikakomaa mpaka nikaenda kwake huko.

Nikastuka mpaka yeye akanistukia,mtoto alikuwa na tako la haja guu guu,pajapaja leo nikakutana na miss 1GB mwembamba kama uzi supu yote hakuna kilichofanya nimkumbuke ni sura na sauti,sijui mwili umeenda wapi,tangu juzi sijampigia tena na simtaki tena.

Kweli wanawake siku zenu za kuringa ni chache sana yule hata ukiongozana nae watu watasema unatembea na shangazi yako dada wa baba yako na hapo bado hajazalishwa,akizaa itakuwaje kila akinipigia sipokei.
Ray C?
 
Nwei..Ngoja niwe mkweli..Nina mke na mtoto..Unaweza kunivumilia?
haaa kwani nina uliza kama una mke? nilitaka ujibu swali la Lady in Red10. but kama una mke aisee stick na mke wako.

Loooh humtendei haki aisee
 
Back
Top Bottom