Wanawake siku zenu za kuringa ni chache sana

Wanawake siku zenu za kuringa ni chache sana

Very well spoken afrodenzi .

Hivi shida huwa ni nini? Ni Uwezo wa kula na kunywa chochote ama ni tamaa?
I have some of my friends wengine wadogo zangu kwa mbali, lakini leo siwezi simama nao
nikaoneneka ni rika moja au wengine nimewazidi..
Tukienda mahali nisipofahamika wao ndio wanapewa heshima kwa vitambi na miili yao

Nafikiri kuna tatizo la msingi kwa wasomi wetu haswa kwenye swala la AFYA.
Vinginevyo huenda hatuna control ya tamaa zetu juu ya ulaji na unywaji.
I mean huenda tuna ulaji wa vitu na unywaji wa hovyo/holela.

Vinginevyo, Mazoezi ni AFYA sio kwa ajili ya kupunguza mwili.
Ni lazima tujenge TABIA ya kufanya mazoezi kama sehemu ya kujenga mwili na afya bora
Na pia watu tuepuke ulaji na unywaji wa hovyo.

We are struggling to generate wealth, But wealth without good health becomes a struggle as well.


Wa kaka ndio msiseme.
Mkiwa chuoni mko poa kweli. Mna afya nzuri
Mko fit miaka minne baada ya chuo mkisha anza
Kupokea shilingi vitambi, mikanda ya viatu shida
Kufunga.

Hili tatizo liko kwa wote.
Kwa hiyo mtutolee uvivu hapa .
 
Ooohhh please.
Mwanamke anavyokua ndivyo anavyozidi kunawiri.
Ni Kama wine vile .
sasa kwa nini sheria ya kubaka inawalinda watoto wa shule hujawahi kujiuliza wanaume tunafuata nini kwa watoto wa shule ,wale watamu na wa moto
 
Dah! hata mimi ishawahi nikuta hasa kwa madem niliosoma nao like 8 years ago yaani walikuwa ni moto wa kuotea mbali yaani nikiwaona moyo ulikuwa unaniripuka ile mbaya! chakushangaza wamechuja ile mbaya na mbaya zaidi bado wanajiona warembo eti! wakati sisi wanaume ndio kwanza tuna wapata wa binti wadogo wadogo so sielewi sisi hatuchuji kivile fasta au nikwasababu ya mkwanja!

Nyie issue ni nini hapa? Wewe umewahi kuwauliza wanakuonaje kwa sura baada ya miaka kumi kupita?

Wanaume tuko self centered kweli kweli.
 
Bado kuna watu wamelala kua utajiri unapimwa kwa ukubwa wa 'Kifriji'

Ukimwangalia mtu kama Mohamed Dewji (Mo) pamoja na hela zoote alizo nazo, pamoja na ubize wote alio nao; Lakini MAZOEZI ni sehemu muhimu sana ya ratiba yake. Unafikiri angekua mvivu wa mazoezi kama wengi wetu, angekua alivyo?

Tufike mahali tuamke, Unene huchangia negatively kwa afya ya akili, Afya ya uzazi, afya ya ndoa n.k n.k
Tujenge TABIA ya Mazoezi na kuangalia vitu na kiasi tunachokula pia tuepuke unywaji wa hovyo.

dalili ya mafanikio kwa afrika ni kitambi japosikifagilii na sina huo uvimbe,ila kukongoroka kule hapana
 
Tized
Mkuu sisi wa TZ tuna mentality mbaya mno.
Mtu akiwa mnene =Afya, fedha, Tajiri, Kazi na
Kubwa kabisa hana "NGOMA "

ukiwa mwembamba sijui unaambiwa umekanyaga miwaya. Yaani akili zetu saa nyingine zimelala.

We are so quick to judge.

Yaani watu wangejua magonjwa yanayoambatana na unene/vitambi wangeanza mazoezi jana na diet juzi.

Life expectancy ya mnene ni fupi mno Pia.
 
inavyoonekana now ana uwezo kiuchumi kuliko miaka kumi iliyopita ,ndugu yangu asikudanganye mtu,kabla ya kumpenda mwanamke toka moyoni lazima macho yajiiridhishe ,ni kama chakula kitamu unavyoweka kukipenda kikiwa kwenye sahani kabla ya kukila ,mvuto wa mwanamke ni muhimu sana
sawa ila si umeenda kwake umekula na vingine umewezaje kula hivyo vingine wakati umesema hana mvuto tena ungekula ugali then uchanganye miguu
 
sawa ila si umeenda kwake umekula na vingine umewezaje kula hivyo vingine wakati umesema hana mvuto tena ungekula ugali then uchanganye miguu
sasa supu ya pweza na karanga nilizokula ningefanyaje sikuwa na namna kwani we hujawahi kula chakula hukipendi kisa una njaa ,usifanye mchezo na njaa
 
sasa supu ya pweza na karanga nilizokula ningefanyaje sikuwa na namna kwani we hujawahi kula chakula hukipendi kisa una njaa ,usifanye mchezo na njaa
sijawahi nakama ikitokea kabla ya kufika mdomo lazima nitapike ungehairisha tu naungeenda kumalizia unakomalizia sikuzote hujui now mwenzio yupo katika hali gani ya mawazo
 
Mmmh yani kuja watu wakikataliwa basi wanatamani kweli wakute wale waliowakataa maisha yao yamekuwa mabovu, wamechokaa. Jamani ukikataliwa wewe shukuru tu, ukubaliwe/upendwe na Kila mtu kwani wewe nani? Afu sometimes mtu kukukataa sio kwa sababu ni mbaya au umefulia, inawezekana tu hujapata kibali moyoni mwake, au possibly alikuwa kwenye mahusiano na mtu mwingine. Mambo ya kufurahia downfall ya mtu eishhh
Kama ulivyonikatalia lakini aaah, we at peace! teh teh!
 
Back
Top Bottom