Wanawake siku zenu za kuringa ni chache sana

muite aisee, huku Arusha ukiita mutu asipoonekana unaomba mbesiii.

mbesi ikiwadia lazima aitike.

Hivi kumbe yuko huku huku? ndo huyo Lady in red10 au? nisije pigwa mie.

hahahahahha.
Mbesi ndo nn?..
Anaitwa Atoto..
Acha uoga..We kukwepa ngumi hujui?
 
Mbesi ndo nn?..
Anaitwa Atoto..
Acha uoga..We kukwepa ngumi hujui?
mbesi ni kuomba msaada wa jambo fulan. kwa mfano waweza niomba mbesi mimi nikuitie Atoto. sasa huyu lady in red10 alikuwa anagombana nini?

lady in red10 njoo ujibu swali huku maana kumbe wewe sio mmiliki.

hahahahaha.

halafu kukwepa mawe siwez kabisa na reserve nguvu za mambo ingine bhana sio ya kukwepa mawe.
 
Husiwaite bana..Mbona unataka kuharibu maongezi aisee
 
haaaah nilifikir unatamtafuta atoto haonekani nikuitie bhana.

sikuwa na ubayaaa(in arusha tone)
Teh teh..Huyo akija hapa ni balaa..Mtata mpaka basi..Kumbe hupo Ar..Basi nishapata mwenyeji
 
nilikuwa nimejipanga nilimlia supu ya pweza na karanga mbichi wiki nzima nikala ugali na vingine nikala pia japo kwa shino upande,afu dada wa watu ana maisha mazuri sana huwezi amini lakini du supu hakuna ujue kuna tofauti ya kuwa mwembamba na kukongoroka,yule kakongoroka
Vipi ile dawa ya kikongo hukutumia?
 
ndo hivyo, msema ukweli ni mpnz wa Mungu na ucjali nitaagiza mimi maana naona unaogope mapesaaa

kikikikikkkkk
Teh teh..Gharama za nn sasa..Hicho ulichonacho tutashare wote..Kwani we unajikinga vipi na baridi?
 
Teh teh..Gharama za nn sasa..Hicho ulichonacho tutashare wote..Kwani we unajikinga vipi na baridi?
hahahahahha wewe Kabooom mtundu sana, mie nshakuambia sijikingagi mimi nshazoea, ila ukija nakutafutia yale makoti OG kwa ajili ya baridi.

kikikikikkkkkk
 
hahahahahha wewe Kabooom mtundu sana, mie nshakuambia sijikingagi mimi nshazoea, ila ukija nakutafutia yale makoti OG kwa ajili ya baridi.

kikikikikkkkkk
Teh teh..Eti umezoea..Inaonekana una joto jingi..Itabidi unipunguzie hilo la kwako
 
Back
Top Bottom