jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,585
nisamehe my dear, sikumaanisha bhana.Naona umeamua kunichoresha. Basi fresh.
jst to make my day moving.
nisamehe my dear, sikumaanisha bhana.Naona umeamua kunichoresha. Basi fresh.
inavyoonekana now ana uwezo kiuchumi kuliko miaka kumi iliyopita ,ndugu yangu asikudanganye mtu,kabla ya kumpenda mwanamke toka moyoni lazima macho yajiiridhishe ,ni kama chakula kitamu unavyoweka kukipenda kikiwa kwenye sahani kabla ya kukila ,mvuto wa mwanamke ni muhimu sanainaonyesha siku za nyuma ulimtongoza kwa sababu ya tako na miguu leo hii hivyo vitu vimetoweka unamkimbia means hukupenda bali ulitaman hilo tako na miguu ingelikuwa ulimpenda kweli kutoka moyon wala usingekimbia am sure ungekaa nae na kumuuliza kilicho msibu na kumuhudumia ipasavyo ili arudie katika hali yake ya urembo kama awali now unamkimbia urembo aliokuwa nao mwanzo ulikuwa ukigaramikiwa na mtu nawe ingia gharama urudishe urembo wake siyo kumkimbia narudia tena hukupenda wew ulitamani
ukiona hivyo ujue chat imeshuka tayarimkuu ulilozungumza ni kweli mimi naunga mkono kicha habari hapo juu...kuna demu nilikuwa namzimikia sana kipindi nasoma alinichanganya sana nikawa sijielewi ila nikamfungukia akakataa kuwa na mimi niliumia nikalia nikasahau nao nipo sekta furani hivi...huyu demu ananipigia eti anataka kuonana na mimi tule tuongee tufurahi...dah nikikumbuka alivyo nitesa natamani ata nimfate nikamgegede kisha nirecord
haaaah jaman, so you can say it by urself no?Jj's..Mjumbe hauawi bana..Ndo mana nikaamua kumtuma bro
nimepapenda hapo upendwe na kila mtu wewe nani? nikakumbuka usemi usemao upendwe na kila mtu umekuwa pesa? kikikikkkkkiMmmh yani kuja watu wakikataliwa basi wanatamani kweli wakute wale waliowakataa maisha yao yamekuwa mabovu, wamechokaa. Jamani ukikataliwa wewe shukuru tu, ukubaliwe/upendwe na Kila mtu kwani wewe nani? Afu sometimes mtu kukukataa sio kwa sababu ni mbaya au umefulia, inawezekana tu hujapata kibali moyoni mwake, au possibly alikuwa kwenye mahusiano na mtu mwingine. Mambo ya kufurahia downfall ya mtu eishhh
Hapo chacha. Kuna watu wanajua kuishi na vinyongo pyeeeenimepapenda hapo upendwe na kila mtu wewe nani? nikakumbuka usemi usemao upendwe na kila mtu umekuwa pesa? kikikikkkkki
Teh teh..Yes ma'am..I can..I'm just a little bit shyhaaaah jaman, so you can say it by urself no?
just a quick question.
Basi sawamwambie binti yako ale ugali aache mambo ya kisista duu kushindia matunda tu
mimi ndo maana namshukuru Mungu kila kukicha. I don't hold grudges kama mkuu mmoja alivyosema huku.Hapo chacha. Kuna watu wanajua kuishi na vinyongo pyeeee
Douta na we umebakiza miaka mingapi ya kuringa?Hapo chacha. Kuna watu wanajua kuishi na vinyongo pyeeee
ohoooh noted with thanks.Teh teh..Yes ma'am..I can..I'm just a little bit shy
Hahaha till my last breath.Douta na we umebakiza miaka mingapi ya kuringa?
dalili ya mafanikio kwa afrika ni kitambi japosikifagilii na sina huo uvimbe,ila kukongoroka kule hapana
What does it suppose to mean..Does it mean yes?ohoooh noted with thanks.