Wanawake siku zenu za kuringa ni chache sana

Many nights we've prayed
With no proof anyone could hear
In our hearts, a hopeful song
We barely understood

Now we are not afraid
Although we know there's much to fear
We were moving mountains long
Before we knew we could, oh yes

There can be miracles when you believe
Though hope is frail, it's hard to kill
Who knows what miracles you can achieve
When you believe, somehow you will
You will when you believe
 
Mkuu nadhani mwili wa huyo demu umeenda likizo fupi ya miezi 6 tu. Baada ya muda huo nenda kamcheki tena hutaamini macho yako kwani mwili utakuwa umerudi.
 
inaonyesha siku za nyuma ulimtongoza kwa sababu ya tako na miguu leo hii hivyo vitu vimetoweka unamkimbia means hukupenda bali ulitaman hilo tako na miguu ingelikuwa ulimpenda kweli kutoka moyon wala usingekimbia am sure ungekaa nae na kumuuliza kilicho msibu na kumuhudumia ipasavyo ili arudie katika hali yake ya urembo kama awali now unamkimbia urembo aliokuwa nao mwanzo ulikuwa ukigaramikiwa na mtu nawe ingia gharama urudishe urembo wake siyo kumkimbia narudia tena hukupenda wew ulitamani
 
Rudi kamchek demu wako wa form1 au la7
Mwanamke km hana matunzo na km ananyanyaswa kwenye ndoa hutomtaman
Lkn akipata matunzo anaendelea kuwa kwenye Chat tu ww mchek yule mlibwende Miriam odemba ni wakitambo sana ila bado anafanya modeling
 
Back
Top Bottom