Wanawake siku zenu za kuringa ni chache sana

Wanawake siku zenu za kuringa ni chache sana

Dah! hata mimi ishawahi nikuta hasa kwa madem niliosoma nao like 8 years ago yaani walikuwa ni moto wa kuotea mbali yaani nikiwaona moyo ulikuwa unaniripuka ile mbaya! chakushangaza wamechuja ile mbaya na mbaya zaidi bado wanajiona warembo eti! wakati sisi wanaume ndio kwanza tuna wapata wa binti wadogo wadogo so sielewi sisi hatuchuji kivile fasta au nikwasababu ya mkwanja!

Kumbe ni hivyo..
 
People's bhana, 10years ulitaka umkute vile vile? Hacha ushamba wew
 
mwanamke mwenye tabia ya kutoa mimba huwa anakongoroka kama gari la taka....
kweli mkuu itakuwa ni watoaji mimba maana siku hizi kuna ARV mtu anakufa na kitambi chake so wa hiv hawakongoroki
 
Sasa wewee baada ya miaka kumi ulitegemea umkute yupo hivyo hivyo kwani ye jiwe? hiyo miaka hata kama mtoto yupo dalasa la nne. Sembuse mtu mzima ambaye ndani ya miaka kumi kashapitia mambo kibaoo. Mambo mengine Muwage mnawaza kabla hamjaandika humu.

Ha ha ha. Pole mkuu naona kakugusa kunako kidogo
 
People's bhana, 10years ulitaka umkute vile vile? Hacha ushamba wew
you are what you eat,ukiendekeza kitimoto utakuwa kama mbuyu ,ukishindia maji utakuwa kama fimbo,kula mlo kamili,mimi miaka kumi nimeongeza kilo 4 tu
 
Kimsingi window periods za mwanaume na mwanamke hazifanani hata kidogo. Wanamke na mwanaume wako tofauti sana kibailojia. Hata aging process yao inakuwa katika pace tofauti tofauti.

Halafu pia kuna mambo mbalimbali yanayomtokea mtu (kiume au kike) ambayo yana-determine growth cycle ya huyo mtu. Mambo hayo yanaweza yawe ya kibailojia, kimofologia, kijamii, kiuchumi etc etc. Halafu umesema kwa uhakika kuwa hajazaa. Kwa taarifa yako anaweza awe ashazaa hata zaidi ya mara moja lakini alikuficha for obvious reasons. Je, kutoa mimba (tena labda mara nyingi tu)? Wanawake ni wajanja sana and they know how to choose their cards.

Lakini kama uliona mabadiliko yake yalikuwa makubwa mno kiasi cha kutokuelezeka vizuri kichwani kwako, then basi mkuu labda ungejifunza sana kutoka kwenye story yake kama ungeamua kuwa objective enough na kumuuliza what transpired katika maisha yake kwenye hicho kipindi ambacho hamkuwahi kuonana.
Of course kumuuliza kwenyewe kunatakiwa kuwa kwa approach nzuri ambayo haimfanyi ajisikie vibaya.

Mkuu usimchunie banaaa. Hata kama huna mpango wa mechi ya marudio. Ha ha ha
 
wewe naweeee, kwani alikuambia ukamgegede au mkapige story kama ulivyotuambia.

Hv inakuwaje unawaza huko tu? kama ni dili anataka kukupa utajuaje? na una uhakika gani kama hayuko vzr pia?

tujiongeze wakati mwingine sio kuwaza tu negative party.
hana dili la kunipa maana nimelengesha kuwa vipi tutalala hotel kajaa asa hapo kuna dili kweli hapo...na mara nyingi eti anataka kuja home kwangu...from alipo na nilipo ni kama moshi na arusha...
 
hana dili la kunipa maana nimelengesha kuwa vipi tutalala hotel kajaa asa hapo kuna dili kweli hapo...na mara nyingi eti anataka kuja home kwangu...from alipo na nilipo ni kama moshi na arusha...
mhhh si unajua hotelin pana utulivu fulan hiv na weweeee. itikia wito kwanza usije na conclusion kabla hujajua swali/hoja
 
Kimsingi window periods za mwanaume na mwanamke hazifanani hata kidogo. Wanamke na mwanaume wako tofauti sana kibailojia. Hata aging process yao inakuwa katika pace tofauti tofauti.

Halafu pia kuna mambo mbalimbali yanayomtokea mtu (kiume au kike) ambayo yana-determine growth cycle ya huyo mtu. Mambo hayo yanaweza yawe ya kibailojia, kimofologia, kijamii, kiuchumi etc etc. Halafu umesema kwa uhakika kuwa hajazaa. Kwa taarifa yako anaweza awe ashazaa hata zaidi ya mara moja lakini alikuficha for obvious reasons. Je, kutoa mimba (tena labda mara nyingi tu)? Wanawake ni wajanja sana and they know how to choose their cards.

Lakini kama uliona mabadiliko yake yalikuwa makubwa mno kiasi cha kutokuelezeka vizuri kichwani kwako, then basi mkuu labda ungejifunza sana kutoka kwenye story yake kama ungeamua kuwa objective enough na kumuuliza what transpired katika maisha yake kwenye hicho kipindi ambacho hamkuwahi kuonana.
Of course kumuuliza kwenyewe kunatakiwa kuwa kwa approach nzuri ambayo haimfanyi ajisikie vibaya.

Mkuu usimchunie banaaa. Hata kama huna mpango wa mechi ya marudio. Ha ha ha
ngumu kumeza nilijikausha kama sio mimi wala sikumuuliza mwili umekwenda wapi ila mwanzoni nilipomuona nilistuka kiasi simtaki tena kwa kwelinisiwe muongo
 
Wa kaka ndio msiseme.
Mkiwa chuoni mko poa kweli. Mna afya nzuri
Mko fit miaka minne baada ya chuo mkisha anza
Kupokea shilingi vitambi, mikanda ya viatu shida
Kufunga.

Hili tatizo liko kwa wote.
Kwa hiyo mtutolee uvivu hapa .

Sasa mbona wenye vitambi ndio wanang'oa mademu wa chuo!?
 
Sasa mbona tukiwa Chuoni inakuwa madem wanazingua ila tukimaliza inakuwa nishidaa yaani vibiti vinajilengesha ile mbayaa au ndio tumeongezeka mvuto kutokana na hivyo vitambi! au ndio kutesa kwa zamu kwaiyo ni zamu yetu kutesa! ila apana madem mnachuja sana!
Hupendwe kitambi ugonjwa huo .
Watajifanya wanakupenda kumbe wanaangalia wallet yako. Endelea kujidanganya unapendwa.
 
Back
Top Bottom