mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,019
- 49,175
Kuna dada mmoja miaka kama kumi iliyopita alikuwa moto wa kuotea mbali kila nilipojaribu kutupa ndoana alikuwa ananitolea nje,uzuri tuliendelea kuwasiliana kwa simu kwa muda wote,kwenye whatsap alikuwa haweki picha yake,juzijuzi baada ya kuwa mpweke nikamkumbuka nikaanza kumpigia simu ili tuonane akawa ananichenga,juzi nikakomaa mpaka nikaenda kwake huko.
Nikastuka mpaka yeye akanistukia,mtoto alikuwa na tako la haja guu guu,pajapaja leo nikakutana na miss 1GB mwembamba kama uzi supu yote hakuna kilichofanya nimkumbuke ni sura na sauti,sijui mwili umeenda wapi,tangu juzi sijampigia tena na simtaki tena.
Kweli wanawake siku zenu za kuringa ni chache sana yule hata ukiongozana nae watu watasema unatembea na shangazi yako dada wa baba yako na hapo bado hajazalishwa,akizaa itakuwaje kila akinipigia sipokei.