Wanawake siku zenu za kuringa ni chache sana

sijui if i can real help her yaani kanitoka kabisa wapemba wanasema bora yeeshe ,nilipiga bao moja kwa taabu sana kama TP mazembe ili kumridhisha tu
Hahhaha haya bana,utupatie mrejesho siku ukimkuta kanawiri pia vs ur situation lol
 
Hahhaha haya bana,utupatie mrejesho siku ukimkuta kanawiri pia vs ur situation lol
mi namshukuru Mungu nakumbuka wakati JK anaingia maarakani nilikuw na kilo 66 sasa nina 70 na nimekula bata za ujana vibaya sana so nimeongeza kilo 4 kwa miaka kumi ,namshukuru Mungu pia sina ugongwa wowote wa hatari zaidi ya mguu wa kushoto kuumia nilipokuwa mazoezini nacheza mpira,hata nipigwe drip ya mayai na maziwa sinenepii wala sikondi
 
Daaa ila sisi wanawake mishale ni mingi inatukosakosa na nyingine zina tupata hatari tupu ngachokaa
 
kwa hiyo kuna wanawake toleo jipya na toleo la zamani kama samsung
Hapana, itakua ni sawa na tecno ambayo ikitoa toleo moja halina updates ya software hadi toleo lingine.

Wanaume ndio kama samsung au iphone au nokia, wanaweza kuapdate software kwa simu au toleo la zamani. Nadhani umeelewa.
 
Dah! hata mimi ishawahi nikuta hasa kwa madem niliosoma nao like 8 years ago yaani walikuwa ni moto wa kuotea mbali yaani nikiwaona moyo ulikuwa unaniripuka ile mbaya! chakushangaza wamechuja ile mbaya na mbaya zaidi bado wanajiona warembo eti! wakati sisi wanaume ndio kwanza tuna wapata wa binti wadogo wadogo so sielewi sisi hatuchuji kivile fasta au nikwasababu ya mkwanja!
Hebu specify mkuu unaposema mabint wadogo isije ikawa sheria inatafsiri <18 ukawa umeeleweka vibaya
Waheshimiwa wameptsha miaka30 tiari hii serikali ya Hapa Kasi Tu ina maajabu yake
 
Duuh..Nimechanganya madawa..Basi bana..Nimekosa bahati..Basi tuwe marafiki tu
marafiki ruksa kabisa hata baba wa taifa alituambia tusibaguane.

hope umeamka salama kabisa pamoja na familia yako.
 
umeongea kwa hisia mpaka nimejisikia vibaya,najuta kupost huu uzi unajua kuna muda nimewaza nakuwazua kama ni dada ko au mwanao inakuwaje .Mungu anisamehe kwa kweli
Jaman Mdukuzi you are a man of faith. very gud of you and you better go back to her, take her out and go with some gifts to surprise her, maybe and I repeat maybe you can change her life.

Who knows.

Naamin umeamka salama lakini.
 
marafiki ruksa kabisa hata baba wa taifa alituambia tusibaguane.

hope umeamka salama kabisa pamoja na familia yako.
Yeah..Ngoja nikuweke karibu..Uenda ipo siku utanielewa..
Mi na familia yangu wazima..Sijui ww
 
nilikuwa nimejipanga nilimlia supu ya pweza na karanga mbichi wiki nzima nikala ugali na vingine nikala pia japo kwa shino upande,afu dada wa watu ana maisha mazuri sana huwezi amini lakini du supu hakuna ujue kuna tofauti ya kuwa mwembamba na kukongoroka,yule kakongoroka
Acha umbea,sasa kuja kututangazia maana yake nn.? Ngoja waje wenyewe wakuchambe
 
Yeah..Ngoja nikuweke karibu..Uenda ipo siku utanielewa..
Mi na familia yangu wazima..Sijui ww
Mie mzima ila niweke tu karibu kiurafik wa kawaida kama ulivyosema. hapo "uenda ipo siku utanielewa" utakuwa unamdhulumu mkeo.

kikikikikkkkk
 
Jaman Mdukuzi you are a man of faith. very gud of you and you better go back to her, take her out and go with some gifts to surprise her, maybe and I repeat maybe you can change her life.

Who knows.

Naamin umeamka salama lakini.
nimeamka salama sijui nyie huko,mimi huwa nikisema sasa basi imean it,siwezi kurudi
 
Mie mzima ila niweke tu karibu kiurafik wa kawaida kama ulivyosema. hapo "uenda ipo siku utanielewa" utakuwa unamdhulumu mkeo.

kikikikikkkkk
Wife ndo ananidhulumu..Hapa sijamuona zaidi ya wiki kadhaa aisee...Hilo lisikupe wasiwasi
 
Wife ndo ananidhulumu..Hapa sijamuona zaidi ya wiki kadhaa aisee...Hilo lisikupe wasiwasi
muite aisee, huku Arusha ukiita mutu asipoonekana unaomba mbesiii.

mbesi ikiwadia lazima aitike.

Hivi kumbe yuko huku huku? ndo huyo Lady in red10 au? nisije pigwa mie.

hahahahahha.
 
Back
Top Bottom