Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 1,476
- 2,914
Ndug mwenyekiti huyu anaudhuriaga kweli kwenye vikao vyetu wanaume?.
😂😂😂😂 yaani.Una roho ya korosho unayojaribu kuificha kwa mwamvuli wa uzinzi......
Mdogo ako wa kike utamkataa pia?
Pokea ujumbe wako kutoka kwa braza hapo🤣Kwamba?
Hapo cjaona ujumbe wowote wa kunihusu 😎Pokea ujumbe wako kutoka kwa braza hapo🤣
Jifunze tu sio mpaka yakukute!Hapo cjaona ujumbe wowote wa kunihusu 😎
Akikujibu nishtueUnaweza kushindwa kujizuia kwa Dada yako au ndugu yako pia?
Unanisapoti?
Una jini kama sio pepo la ngono.Nshaonyesha kila dalili SITAKI mdogo wako wa kike aje kukaa na sisi lakini unalazimisha, akija nikishindwa kujizuia tusije tukalaumiana.
Atakua kama substitute kuendelea kukusaidia kufidia kibunda changu cha mahari nlichotoa maana hakuna namna.
Safi sana, nitamshughulikia kwa wivu mkubwa sanaNdio Mkuu. 😊
Hayo ni maoni yakoUna roho ya korosho unayojaribu kuificha kwa mwamvuli wa uzinzi......
Mdogo ako wa kike utamkataa pia?