ingekuwa vema kama ungefafanua na aina ya usafiri. By flight dar to msm is aprox 2,hrs. Sijui? Kama hiyo nayo ni safari ndefu. Ungezungumzia tu safari ndefu siyo kutaja mahali. Kumbuka hata k,koo to mbagala ni safari ndefu, ukitumia usafiri wa miguu.
form six ametoka kumaliza chuo???, usitudanganye hapa
Mama yako naye si mwanamke, nenda kamuulize atakujibu in detailsHapana, mwanamke yeyote tuu. Hata kama ana Mme ila kasafir peke ake.
Badala ya kuandika sredi hii hebu nenda kamuulize mama yako huenda ana majibu mazuri...
Wewe ni noma mkuu... Uzoefu mpaka unyayoni. Kwanini wako ivo?
Sio wote
Nauliza kujua, kupenda kujua sio kosa.
Inasemekani kuwa mwanamke akiwa katika safari ndefu mfano, Dar to Musoma ni wepesi sana kutongozeka.
Swali: ni kweli? Kwa nini iko ivo?
Dedicated kwa wote wanaojua.
Una hakika? usiongee kiushabikiNi wooote...
Mama yako naye si mwanamke, nenda kamuulize atakujibu in details