Wanawake pesa zenu huwa mnapeleka wapi?

Wanawake pesa zenu huwa mnapeleka wapi?

mwanaume yoyote yule akitaka kuishi kwa Amani na mwanamke ndani ya nyumba usiulize pesa ya mwananmke anaifanyia nini. wala usimguse kuhusu ada, hela ya chakula na mambo yote ndani ya nyumba. financial base yako ikitingishika tuu anza kujiandaa kudharahulika
 
Hela zao huwa wananunua ugoro wa kufukiza chini ya mapaja.

Ndiyo maana wanawake wengi siku hizi wanaharufu kali sana

Bullshit&@$);…"'!/; ---- ". Kama huna cha kuandika, si vibaya ukipita kimya tu. Unajisikiaje ukikisoma ulichokiandika?
 
Mzuri wa nini?acha ubwege kuna wanawake wapiganaji wanajinunulia vitu vya thamani kwa nguvu zao,wanamiliki vitu vya thamani ikiwemo mijengo ya maana na magari makali wakati we unayejifanya kidume unazidi kuwa jeans Mpauko mtaani,acha kukariri kwamba wanawake wote wanaishi kwa kuhongwa!!

Ni kweli ila mwanamke ata awe mpiganaji vipi kiu yake ya kuhongwa vitu haiishi,kivupi mwanamke ni natural receiver.
 
1.Hamnunui viwanja.

2.Hamjengi.

3.Magari mnahongwa.

4.Voucher mnahongwa.

5.Nguo mnapelekwa shopping.

6.Outing mnatolewa.

7.Nguo mnanunuliwa.

8.Kodi za mnalipiwa.

9.Simu mnanunuliwa,

10.Bado mnapiga mizinga ambayo inawasaidia kwa saloon na pesa ndogondogo za kutuma kwenu.

Kila kitu mnafanyiwa (Baadhi), Sasa hiyo mishahara yenu huwa mnafanyia nini. Maana pamoja na kufanyiwa yote hayo lakini unakuta account zenu hazina kitu. pesa zenu huwa mnafanyia nini.

umelenga ndipo hasa, haya akina dada mjitetee
 
mmmmh tunajiwekea akiba account ya malengo maana nyie wanaume mmezidi michepuko hatutaki dharau tenaaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom