Wanawake pesa zenu huwa mnapeleka wapi?

Wanawake pesa zenu huwa mnapeleka wapi?

Hela zao huwa wananunua ugoro wa kufukiza chini ya mapaja.

Ndiyo maana wanawake wengi siku hizi wanaharufu kali sana
 
Unawaonea wivu?Fanyiwa operesheni ili na wewe uwe na vitobo viwili ufanyiwe yote.
 
Hamnunui viwanja

Hamjengi

Magari mnahongwa

Voucher mnahongwa

Nguo mnapelekwa shopping

Outing mnatolewa

Nguo mnanunuliwa

Kodi za mnalipiwa

Simu mnanunuliwa

Na bado mnapiga mizinga ambayo inawasaidia kwa saloon na pesa ndogondogo za kutuma kwenu

KILA KITU NAFANYIWA (BAADHI), Sasa hiyo mishahara yenu huwa mnafanyia nini? Maana pamoja na kufanyiwa yote hayo lakini unakuta account zenu hazina kitu. PESA ZENU MNAFANYIA NINI?

Tunahonga.
 
Mzuri wa nini?acha ubwege kuna wanawake wapiganaji wanajinunulia vitu vya thamani kwa nguvu zao,wanamiliki vitu vya thamani ikiwemo mijengo ya maana na magari makali wakati we unayejifanya kidume unazidi kuwa jeans Mpauko mtaani,acha kukariri kwamba wanawake wote wanaishi kwa kuhongwa!!

Hahahahahahahaha hilo nalo neno... Nashukuru kwa kumjibu ipaasavyo maana anafikir kila mwanamke alichonacho amehongwa!!!
 
mwanaume kuulizia hela ya mwanamke!!! natia mashaka kwa hili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom