Wanawake pesa zenu huwa mnapeleka wapi?

Wanawake pesa zenu huwa mnapeleka wapi?

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
1.Hamnunui viwanja.

2.Hamjengi.

3.Magari mnahongwa.

4.Voucher mnahongwa.

5.Nguo mnapelekwa shopping.

6.Outing mnatolewa.

7.Nguo mnanunuliwa.

8.Kodi za mnalipiwa.

9.Simu mnanunuliwa,

10.Bado mnapiga mizinga ambayo inawasaidia kwa saloon na pesa ndogondogo za kutuma kwenu.

Kila kitu mnafanyiwa (Baadhi), Sasa hiyo mishahara yenu huwa mnafanyia nini. Maana pamoja na kufanyiwa yote hayo lakini unakuta account zenu hazina kitu. pesa zenu huwa mnafanyia nini.
 
kwa kawaida mwanamke anayejitambua akifanya mambo mazito kama kujenga, viwanja hakuambii vyote.

kumbuka wewe ukifa urithi unagawanywa but akifa mwanamke mali hazigawanyi mwanaume anaendelea kula bata tu. tumeshtuka tunaandaa maisha yetu ya ziada loo
 
Basi we sio mzuri.

Mzuri wa nini?acha ubwege kuna wanawake wapiganaji wanajinunulia vitu vya thamani kwa nguvu zao,wanamiliki vitu vya thamani ikiwemo mijengo ya maana na magari makali wakati we unayejifanya kidume unazidi kuwa jeans Mpauko mtaani,acha kukariri kwamba wanawake wote wanaishi kwa kuhongwa!!
 
Hamnunui viwanja

Hamjengi

Magari mnahongwa

Voucher mnahongwa

Nguo mnapelekwa shopping

Outing mnatolewa

Nguo mnanunuliwa

Kodi za mnalipiwa

Simu mnanunuliwa

Na bado mnapiga mizinga ambayo inawasaidia kwa saloon na pesa ndogondogo za kutuma kwenu

KILA KITU NAFANYIWA (BAADHI), Sasa hiyo mishahara yenu huwa mnafanyia nini? Maana pamoja na kufanyiwa yote hayo lakini unakuta account zenu hazina kitu. PESA ZENU MNAFANYIA NINI?

Hahaha kakudanganya nani no 1 Mpk 3 vyote nimefanya kwa hela yangu,ila sijaolewa bado ni siri yangu na kaka na dada zangu tu.Hizo zingine nashirikisha third party ajinyooshe.Account namuonyesha ile ya mshahara baada ya kuhamisha.
 
1412069545314.jpg
 
Amekariri tu!!
 
Mzuri wa nini?acha ubwege kuna wanawake wapiganaji wanajinunulia vitu vya thamani kwa nguvu zao,wanamiliki vitu vya thamani ikiwemo mijengo ya maana na magari makali wakati we unayejifanya kidume unazidi kuwa jeans Mpauko mtaani,acha kukariri kwamba wanawake wote wanaishi kwa kuhongwa!!

Iyo ni kinyume na mafundisho, kwan yanasema mwanaume utakula kwa jasho.
 
Hahaha kakudanganya nani no 1 Mpk 3 vyote nimefanya kwa hela yangu,ila sijaolewa bado ni siri yangu na kaka na dada zangu tu.Hizo zingine nashirikisha third party ajinyooshe.Account namuonyesha ile ya mshahara baada ya kuhamisha.

Akimaliza kukugegeda we ndo unampa hela au yeye ndo anakupa?
Au ndo ka unavyosema siri yako?!
 
hela zao huwapelekea waganga ambao huwaduwaza wanaume kufanya hayo yote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom