Wanawake nyie endeleeni kuringa tu

Umri ukienda wanaanza kuishi kwa matumaini..Wakienda kwenye harusi wanagombaniana maua kwa vikumbo teh

Heaven Sent mwaka huu ukiisha haujaleta mtu,nakuozesha kwa yeyote yule
Haaa kuna siku kwenye harusi muda wa kudaka ua, kuna mdada hadi alibebwa juu na uncle wake sijui

Daddy me na wewe tushaongea sana kuhusu hii issue. Nashangaa pressure za majirani zimeanza kukukosesha usingizi. Endelea tu kuchangia harusi za watoto wa wenzio, wa kwako bado yupo. Nimegoma kuondoka home teh
 
Wengi wakishachakaa wanataka harusi kubwaaa dunia nzima ijue....mwanamke kama bamia likikomaa halina thamani
 
Nilikua namkumbusha tu mzee mwenzangu asifurahie kukuona tu kwenye kwaito za wengine
Hahaha umejuaje, maana kwenye harusi za watu utadhani nalipwa, sio kwa kuchagamka kule. Everything happens in God's perfect time, so tulieni tu.
 
takwimu zinaonesha wanawake wazee watamu...wanakupa mambo ya kizee zee hadi rahaaa mpaka unajihisi mjuu kumbe husband...above 45 watamu more than under 32
 
Hahaha umejuaje, maana kwenye harusi za watu utadhani nalipwa, sio kwa kuchagamka kule. Everything happens in God's perfect time, so tulieni tu.
I believe in you ,it surely will happen in the right time , Muda mwingine tunakumbushana tu ,unaweza kuta umejisahau eti and God doesn't work that way often ,you scratch my back then i scratch yours sort of thing ...
 
Hahahaha si kwa kuwachamba hivi ila wamekuelewa 😀😀
 
Nimekupenda bure my dada!!!!ndoa za sasa ni fashion!!!!pesa kwnz mpnz baadae hutak pita hiviii!!!!
Kabisa my dear,kwa nyakati za sasa ndoa isiwe priority...ikitokea sawa lakini sio nguvu zako zote uziweke kwenye kutafuta mume,kamilisha mipango yako,kama ndoa ipo ipo tu huko mbeleni
 
Duuh..21 bado mdogo..Btw maamuzi ya kuolewa ni yake..Ninachoweza kufanya ni kumpa ushauri
Kwahio umri gani itafaa aolewe,wewe kama baba,na 21 udogo wake ni nini wakati kashapevuka inavyotakiwa,huoni wenzio wanalilia wanawake wawahi kuolewa 21-22 waolewe,ndio nakuuliza wewe ukiwa baba mwanao at 21 utamruhusu simply sababu wanaume ni wachache?
 

Pumbavu!. Kwa hiyo wewe unataka kila msichana unayemtaka hata kama hakupendi aseme ndiyo? Eti sababu za kipumbavu, na ndiyo sababu unakataliwa kwa sababu huna akili za kuishi na msichana. Mvulana mwenye akili hawezi kulazimisha vigezo vyake ndiyo viwe vigezo vya watu wote duniani. Pumbavu. Waache wasichana wana maisha yao na wewe hayakuhusu. Tafuta atakayekubali kuolewa kwa sababu anatakwa hata kama hapendi. Huna maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…