Wanawake ni watu wa kujisahau sana

Wanawake ni watu wa kujisahau sana

Kwani kosa ni lipi kwa kijakazi kulala ama kuolewa na baba mwenye nyumba???

Kosa kubwa ni sie kina mama kuwadharau hawa watu eti ooh siwezi shea penzi na housegirl kauli mbovu na mbaya mno tunatakiwa tujue housegirl ni mwanamke km wewe au mimi ana papuchi tena waweza kuta yake tamu na nzuri kuzidi yako unayoipulizia makorokoro na matakataka kibao kazi yako kubwa ni simu na kutafuta pesa majukumu yako km mama yote yanasimamiwa na housegirl huyohuyo unayejishaua kumuonea kinyaa

Kelele kila siku ni zako, kupika hujui, watoto wanaishije humo ndani hujui mumeo akitoka kazini huyo girl ndo anampokea mizigo yake tena kwa adabu anamsalimia na kumjulia hali ya siku yake kazini we unajivimbisha tu

Ombeni sana nisipigike siku moja nikawa housegirl wenu maana hawa wanajiaminisha ndo wazuri unamtoa kwake huku unampa pole kwa upumbavu na mishauo yake

Mwanaume kwa asili anapenda kunyenyekewa lkn sie tunajitia kusimika mivichwa yetu ya weaving acha waolewe mahousegirl wanaojua nini maana ya kulea mume
Vile umeongea vizuri mama, kama uko jirani na eneo nililopo hapa hebu sogea walau mchana wako uwe juu yangu walai
 
DaLu kama unaishi na msichana wa kazi vizuri basi hata mme wako utakuwa unaishi naye viziei kwa hiyo hilo haliwezekani.

Tatizo linakuja pale nyie ma boss lady mna wa under rate sana ma house girl. Housegirl ni jina tu kutokana na unyonge wake.

Kumbuka h/girl ni mwanamke kama ulivyo wewe hana tofauti hata moja, ana kitu cha pekee kinachomfanya aweze kushika nafasi yako, nacho ji uanauke. Hayo mengine ya pesa zako, wigi zako, kucha ndefu, kazi yako ni neema za ziada tu.
Huwa siwezi kabisa kumfanya dada wa kazi awe kama punda, najitahidi kuishi nae vizuri sana huwez amini. Nampa muda wa kupumzika, pale mtt anapolala naye hupata muda wa kupumzika. Endapo nitamfanya awe kama mtumwa huku namuachia mwanangu unategemea nn...
 
Wote kwa utatu wao ni empty sets kabisa [emoji28][emoji28],
Mwanamke anatakiwa kusimamia majukumu yote nyumbani, ajue mumewe anapenda nini, anakula nini, anavaa nini..

Sio vibaya kuwa na wasaidizi majumbani kwetu, lakini hii iwe pale tu unapokuwa na mtoto/watoto ili yule dada uwepo wake pale uwe wa kumlea/kuwalea wale watoto pindi mama mwenye nyumba awapo kwenye mihangaiko ya kutafuta riziki. Na baadhi ya kazi kama, kufua nguo za watoto, kufanya usafi (si chumbani kwa walezi wake).

Kosa linakuja tu pale huyu dada anapokabidhiwa u maza house wa kuamua familia ile nini, maendeleo ya mtoto (afya + elimu), mama alivyomzembe anaamua kumuachia binti zoezi zima la usafi wa chumba chake na nguo za mumewe na za kwake mwenyewe. Maendeleo ya mtoto/watoto wake anayajua dada, yeye anakuwa hana uhakika aulizwapo na mumewe hadi ajidhihirishie kwa dada, dada anakuwa msemaji
wa mama..Mwisho wa siku baba nae anamwona binti ndo mwenye thamani kubwa kuliko mkewe.

Baba nae ni kukosa busara kuhamishia majeshi kwa msaidizi wao, yule ni kama binti yao, kama baba kaona binti anastahili pongezi kwa kuijali familia yake hiyo si fadhila ambayo anastahili kupewa binti,, anafaa kumlea na kumchukulia kama binti yake.

Binti nae ni kujivunjia heshima na kumvunjia heshima pia aliyemleta p ale (uwezekano mkubwa kaletwa na mama). Hatakiwi kukubali kujihusisha kimapenzi na mlezi wake.
 
Bado Kuna wanaume wanatembea ba house girl siku hizi?

Mtu ameajiriwa kupika na kufua ndo unamhamishia mapenzi?

Hamjui kutofautisha kati ya mambo yanayofanywa Kwa upendo vs. mambo yanayofanywa sababu ni sehemu ya kazi?

Kama hujui kinachotofautisha mke na house girl hustahili kuitwa mume Wala mwanaume.
[emoji108][emoji108]Umeongea yote vyema
 
Kwani kosa ni lipi kwa kijakazi kulala ama kuolewa na baba mwenye nyumba???

Kosa kubwa ni sie kina mama kuwadharau hawa watu eti ooh siwezi shea penzi na housegirl kauli mbovu na mbaya mno tunatakiwa tujue housegirl ni mwanamke km wewe au mimi ana papuchi tena waweza kuta yake tamu na nzuri kuzidi yako unayoipulizia makorokoro na matakataka kibao kazi yako kubwa ni simu na kutafuta pesa majukumu yako km mama yote yanasimamiwa na housegirl huyohuyo unayejishaua kumuonea kinyaa

Kelele kila siku ni zako, kupika hujui, watoto wanaishije humo ndani hujui mumeo akitoka kazini huyo girl ndo anampokea mizigo yake tena kwa adabu anamsalimia na kumjulia hali ya siku yake kazini we unajivimbisha tu

Ombeni sana nisipigike siku moja nikawa housegirl wenu maana hawa wanajiaminisha ndo wazuri unamtoa kwake huku unampa pole kwa upumbavu na mishauo yake

Mwanaume kwa asili anapenda kunyenyekewa lkn sie tunajitia kusimika mivichwa yetu ya weaving acha waolewe mahousegirl wanaojua nini maana ya kulea mume

kabsaaa nawashangaa sana wanawake wanawatukana sana HGs as if hawana papuchi. ishini tu maisha ya kuigiza mtakimbizwa sana ha HGs maana papuchi wanazo
 
Bado Kuna wanaume wanatembea ba house girl siku hizi?

Mtu ameajiriwa kupika na kufua ndo unamhamishia mapenzi?

Hamjui kutofautisha kati ya mambo yanayofanywa Kwa upendo vs. mambo yanayofanywa sababu ni sehemu ya kazi?

Kama hujui kinachotofautisha mke na house girl hustahili kuitwa mume Wala mwanaume.
Wengi sana. Men are simple creatures kumbuka hilo. Kwanza hivi kuwa na mahusiano na mwamke ni kumpa heshima au kumvunjia heshima ? Tuanzie hapo..
 
Kwani kosa ni lipi kwa kijakazi kulala ama kuolewa na baba mwenye nyumba???

Kosa kubwa ni sie kina mama kuwadharau hawa watu eti ooh siwezi shea penzi na housegirl kauli mbovu na mbaya mno tunatakiwa tujue housegirl ni mwanamke km wewe au mimi ana papuchi tena waweza kuta yake tamu na nzuri kuzidi yako unayoipulizia makorokoro na matakataka kibao kazi yako kubwa ni simu na kutafuta pesa majukumu yako km mama yote yanasimamiwa na housegirl huyohuyo unayejishaua kumuonea kinyaa

Kelele kila siku ni zako, kupika hujui, watoto wanaishije humo ndani hujui mumeo akitoka kazini huyo girl ndo anampokea mizigo yake tena kwa adabu anamsalimia na kumjulia hali ya siku yake kazini we unajivimbisha tu

Ombeni sana nisipigike siku moja nikawa housegirl wenu maana hawa wanajiaminisha ndo wazuri unamtoa kwake huku unampa pole kwa upumbavu na mishauo yake

Mwanaume kwa asili anapenda kunyenyekewa lkn sie tunajitia kusimika mivichwa yetu ya weaving acha waolewe mahousegirl wanaojua nini maana ya kulea mume
Baeleze bajue
 
Ni matatizo sana mkuu hizi sheria walizojiwekea binadamu ni mkosi... Maandiko matakatifu yanasema mwanaume na atamtawala mwanamke sasa binadamu anapingana na maandiko huo si ujinga?

Chakushangaza unakutana na hivo viwanawake eti vina biblia vinaenda kusala makanisa mbalimbali hahhaaha... stupid idiot hawajitambui.
Acha kabisa mkuu. Kule kwa Waislam Mtume (S.A.W) alisema kama ingefaa binadam kumsujudia binadam mwingine basi mke alipaswa kumsujudia mume. Tazama uzito wa jambo hilo.
 
Kwani kosa ni lipi kwa kijakazi kulala ama kuolewa na baba mwenye nyumba???

Kosa kubwa ni sie kina mama kuwadharau hawa watu eti ooh siwezi shea penzi na housegirl kauli mbovu na mbaya mno tunatakiwa tujue housegirl ni mwanamke km wewe au mimi ana papuchi tena waweza kuta yake tamu na nzuri kuzidi yako unayoipulizia makorokoro na matakataka kibao kazi yako kubwa ni simu na kutafuta pesa majukumu yako km mama yote yanasimamiwa na housegirl huyohuyo unayejishaua kumuonea kinyaa

Kelele kila siku ni zako, kupika hujui, watoto wanaishije humo ndani hujui mumeo akitoka kazini huyo girl ndo anampokea mizigo yake tena kwa adabu anamsalimia na kumjulia hali ya siku yake kazini we unajivimbisha tu

Ombeni sana nisipigike siku moja nikawa housegirl wenu maana hawa wanajiaminisha ndo wazuri unamtoa kwake huku unampa pole kwa upumbavu na mishauo yake

Mwanaume kwa asili anapenda kunyenyekewa lkn sie tunajitia kusimika mivichwa yetu ya weaving acha waolewe mahousegirl wanaojua nini maana ya kulea mume

Umemaliza shostito.
 
hapo kwenye kelele hapo sasa
 
Unakuta dada mfanyakazi wa ndani anatembea na bosi wake, bosi anampenda kweli kweli, na anaamua kumuelezea kwanini anampenda kuliko mama yake yaani bosi lady sifa kubwa aliyonayo ni kujua kumpikia kuliko hata mke wake, mwisho wake anaharibu ndoa ya bosi wake na kuolewa yeye.

Cha ajabu sasa baada ya kuolewa na yeye anaamua kuwa bosi na kutafuta msichana wa kazi ili ampikie mumewe, unadhani chakula kikiwa kitamu zaidi yake nini kitafuata?
karma
 
wadada ogopeni sana kumpa stress mwanaume maana wanaume wanaoa kupunguza stress za kupika,stress za tamaa na ngono nyingine nyingi...epuka sana kumfanya mwanaume ajione anapata stress.....ofcourse na sisi tuna yetu ila nyie jitahidini hapo kwanzA
 
Haita tokea house girl afanye nimfukuze Mama zakaria nyumbani,vijana wengi hamjui kutofautisha tamaa za kimwili na upendo ulie kuwa moyoni, Mama zakaria ni mama bora kushinda wanawake wote walie kuwa ndani ya ulimwengu huu.
Bado kuna wanaume wa kujivunia
 
Hapo sasa!

Yaani kabisa wanakuja kupost hapa eti mke hafanyi xyz kwahiyo naenda kutembea na housegirl! Halafu wanapongezwa na minjemba mingine, na wanawake pia nyie mwana justify eti wanawake wanajisahau. Mume hawezi kutembea na housegirl na kuhalalaisha kisa wewe hufanyi kazi anazofanya house girl. Unaweza ukasema unatembea na boss wako kisa mume wako hakulipi mshara?

Poleni mlioolewa na wanaume akili fupi. So much disrespect.

Kama unampenda mkeo na unaona kuna angle fulani amejisahau kwann usimwambie ajirekebisbe unahisi yeye ni malaika awe perfect since day one umefunga nae ndoa till death? Ina maana mwanaume yeye hana mapungufu? Huyo mke nae aseme afanye substitute ya shambaboy tutafika? Watu wasijustfy uovu wao kwa visingizio vya mke kujisahau na kutembea na housegirl while you two can sit down and settle things out
 
Anapenda chakula kitam, aende hotelini akiona chakula kitamu ampende mpishi ambae hajamuona, tuone itakuaje.
HAPO SASA! Ataoa na kutembea na wapishi wote, male chefs included hahah
 
Ni matatizo sana mkuu hizi sheria walizojiwekea binadamu ni mkosi... Maandiko matakatifu yanasema mwanaume na atamtawala mwanamke sasa binadamu anapingana na maandiko huo si ujinga?

Chakushangaza unakutana na hivo viwanawake eti vina biblia vinaenda kusala makanisa mbalimbali hahhaaha... stupid idiot hawajitambui.

Je wanaume wote wanastahili kupewa position zote za utawala kisa ni wanaume au maandiko ( yaliyoandikwa na BINADAMU ) yanasema? Same way si kila mwanamke anastahili kuwa mama au mke, si kila mwanaume anastahili kuwa mwongozi.

Alieanzisha hii mada ni mwanaume lakini akili si nyingi. Siwezi fuata mtu kama huyo, hapana. Na hicho ndicho wanawake siku hizi wamegundua kuwa ukifata mwanaume 0 utapelekwa pabaya, wewe na familia yako. Bora uwe independent.
 
Kwani kosa ni lipi kwa kijakazi kulala ama kuolewa na baba mwenye nyumba???

Kosa kubwa ni sie kina mama kuwadharau hawa watu eti ooh siwezi shea penzi na housegirl kauli mbovu na mbaya mno tunatakiwa tujue housegirl ni mwanamke km wewe au mimi ana papuchi tena waweza kuta yake tamu na nzuri kuzidi yako unayoipulizia makorokoro na matakataka kibao kazi yako kubwa ni simu na kutafuta pesa majukumu yako km mama yote yanasimamiwa na housegirl huyohuyo unayejishaua kumuonea kinyaa

Kelele kila siku ni zako, kupika hujui, watoto wanaishije humo ndani hujui mumeo akitoka kazini huyo girl ndo anampokea mizigo yake tena kwa adabu anamsalimia na kumjulia hali ya siku yake kazini we unajivimbisha tu

Ombeni sana nisipigike siku moja nikawa housegirl wenu maana hawa wanajiaminisha ndo wazuri unamtoa kwake huku unampa pole kwa upumbavu na mishauo yake

Mwanaume kwa asili anapenda kunyenyekewa lkn sie tunajitia kusimika mivichwa yetu ya weaving acha waolewe mahousegirl wanaojua nini maana ya kulea mume
Neno limesimama.
 
Back
Top Bottom