God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,786
- 3,067
Hao ndio sio wa kuoa mkuu.Huwezi mlazimisha mwanamke! Kama hataki kupika ni aidha ukale hotelini au akili mkichwa. Akinamama wa siku hizi ni wabishi nao ni madume jike
Mwanamke anapaswa kuwa chini ya mumewe daima. Mwanamke anapaswa amtii mumewe... hii 50/50 inaharibu jamii sana.
Mwanaume ni kichwa kwa mkewe, mara nyingi wanawake kama hao huwa hawadumu katika ndoa mf joyce kiria n,k wote ni nuksi... hujui mume ni nani mke ni nani so expect nothing mkuu.