Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
Mm nilisema yakina kunishinda nimeshajiandaa kua mtawa[emoji2]
Hayakushindi bana.
Sisi ni wanawake hatushindwagi jambo.
Na hasa ukishaingia chumba kile aisee hakunaga kutoa machozi ever again.
Mm nilisema yakina kunishinda nimeshajiandaa kua mtawa[emoji2]
Huu ni upotoshaji wa kiwango cha lami, mke atabaki kuwa mke na house girl atabaki kuwa house girl hawa watu hawawezi kufanana hata siku moja kwa minajili ya thamani yani Value, ukiona mwanaume ana substitute house girl kuwa mke basi akili zake haziko sawa...Unakuta dada mfanyakazi wa ndani anatembea na bosi wake, bosi anampenda kweli kweli, na anaamua kumuelezea kwanini anampenda kuliko mama yake yaani bosi lady sifa kubwa aliyonayo ni kujua kumpikia kuliko hata mke wake, mwisho wake anaharibu ndoa ya bosi wake na kuolewa yeye.
Cha ajabu sasa baada ya kuolewa na yeye anaamua kuwa bosi na kutafuta msichana wa kazi ili ampikie mumewe, unadhani chakula kikiwa kitamu zaidi yake nini kitafuata?
Siamini katika kuvua chupi za subordinates unfortunately! Ila comments zako kuhusu sie ni ngumu kumesaWengine sio wa kutendwa.
Uache kuvua chupi mabinti wa kazi.
Na kwanini akutoe, mimi napenda wanawake wa sampuli yako, ni dharau kubwa mwanaume to substitute wewe na house girl hata kama mke una mapungufu kiasi gani ni uzuzu wa mwanaumeKamwe mdada wa kazi hawezi nitoa kwangu hata siku 1.
Siamini katika kuvua chupi za subordinates unfortunately! Ila comments zako kuhusu sie ni ngumu kumesa
Ni kweli kabisa mkuu kama ni mwanamke mwingine hapo sawa lakini umenikuta ndani, nimekupokea vizuri naishi nae kama mdogo wangu halafu unichukulie mwanaume wangu...! Hata kama umekuja na hiriz kutoka wapi zitashindwa ktka Jina la Yesu.Na kwanini akutoe, mimi napenda wanawake wa sampuli yako, ni dharau kubwa mwanaume to substitute wewe na house girl hata kama mke una mapungufu kiasi gani ni uzuzu wa mwanaume
[emoji23][emoji23][emoji23] Mwanaume akiwa anakitembeza sana inabidi nijiepushe nae bila hivyo nitaletewa maradhi bure.Hayakushindi bana.
Sisi ni wanawake hatushindwagi jambo.
Na hasa ukishaingia chumba kile aisee hakunaga kutoa machozi ever again.
[emoji23][emoji23][emoji23] Mwanaume akiwa anakitembeza sana inabidi nijiepushe nae bila hivyo nitaletewa maradhi bure.
Kwani kosa ni lipi kwa kijakazi kulala ama kuolewa na baba mwenye nyumba???
Kosa kubwa ni sie kina mama kuwadharau hawa watu eti ooh siwezi shea penzi na housegirl kauli mbovu na mbaya mno tunatakiwa tujue housegirl ni mwanamke km wewe au mimi ana papuchi tena waweza kuta yake tamu na nzuri kuzidi yako unayoipulizia makorokoro na matakataka kibao kazi yako kubwa ni simu na kutafuta pesa majukumu yako km mama yote yanasimamiwa na housegirl huyohuyo unayejishaua kumuonea kinyaa
Kelele kila siku ni zako, kupika hujui, watoto wanaishije humo ndani hujui mumeo akitoka kazini huyo girl ndo anampokea mizigo yake tena kwa adabu anamsalimia na kumjulia hali ya siku yake kazini we unajivimbisha tu
Ombeni sana nisipigike siku moja nikawa housegirl wenu maana hawa wanajiaminisha ndo wazuri unamtoa kwake huku unampa pole kwa upumbavu na mishauo yake
Mwanaume kwa asili anapenda kunyenyekewa lkn sie tunajitia kusimika mivichwa yetu ya weaving acha waolewe mahousegirl wanaojua nini maana ya kulea mume
Bado Kuna wanaume wanatembea ba house girl siku hizi?
Mtu ameajiriwa kupika na kufua ndo unamhamishia mapenzi?
Hamjui kutofautisha kati ya mambo yanayofanywa Kwa upendo vs. mambo yanayofanywa sababu ni sehemu ya kazi?
Kama hujui kinachotofautisha mke na house girl hustahili kuitwa mume Wala mwanaume.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hatarious[emoji23][emoji23][emoji23] bahat mbaya mm wadada wa kazi ninaopataga wanajua kupika ugali tu na kuchemsha chai. Nikimruhusu kupika mboga za majani tutakula zikiwa na michanga au chumvi kuongezeka. Hayo yote n kwaajili ya sinema zetu.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Aisee yani kapeace umeongea ukweli mtupu.., Nikweli kabisa Mume ndani yanyumba siku zote anahitaji kunyenyekewa haijalishi Mmelingana kipato au Elimu sasa kwa Dada zetu wa sasa hicho kitu hawataki kukiskia kabis akisha jiona nayeye anaamka asubuh anaelekea kazini jioni anarudi nyumban hapo ndio bas tena mtabaki mnaishi kibabe tuKwani kosa ni lipi kwa kijakazi kulala ama kuolewa na baba mwenye nyumba???
Kosa kubwa ni sie kina mama kuwadharau hawa watu eti ooh siwezi shea penzi na housegirl kauli mbovu na mbaya mno tunatakiwa tujue housegirl ni mwanamke km wewe au mimi ana papuchi tena waweza kuta yake tamu na nzuri kuzidi yako unayoipulizia makorokoro na matakataka kibao kazi yako kubwa ni simu na kutafuta pesa majukumu yako km mama yote yanasimamiwa na housegirl huyohuyo unayejishaua kumuonea kinyaa
Kelele kila siku ni zako, kupika hujui, watoto wanaishije humo ndani hujui mumeo akitoka kazini huyo girl ndo anampokea mizigo yake tena kwa adabu anamsalimia na kumjulia hali ya siku yake kazini we unajivimbisha tu
Ombeni sana nisipigike siku moja nikawa housegirl wenu maana hawa wanajiaminisha ndo wazuri unamtoa kwake huku unampa pole kwa upumbavu na mishauo yake
Mwanaume kwa asili anapenda kunyenyekewa lkn sie tunajitia kusimika mivichwa yetu ya weaving acha waolewe mahousegirl wanaojua nini maana ya kulea mume
Afanye mambo yake lakini kwa siri kubwa sana asikuonyeshe.Yaani. Kwa maisha ya siku hizi. Mwanaume hata utilize majukumu yako kwa 100%,
Kamwe atakusaliti tu. Haijalishi ata date na house girl au na mwingine. Mimi ndo naamini hivyo.