Wanawake ni watu wa kujisahau sana

Wanawake ni watu wa kujisahau sana

Je wanaume wote wanastahili kupewa position zote za utawala kisa ni wanaume au maandiko ( yaliyoandikwa na BINADAMU ) yanasema? Same way si kila mwanamke anastahili kuwa mama au mke, si kila mwanaume anastahili kuwa mwongozi.

Alieanzisha hii mada ni mwanaume lakini akili si nyingi. Siwezi fuata mtu kama huyo, hapana. Na hicho ndicho wanawake siku hizi wamegundua kuwa ukifata mwanaume 0 utapelekwa pabaya, wewe na familia yako. Bora uwe independent.
Mkuu maandiko ya kwenye biblia ni ya Mungu tusifanye vitu kwa kubahatisha...
We kama humtii mumeo basi hutii maagizo ya Mungu! Halafu nahisi ww ni type ya akina Joyce Kiria.
Kwa hali hii msitegemee kuolewa mkuu.

Hata mumeo akikuambia kamfulie nguo si utamjia juu?

Soma Mwanzo 3:16 "Kisha akamwambia mwanamke nnitakuzidishia uchungu wa kuzaa, kwa uchungu utazaa watoto, utakua na hamu na mumeo hata hivyo nae atakutawala"

Mkuu mara nyingi wanwake jamii yenu ni selfish, wanaharakati na mnajitegemea so mwanaume hana umuhimu kwenu.
 
Wengi sana. Men are simple creatures kumbuka hilo. Kwanza hivi kuwa na mahusiano na mwamke ni kumpa heshima au kumvunjia heshima ? Tuanzie hapo..

Kuanzisha mahusiano na mwanamke uliemuajiri kukufanyia kazi ni kumkosea heshima mke wako. Sawa na kuanza mahusiano na mwanaume aliekuajiri ni kumkosea heshima mume wako na ndoa yako. Kila mtu kwenye ndo ana jukumu la kuhakikisha ndoa yake inasimama wima, na kukaa na kuongea na mwenza ukiona vitu havijakaa sawa.
 
Mkuu maandiko ya kwenye biblia ni ya Mungu tusifanye vitu kwa kubahatisha...
We kama humtii mumeo basi hutii maagizo ya Mungu! Halafu nahisi ww ni type ya akina Joyce Kiria.
Kwa hali hii msitegemee kuolewa mkuu.

Hata mumeo akikuambia kamfulie nguo si utamjia juu?

Soma Mwanzo 3:16 "Kisha akamwambia mwanamke nnitakuzidishia uchungu wa kuzaa, kwa uchungu utazaa watoto, utakua na hamu na mumeo hata hivyo nae atakutawala"

Mkuu mara nyingi wanwake jamii yenu ni selfish, wanaharakati na mnajitegemea so mwanaume hana umuhimu kwenu.

Who is Joyce Kiria?

Si kila mtu ni mkristo, so don't quote to bible at me.

Endeleeni kukariri maandiko halafu kuwaletea jeuri wanawake kisa "biblia inasema nakutawala!!!"

Si wanaume wote wanafaa kutawala. Angalia nchi yetu halafu uniambie wanaume wote hawa wameteuliwa na mungu kutuongoza hahaha
 
Kuna uwezekano upo sahihi ila kama huamini basi bana hatutaenda pamoja.
Hakuna cha jeuri mkuu ila la msingi ni kila mtu kutimiza role yake basi...

Hii dunia inatawaliwa na shetani mkuu ila kwa vile husomi maandiko huwezi nielewa hata nikikupa mistari.
 
Yaani. Kwa maisha ya siku hizi. Mwanaume hata utilize majukumu yako kwa 100%,
Kamwe atakusaliti tu. Haijalishi ata date na house girl au na mwingine. Mimi ndo naamini hivyo.
Kwahyo umechukua hatua gani ! Au bado kuingia?
 
Ogopa sana mwanaume asiye na vigezo vya mtu amtakaye, ama asiye na uchaguzi!

Mume wangu kamwe hawezi kudate wala hata kumfikiria housegirl. Napenda mwanaume anayejua thamani yake na mwenye dharau..

Huh, eti mume wangu AMFIKIRIE housegirl .... Then he doesn't deserve me!!
Kwa bahati mbaya ama nzuri huwez jua kama nimetembea na beki 3 . Teh Teh.
 
Kuna uwezekano upo sahihi ila kama huamini basi bana hatutaenda pamoja.
Hakuna cha jeuri mkuu ila la msingi ni kila mtu kutimiza role yake basi...

Hii dunia inatawaliwa na shetani mkuu ila kwa vile husomi maandiko huwezi nielewa hata nikikupa mistari.

Tatizo lenu wanaume ni ubabe na jeuri. Mnatumia mamlaka feki kukandamiza wanawake kisa mungu kasema.
Hivyo kosa kidogo au udhaifu kidogo tu mnatumia kufanya maovu yenu na kusema "ungetimiza role yenu, haya yasingetokea", na hivyo kujiondolea dhambi wewe na kumfanya mkeo kuwa chanzo cha wewe kutenda maovu.

Wanawake wakiamka mbona mtakoma. Wameshaanza kuamka.
 
Huwa siwezi kabisa kumfanya dada wa kazi awe kama punda, najitahidi kuishi nae vizuri sana huwez amini. Nampa muda wa kupumzika, pale mtt anapolala naye hupata muda wa kupumzika. Endapo nitamfanya awe kama mtumwa huku namuachia mwanangu unategemea nn...
Ndio hapo sasa mtu muhimu katika familia yako unamuona kama chokoraa utakuwa hujielewi na wewe, halafu huyo huyo unamwachia watoto, kuna familia zingine bwana majanga, u amwacha mfanya kazi anakuwa mchafuuu....halafua anakupikia anakupa chakula na maji ya kunwa unadhani unamkomoa
 
Tatizo lenu wanaume ni ubabe na jeuri. Mnatumia mamlaka feki kukandamiza wanawake kisa mungu kasema.
Hivyo kosa kidogo au udhaifu kidogo tu mnatumia kufanya maovu yenu na kusema "ungetimiza role yenu, haya yasingetokea", na hivyo kujiondolea dhambi wewe na kumfanya mkeo kuwa chanzo cha wewe kutenda maovu.

Wanawake wakiamka mbona mtakoma. Wameshaanza kuamka.
Kule ulaya walishaamka je hali ikoje? Mwanamke kuke ulaya bado ni mwanamke tu na.mwanaume.kule ulaya ni mwanaume tu, usijidanganye unajipa stress tu. Ukitaka maisha bora ya raha ishi kama ulivyo, hata mwanaume.akikosea tu akajifanya kama.mwanamke basi humu thread za malalamiko huwa zinajaa.
 
Mwanaume anaejiheshimu hawezi fanya huo upuuzi.
 
Kule ulaya walishaamka je hali ikoje? Mwanamke kuke ulaya bado ni mwanamke tu na.mwanaume.kule ulaya ni mwanaume tu, usijidanganye unajipa stress tu. Ukitaka maisha bora ya raha ishi kama ulivyo, hata mwanaume.akikosea tu akajifanya kama.mwanamke basi humu thread za malalamiko huwa zinajaa.

Ungewapa choice wanawake wa Tz wachangue kuishi kama wanawake ulaya au wanawake Afrika ni wachache sana watachagua Afrika na huo ndio ukweli. Ulaya si mbinguni lakini Kuna tofauti kubwa sana kati ya jinsi wanaume wanavyoheshimu wanawake kule na kujiheshimu pia. Kutembea na mfanyakazi Ni aibu kubwa MNO na Kamwe hawezi kujitamba Kwa jambo Hilo.
 
Kamwe mdada wa kazi hawezi nitoa kwangu hata siku 1.
Ujakutanana na wafanyakazi ukipata mfanyakazi kutoka Arusha,Kondoa na Tanga. Mbona mke unamuacha vizuri tuuuuuuu
 
Ungewapa choice wanawake wa Tz wachangue kuishi kama wanawake ulaya au wanawake Afrika ni wachache sana watachagua Afrika na huo ndio ukweli. Ulaya si mbinguni lakini Kuna tofauti kubwa sana kati ya jinsi wanaume wanavyoheshimu wanawake kule na kujiheshimu pia. Kutembea na mfanyakazi Ni aibu kubwa MNO na Kamwe hawezi kujitamba Kwa jambo Hilo.
Nakubaliana na wewe katika baadhi ya mambo, lakini ulaya si kama.wengi wanavyoifikiria, kule kwanza divorce rate ziko juu sana, unajua chanzo ni nini??
 
Mimi natoa ushauri kwa wanaume wote.
Kama hujawahi kumuonja HG
usijaribu hata siku moja maana unaweza kupotea mazima.
 
Bado Kuna wanaume wanatembea ba house girl siku hizi?

Mtu ameajiriwa kupika na kufua ndo unamhamishia mapenzi?

Hamjui kutofautisha kati ya mambo yanayofanywa Kwa upendo vs. mambo yanayofanywa sababu ni sehemu ya kazi?

Kama hujui kinachotofautisha mke na house girl hustahili kuitwa mume Wala mwanaume.

Exactly, hawajui kutofautisha Upendo vs kazi. Very immature
 
Back
Top Bottom