Wanawake ni watu wa kujisahau sana

Wanawake ni watu wa kujisahau sana

Unakuta dada mfanyakazi wa ndani anatembea na bosi wake, bosi anampenda kweli kweli, na anaamua kumuelezea kwanini anampenda kuliko mama yake yaani bosi lady sifa kubwa aliyonayo ni kujua kumpikia kuliko hata mke wake, mwisho wake anaharibu ndoa ya bosi wake na kuolewa yeye.

Cha ajabu sasa baada ya kuolewa na yeye anaamua kuwa bosi na kutafuta msichana wa kazi ili ampikie mumewe, unadhani chakula kikiwa kitamu zaidi yake nini kitafuata?
Anampenda au anapenda chakula. Hakuna kitu kinaitwa 'chakula chake'
 
Bado Kuna wanaume wanatembea ba house girl siku hizi?

Mtu ameajiriwa kupika na kufua ndo unamhamishia mapenzi?

Hamjui kutofautisha kati ya mambo yanayofanywa Kwa upendo vs. mambo yanayofanywa sababu ni sehemu ya kazi?

Kama hujui kinachotofautisha mke na house girl hustahili kuitwa mume Wala mwanaume.
Anapenda chakula kitam, aende hotelini akiona chakula kitamu ampende mpishi ambae hajamuona, tuone itakuaje.
 
Kwani kosa ni lipi kwa kijakazi kulala ama kuolewa na baba mwenye nyumba???

Kosa kubwa ni sie kina mama kuwadharau hawa watu eti ooh siwezi shea penzi na housegirl kauli mbovu na mbaya mno tunatakiwa tujue housegirl ni mwanamke km wewe au mimi ana papuchi tena waweza kuta yake tamu na nzuri kuzidi yako unayoipulizia makorokoro na matakataka kibao kazi yako kubwa ni simu na kutafuta pesa majukumu yako km mama yote yanasimamiwa na housegirl huyohuyo unayejishaua kumuonea kinyaa

Kelele kila siku ni zako, kupika hujui, watoto wanaishije humo ndani hujui mumeo akitoka kazini huyo girl ndo anampokea mizigo yake tena kwa adabu anamsalimia na kumjulia hali ya siku yake kazini we unajivimbisha tu

Ombeni sana nisipigike siku moja nikawa housegirl wenu maana hawa wanajiaminisha ndo wazuri unamtoa kwake huku unampa pole kwa upumbavu na mishauo yake

Mwanaume kwa asili anapenda kunyenyekewa lkn sie tunajitia kusimika mivichwa yetu ya weaving acha waolewe mahousegirl wanaojua nini maana ya kulea mume
Wewe unafaa kuwa Kungwi wa MMU
 
Haita tokea house girl afanye nimfukuze Mama zakaria nyumbani,vijana wengi hamjui kutofautisha tamaa za kimwili na upendo ulie kuwa moyoni, Mama zakaria ni mama bora kushinda wanawake wote walie kuwa ndani ya ulimwengu huu.
 
Kuna baadhi ya sisi wanawake huwa tuna sahau majukumu yetu pindi tunapopata dada wa kazi, utakuta kazi zote tunamwachia yy hata majukumu yasiyo muhusu anafanya yy. Huku mikononi tukiwa tumebandika mikucha my dia dada wa kazi ni rahisi sana kushika usukani.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Kuna rafiki wa mke wangu kaachika, inasemekana yeye alikuwa kila siku asubuhi mpka usiku akishaoga asubuhi anashika simu na chaja tu, akikaa kwenye kochi instagram itakoma. Hajui watoto wamekula nini, usafi ndani unafanyikaje, wafanyakazi wake wa ndani anawanyoosha si mchezo, naona mumewe kaboreka amebwaga manyanga.
 
Haita tokea house girl afanye nimfukuze Mama zakaria nyumbani,vijana wengi hamjui kutofautisha tamaa za kimwili na upendo ulie kuwa moyoni, Mama zakaria ni mama bora kushinda wanawake wote walie kuwa ndani ya ulimwengu huu.
Na ndio maana unampemda kwa sababu anajielewa
 
Kuna rafiki wa mke wangu kaachika, inasemekana yeye alikuwa kila siku asubuhi mpka usiku akishaoga asubuhi anashika simu na chaja tu, akika kwenye kochi instagram itakoma. Hajuu watoto wamekula nini, usafi ndani unafanyikaje, wafanyakazi wake wa ndani anawanyoosha si mchezo, naona mumewe kaboreka amebwaga manyanga.
Ndo hapo sasa sisi wanawake huwa tunajisahau sana mm nina mapungufu yangu lkn najitahidi kadri ya uwezo wangu kumfanya mwanaume wangu ataman uwepo wangu nikiwa sipo.
 
Wanawake wa siku hizi hamna kitu kabisa. Hii 50/50 inawavimbisha vichwa....hii kufanya kazi na kumiliki pesa inawaondoa katika uhalisia wao.
Nakupa mfano: inapaswa mume anapoondoka home mke amsindikize mpaka getini amuage vizuri.....wife hafanyi hivi na kama naye anafanya kazi usikute yeye ndo kaamka mapema kuwahi kazini kakuacha home. Ukirudi jioni, akupokee ina maana kama alikua amekaa ni lazima asimame atambue kuwa kuna mtu kaingia. Kama kulikua na shughuli yake isiyo na maana sana anafanya inabidi asitishe...attention yote kwako. Au umpe ruhusa aendelee na hicho anachofanya

Wangapi wanaulizwa habari za kazi?
Ni matatizo sana mkuu hizi sheria walizojiwekea binadamu ni mkosi... Maandiko matakatifu yanasema mwanaume na atamtawala mwanamke sasa binadamu anapingana na maandiko huo si ujinga?

Chakushangaza unakutana na hivo viwanawake eti vina biblia vinaenda kusala makanisa mbalimbali hahhaaha... stupid idiot hawajitambui.
 
Bado Kuna wanaume wanatembea ba house girl siku hizi?

Mtu ameajiriwa kupika na kufua ndo unamhamishia mapenzi?

Hamjui kutofautisha kati ya mambo yanayofanywa Kwa upendo vs. mambo yanayofanywa sababu ni sehemu ya kazi?

Kama hujui kinachotofautisha mke na house girl hustahili kuitwa mume Wala mwanaume.
Ngoja nihifadhi maneno
 
Yan usomeshe mwanamke huku umemuoa??zitakuwa hazikutoshi,kama hataki kushifunza basi yatamshinda..
Mkuu hujanielewa... kwa mujibu wa mtoa mada mkewe hayupo vizuri jikoni na hatimizi majuku yake sasa mm nikasema vipi akimpeleka akasomee kozi fupi ya mapishi!

Kwa sababu housegirl atachukua usukani
 
Ni kweli kabisa mkuu kama ni mwanamke mwingine hapo sawa lakini umenikuta ndani, nimekupokea vizuri naishi nae kama mdogo wangu halafu unichukulie mwanaume wangu...! Hata kama umekuja na hiriz kutoka wapi zitashindwa ktka Jina la Yesu.
DaLu kama unaishi na msichana wa kazi vizuri basi hata mme wako utakuwa unaishi naye viziei kwa hiyo hilo haliwezekani.

Tatizo linakuja pale nyie ma boss lady mna wa under rate sana ma house girl. Housegirl ni jina tu kutokana na unyonge wake.

Kumbuka h/girl ni mwanamke kama ulivyo wewe hana tofauti hata moja, ana kitu cha pekee kinachomfanya aweze kushika nafasi yako, nacho ji uanauke. Hayo mengine ya pesa zako, wigi zako, kucha ndefu, kazi yako ni neema za ziada tu.
 
Usiseme hivyo wewe! Mbona unajiamini hivyo? Hilo ndio kosa lenu kujiamini kupita kiasi. Mdo mana wengi wanaachika huku hawaamini kinachotokea. Nilikua na mschana kama hivi alikua najiaminisha hata mbele yangu kuwa siwezi kumwacha hata nifanyeje na hakuna wa kumpiku. Mi nilikua namwangalia tu na mwisho wa siku hakuamini maana ilitokea paap nikaamua kumsimamisha rasmi. Usijiaminishe hivyo kwa mwanaume maana huwa hatupendi hizo kauli.
Basi we ulifanya maksud kumwacha dada wa watu
 
Anaanjae house girl kunitoa kwangu, kwanza kujua kupik sio lazim muhimu kuhakikisha mumeo anashiba na nawez kua sijui kupik ila ktk 6 kwa 6 nikawa fundi hilo ndio muhimu hiz za kupik mi sio chief cooker .
 
House girl wetu bado ana harufu ya kijijini, bado ananuka moshi sijui tumtafutie dawa gani ya kunywa...
Inaonekana hata kwenu ni wachafu, halafu wewe mwenyewe bado unaishi kwa mama yako na baba yako.

Kwani kwenu hakuna sabuni nzuri za kuogea na mafuta ya kupaka? Kwenu mnavaa nguo zilizooza kwa nini msimbadilishie mavazi akanawilu na kupendeza? Vipi huyo h/girl kama ananuka na ndiye anawapikia chakula na kuwaandalia maji ya kunwa si mnakula hata mavi kweli.

Sasa hapo mnamkomoa au mnajikomoa nyie?

Je mahala anapolala ni pasafi? Nyumba yenu insonekana ni wachafu sana hata huyo Hg patamshinda.
 
Anaanjae house girl kunitoa kwangu, kwanza kujua kupik sio lazim muhimu kuhakikisha mumeo anashiba na nawez kua sijui kupik ila ktk 6 kwa 6 nikawa fundi hilo ndio muhimu hiz za kupik mi sio chief cooker .
Hahahaaaa hapa wanawake wengi wanajidanganya sana, ukiwa hujaoa au kuolewa unawexa kuwaza kama wewe. Mkioana mizuka ya 6×6 sio kivile. Hata uwe na shape nzuri kiasi gani kitendo cha mimi mwanaume kuka na wewe mwaka mzima kugegedana hapa na pale unaonekana wakawaida sana. Utu, wema, ukarimu, upendo ndio hubaki kudumisha ndo tu.
 
Watu wanaongelea kuoa ama kuolewa kwa ajili ya sex na kufanyiwa kazi kama kupika na kufua. Hawaongelei kabisa mapenzi na kufanya maisha pamoja...

Ndio maana mume anaweza kumuacha mke akaoa housegirl kisa tu anampikia chakula kitamu.. Basi huyu mume anaweza pia kuoa mpishi wa hotelini maana kwake ndoa ni ili apikiwe ale
 
Back
Top Bottom