Wanawake ni walevi hadi wanakera!

Wanawake ni walevi hadi wanakera!

Hahahaa. Pole sana sababu ni kazi sana kujijua kama hapa unakosea haswa ukiwa umepiga yale mambo bila kuwa na mtu karibu wa kukushtua ukienda kinyume.
Ni kweli

msaada muhimu sana.
 
Teh Teh wanywe ila kwa kiasi me sijawahi kuzungukwa na wapuuzi isipokuwa mmoja yeye 2-3 glass of wine anapigana huyoo hataki mazoea ukimshangaa tuu unaye!! Ukihudumia kwa nyodo unaye yeye ni ugomvi tuuu jmn
 
Hahaha, umenikumbisha xmass ya mwaka wa Jana kulikuwa na dem mmoja alikunywa pombe chakali. Katoa nguo zote kwenye baa. Kwa nini vijana wasimtoe nje na kuanza kujisevia. Walikula kinyama. Dogo mwenyewe ni affected na HIV.
Lusekelo
 
Teh Teh wanywe ila kwa kiasi me sijawahi kuzungukwa na wapuuzi isipokuwa mmoja yeye 2-3 glass of wine anapigana huyoo hataki mazoea ukimshangaa tuu unaye!! Ukihudumia kwa nyodo unaye yeye ni ugomvi tuuu jmn

kwakweli hata mie kichwa panzi sipend yaan ht nikijua unapenda ugomv mie nakutenga !nahisig kama ushamba sijui
 
Hivi wewe pia unajua maana ya neno ungese au unataka kuanzisha ligi tukuone ni mwenzake na delicious au marehemu kaoge
Nishakuchana mwanangu tena in good mood ACHA UNGESE, mambo ya utani na dini achana nayo usinletee tantarira sasa hivi. Hujui maana ya neno Sunna tulia tusiamshe yaliolala aisee
 
Nishakuchana mwanangu tena in good mood ACHA UNGESE, mambo ya utani na dini achana nayo usinletee tantarira sasa hivi. Hujui maana ya neno Sunna tulia tusiamshe yaliolala aisee
Neno linaweza kuwa na maana nyingi, usikariri. Unajua mfano neno Imana ina maana ya Mungu kwa wenzetu na katika mkoa mmoja hapa Tanzania ni K. Kwetu ukisema kinu ni K wakati kwenu ni mtwangio. Acha kukariri na asifiaye mvua imemnyea (hivyo huwezi kuitwa watu ni wa ngese ikiwa wewe hujafumuliwa marinda). MBITIYAZA achana na huyo hajitambui.
 
Me siongei maneno mengi boya wewe. Hizo habari za maana nyingi unazijua wewe aa.nina za maa.mayo. Wewe unajua Sunna maana yake nini? au unadhani maana yake ni ktomb. wa kwa mamaa yako???
 
Me siongei maneno mengi boya wewe. Hizo habari za maana nyingi unazijua wewe aa.nina za maa.mayo. Wewe unajua Sunna maana yake nini? au unadhani maana yake ni ktomb. wa kwa mamaa yako???
Huu ni utoto na mimi siwezi kupoteza muda na watoto bye!!!!
 
Huu ni utoto na mimi siwezi kupoteza muda na watoto bye!!!!
Safari njema na I warn you tena peaceful mshkaji wangu, achana na kutania dini za watu. Dini ndio zinasababisha majanga mengi kwenye jamii, respect someone religion na hakutakuwa na ugomvi between us. One love
 
kuna teams mcharuko, hao wakiingia bar, wanaanza na ngum ngum alafu wanakuja kumalizia na laini tayari kushakucha, ukipishana ni kama umepishana na gari la taka

Hahahaha
 
Jifunzeni u Lady kidogo, Mwanamke kuwa mlevi haipendezi, unakuta mwanamke amekaa anakata Whisky dadadeki kama hana akili nzuri!
Mwanamke raha yake softy softy labda glass ya Dodoma wine kidogo halafu pia hali sana, badilikeni bhana.

Aliyekuambia mwanamke kunywa whiskey ni dhambi ama sumu ni nani? Hiyo Dodoma wine unayoipendekeza wewe wala si nzuri, imejaa sukari kibao.
 
Safari njema na I warn you tena peaceful mshkaji wangu, achana na kutania dini za watu. Dini ndio zinasababisha majanga mengi kwenye jamii, respect someone religion na hakutakuwa na ugomvi between us. One love
Utoto kweli ni shida ungejua mimi ni dini ipi usingeyaaandika hayo!
 
Halafu nasikiaga eti baadhi yao wakilewa huwa pombe inakimbilia kule kwa bibi eti. Yaani anayekuja twende. Hahahaaa

Ila pombe isiyo na kipimo sio aisee kama inanywewa bora hao wanywaji wanywe kwa kiasi angalau wajue hata njia ya kurudi majumbani.

Bibie naona hujui lengo la pombe, pombe ni kilevi, ina kilevi maana yake mtu anaekunywa anataka kulewa na raha ya pombe uyumbe..

Sio maneno yangu haya ni maneno ya mlevi mmoja mtaani al maarufu kitosa.
 
Back
Top Bottom