Wanawake ni walevi hadi wanakera!

Wanawake ni walevi hadi wanakera!

Ndio maana mimi sidate na mwanamke anaekunywa pombe. Kama anakunywa basi niwe naenda nae bar.

Nishatafuna wanawake wengi sana ambao nawaokota bar, ukikaa nae jiran tu akalewa basi unajiokotea mzoga unaenda kula.

Mimi huwezi kuacha kunikuta maeneo ya bar naotea mizoga ingawa mimi sijawahi na hua sinywi pombe.

Mwanamke akishalewa ushindwe mwenyewe kumla. Hata nikitongoza mwanamke akawa anasumbua basi namuomba kumtoa, akikubali na akawa anakunywa basi siku hyo hyo namtafuna.
Bac we simba
 
Halafu nasikiaga eti baadhi yao wakilewa huwa pombe inakimbilia kule kwa bibi eti. Yaani anayekuja twende. Hahahaaa

Ila pombe isiyo na kipimo sio aisee kama inanywewa bora hao wanywaji wanywe kwa kiasi angalau wajue hata njia ya kurudi majumbani.

Ni kweli kwa %60 baadhi yao. Mi binafsi niliwahi kukutana nae wa namna hiyo. Tulikua tunafahamiana kidogo akiwa hajalewa uandae dhana nzito za kupigania ili umkamate.
Ila nilikutana nae amelewa akamtoroka jamaa ambae alimnywesha via zake za kutosha ili apige mzigo. Akaja kinikumbatia mimi nikaenda nae chemba, asubuhi yake, yote tuliyofanya hakumbuki hata moja. Akawa anajisikia aibu na hakutaka hata nimkumbushe alikubali kwamba kitendo kilifanyika baada ya kumwambia amuulize shoga yake.
 
Hahaha, same idea.
 
Hahahaa. Umeona sasa na huo ndio ubaya wa hii kitu sababu yanayofanyika mengi yanakuwa hayatokani na akili ya kawaida bali yanatokana na ile akili ya pombe.

Inapokwisha sasa ndio hubaki aibu na majuto.
 
Pombe mbaya jamanii
 
Halafu nasikiaga eti baadhi yao wakilewa huwa pombe inakimbilia kule kwa bibi eti. Yaani anayekuja twende. Hahahaaa

Ila pombe isiyo na kipimo sio aisee kama inanywewa bora hao wanywaji wanywe kwa kiasi angalau wajue hata njia ya kurudi majumbani.

wa kwetu hii misamiati unayo kumbe???
 
Jifunzeni u Lady kidogo, Mwanamke kuwa mlevi haipendezi, unakuta mwanamke amekaa anakata Whisky dadadeki kama hana akili nzuri!
Mwanamke raha yake softy softy labda glass ya Dodoma wine kidogo halafu pia hali sana, badilikeni bhana, hasa Wanawake wa kutoka KLM ni walevi balaaa, ...
Umenikumbusha kuna mdada Staff mwezetu kazini mwanamke ana kunywa yuleeeeeeeeee sijapata kuona,Wanaume na uwanaume wao wali bakia kumuangalia, kinachokera ni pale bombe ikizidi anakua ovyo kabisa mnaweza kuondoka mkamuacha,wala haoni tabu mara kachukuliwa na huyu mara na yule mpaka unasema huyu sidhani kama hawaja mfanya kitu kibaya,halafu ni mzuri ila balaa alokua nalo ni hilo..
 
Back
Top Bottom