Wanawake ni walevi hadi wanakera!

Wanawake ni walevi hadi wanakera!

Halafu nasikiaga eti baadhi yao wakilewa huwa pombe inakimbilia kule kwa bibi eti. Yaani anayekuja twende. Hahahaaa

Ila pombe isiyo na kipimo sio aisee kama inanywewa bora hao wanywaji wanywe kwa kiasi angalau wajue hata njia ya kurudi majumbani.

Hahahahahahaaa

Eti inakimbilia wapi dada yangu..
 
Wengi sana wana stress msiwaone hivyo, chunguza utajua kwa nini wanakunywa sana hivyo, kuwasaidia ni kutaka kujua kwa nini wanafanya hivyo na kujaribu kuwashauri waache ila ukimwambia atakuuliza utanisaidia matatizo yangu sasa hapo ndio pagumu, mwingine atasema nina mambo mengi, nataka mume siwezi kumpata, sina hela ya mtaji, sina wa kunitunza yani ku take care, naona wenzangu wana bembelezwa na waume zao na ndoa zinapendeza sasa mimi sijui ni lini yani inanichanganya kweli, kila mwanaume akija ananikimbia...
 
Kila binadamu na starehe zake...

Ila pombe kupita kiasi kwa binadamu yoyote yule ina madhara makubwa sana...

Kheri mahondaw wangu hatumii pombe, nami pia situmii pombe hata kidogo...


cc: mahondaw
 
Alikufanyaje, au alikutenda au ulimtenda?.can you explain?. Utashangaa ndo mimi
Hapana
Sio kwa ubaya Mkuu, alikuwa zaidi ya ndugu kwangu miaka hiyooo!!! Ni mtu mmoja muhimu sana kwenye maisha yangu,alinisaidia kwa kweli. Mungu azidi mtunza huko aliko
 
na mara nyingi mademu wanaovuta cha arusha wanakuwa wale warembo hasa. kuna muhudumu mmoja wa ndege za P nilimfuma sehemu abapiga cha arusha huwezi amini
 
mie nakunywa ninapoamua ! wine yangu safiiiiiiiiiiiiiiiii natulia !wala sion watu wawili wawili ! na haijawah nishuka chini !pombe unaweza kuidrive wewe !huwezi niambia ninywe wine na Ngariba1 inishuke kwa bibi akuu !utasubiri kweli kweli !itashuka chini nikiwa na mume ! mie huwa ipo hvyo !@piga ua galagaza !haiwez niendesha !

tena nimemiss hatari !
Mimi tena...nilivyo nyoka juu ya mwembe. Maembe yanaiva kuyala siwezi ila naogopesha watu kupanda. Kwa ninavyokujua, hata tunywe tukiwa in our 'birthday suits' wala huwezi shtuka.
 
Back
Top Bottom