Wanawake ni walevi hadi wanakera!

Wanawake ni walevi hadi wanakera!

Mi nakunywaga tu sijawahi lewa...taratibbbb
ndo maana nahis wanawaongelea wale vichwa pandhi ! utaanza kujiwehusha mke wa mtu sasa !wehukia kitandani kwako na mumeo !i saw u on that day !safii kabisa !ni bandika bandua na msos !lol
 
ndo maana nahis wanawaongelea wale vichwa pandhi ! utaanza kujiwehusha mke wa mtu sasa !wehukia kitandani kwako na mumeo !i saw u on that day !safii kabisa !ni bandika bandua na msos !lol
Nahitaji maombi ya kupungusa msosi, ni balaa
 
Kibaya zaidi, mwili wake unakuwa unatoa jasho la pombe, hata kule sehemu sehemu kunakuwa na harufu mbaya...
Wanawake waache kabisa kunywa kupitiliza kwa kweli...
 
mie nakunywa ninapoamua ! wine yangu safiiiiiiiiiiiiiiiii natulia !wala sion watu wawili wawili ! na haijawah nishuka chini !pombe unaweza kuidrive wewe !huwezi niambia ninywe wine na Ngariba1 inishuke kwa bibi akuu !utasubiri kweli kweli !itashuka chini nikiwa na mume ! mie huwa ipo hvyo !@piga ua galagaza !haiwez niendesha !

tena nimemiss hatari !
Vizuri mama,kwani unamwogopa sn ngariba?
Alikufanya nn?
 
Nahitaji maombi ya kupungusa msosi, ni balaa

hahahahhaa mie shoga nimeweza !nilitia NIA kali sana !nimelose 2kgs nw ! najisikia raha ajabu ! hapa nimekula mchicha bakuli zima !sana sana nitakula saa 2 tena bas !hapo kati mie ilikua shida jaman !
 
Mwanamke mnywaji mie sijui namuonaje!!! Mtanisamehe lakini mie naumia kweeeli kumuona mwanamke amekaa na kwa nywaji kikali tena baa!!! Huwa nahisi kuna shida mahali tuu
Akinywa nyumban na babe wake

Fresh ?
 
Mi mtu yeyote asiyetumia pombe huwa simwelewi japo kulewa sio ishu
 
Hahaaa. Ila itakuwa unapata shida au ndio wifi yangu anakuwa na kazi ya kukufinya mapajani kila unapokosa utulivu.
Ahhahaahhaaah

Kwa bahati nzuri au mbaya bado wifi yako sjamtafuta.
najidhibiti mwenyewe tu.
 
Ahhahaahhaaah

Kwa bahati nzuri au mbaya bado wifi yako sjamtafuta.
najidhibiti mwenyewe tu.
Hahahaa. Pole sana sababu ni kazi sana kujijua kama hapa unakosea haswa ukiwa umepiga yale mambo bila kuwa na mtu karibu wa kukushtua ukienda kinyume.
 
Hahaha, umenikumbisha xmass ya mwaka wa Jana kulikuwa na dem mmoja alikunywa pombe chakali. Katoa nguo zote kwenye baa. Kwa nini vijana wasimtoe nje na kuanza kujisevia. Walikula kinyama. Dogo mwenyewe ni affected na HIV.
 
hahahahhaa mie shoga nimeweza !nilitia NIA kali sana !nimelose 2kgs nw ! najisikia raha ajabu ! hapa nimekula mchicha bakuli zima !sana sana nitakula saa 2 tena bas !hapo kati mie ilikua shida jaman !
Hongera. Mi nitaanza tar moja jan.
 
Back
Top Bottom