Wanawake ni viumbe hatari sana, tena sana

Wanawake ni viumbe hatari sana, tena sana

Habar ya wakat huu ndugu zang wana JF?

Mimi ni kijana chin ya miaka ya miaka 35, Elimu yang ni ngaz ya kat na juu (diploma + degree), nimejiajiri, mchaga.

Nilipokuwa bado ktk masomo yang ya ngaz ya kat na juu, niliingia kwenye mahusiano na binti mmoja aliyekuwa nyuma yang kdgo ktk ngaz ya elim lakin mbele yang kdgo kiumri. Binti alitokea kunipenda sana kupndukia lakin kwa upande wang haikunishangaza sana kwasabab niko na uzefu wa kupendwa na sijawah wala siamin ktk kutongoza had nimeoa sasa.

Kwa kuwa napenda uwaz na kuishi kwa mipango, siku moja nilimweka waz juu ya mpango wang kwako, Ya kwamba sina mpango wa kumuoa kwa sabab mbalmbal, moja wapo ni kuwa. Hakuwa wife material kwang, hvyo ikibidi tuachane mapema au akifkia muda wa kuolewa aolewe kwa aman, pa1 na maleng yake mengine. Kwa ufup hakukubaliana na uamuz wala mpang wang, hvyo kutokana na msimamo wang aliniomba walau anizalie ili awe na kop yang.

Nilitafakar kwa kipnd ombi lake, hasa kuhusu "future" ya mtoto wang kwasabab huwa sifany jambo bila mpango na maleng. Baada ya kunishnikiza sana juu ya ombi lake nilimkubalia lakin kwa utaratb maalum ikiwa imebak miez kdhaa yy kumaliza masomo alinifuata mko nilipokuwa nasoma chuo, tulikutana kama kawaida na baada kuondoka muda mchache alipaniambia ni mjamzto nam nikaenda kuthibitisha hlo.

Maisha yaliendelea nikalea mimba kwa shida sana mana ckuwa na mkopo bali nilifanya biashara ndgo ndgo chuon ili kusapot malez ya mtoto. Wakat mwngne ilinilazim kuamka usiku mnene niondoke chuo kwnda nyumba aliyopanga (baada ya kumaliza chuo) kumsaidia mtoto akiugua na changamoto nyingnezo, nilisimamia mtoto akabatzwa kwa jina nililompa mm, nimpleka tohara (kutahiriwa) na mengne meng.

Kwa ufup sana nilimlea mtoto had akafkisha miaka miwil na miez michache kufka miaka mi 3. Nilipokuwa narud DSM baada ya kumaliza chuo; tulikuwa na mgogoro mm na yy (mama mtoto) kisa nilimwambia ntamwtaji mtoto atakapoanza shule nimsomeshe, alikata mawasiliano na mm kwa wiki moja na mm nilijua kuwa ni hasira hvyo yakiisha atanielewa, matokeo yake alikuja na Taarifa kuwa YULE SI MTOTO WNG, baba yake halisi amerud alipokuwa. Nilipatwa na mshtuko mkubwa sana na kuishia kuwa na mawazo sana, hasa nikiwaza changamoto nilizoptia, niliwaza hata kumfanyia jambo baya sana lakn bado nafsi ilirud nyuma kwa kuwa pia nimelewa ktk mazngra ya kdin sana.

Mwshowe mama yang aligundua kuwa nilikuwa naptia hyo changamoto na kunisihii nisahau pia nisifanye maamuz mabaya yatayoharib maisha yang baadae, pia alinitia moyo kuwa mungu atanipa wang na mengne meng, hvyo niliamua kusahau na kuendelea na maisha.

Miaka minne mbele nilioa, na nilifanikiwa kupata mtoto, na maendeleo mengne, miaka imepta lakin kuna wakat moyo uniuma sana nikikumbuka nyuma, hasa nitafakar namna lavyonipenda, na kuniheshim sana, mbaya zaid hakujal mapito niliyoptia kumlea hyo mtoto, lakin pia kejel za hyo baba halis ambaye sikuwah kumfaham hata kwa sura (ss nimeshamwona pchan kwa ktk jithada za kumfaham) kwmba sikuwa nimechangia chochote, hata nikifungua kesi (kipnd kile)

Kwakuwa sikuwahi kuombwa radhi kwa yote bas sihawaji kuhisi msamehee hyo mwanamke pa1 na hyo bwana.

Maswal niliyobaki nayo (kujiuliza):

(1) Kwann hakuniacha tu kama ilijua kuna mtu mwngne pembeni

(2) Hata baada ya kujifungua, kwann hakuniambia mapema ili nisiendelee kupoteza muda wang mana wahenga husema ajuae baba halis wa mtoto ni mama.

(3) Je, kunipenda kote kule ilikuwa maigizo?

ATHARI NILIZOPATA KISAIKOLOJIA

(1) Najiuliza Hivi hata hyu niliye nae japo kuna mfanano ni wang?

(2) Mke wangu sijawahi mpa hii story ss nawaza hata nikmwabia nihitaji kumpma mtoto DNA atanielewaje!? Na je hao wanaopima DNA watanipa majb ya kwel au ndio kutakuwa na BIAS ili kutovunja ndoa!?

(3) Sina iman kabsa juu ya mwanamke yyte.

(4) Hali ile ilinifanya nifkiri kuwa mkatili kwa wanawake na pia nisiwe na mpangi wowote na kuoa....lakin kwa neema ya Mungu alikuwa ameshamwandaa mwanamke kwaajili yangu (mke wng sasa)

MWISHO (nimejarb sana kufupisha story)

Nimeamua kuleta stori hii ya niliyopitia ktk maisha yang ya mahisiano ili Wanaume au vijana wenzang mkae chonjo sana na wanawake mana ni HATARI SANA si wa kuamini kabsa, pia Nanyi Wanawake mwache Tabia ya kutubambika Watoto na kutupa majukum yasiyotuhusu, mwshowe si mzuri.

NAWASILISHA NDUGU ZANGU. Nakarbisha ushaur, maoni, mjadala na pia kama ww umeptia kama niliyoptia.

KARIBUNI.
sielewi ni kwa nini vijana wasomi wenye digrii zao huwa ni wajinga katika masuala ya mapenzi na ngono.
- Yaani mwanamke anakwambia nataka copy yako nibaki nayo, kirahisi rahisi bila kuwaza kuwa unafanya permanent connection na ukoo wake ambao kimsingi huufahamu na hutaki kuufahamu unakubali kirahisi rahisi tu.

-mnakunjana na baada ya siku chache anakwambia tayari nina mimba yako, wala hunotisi tarehe, tangu mtiane mpaka anajifungua.

-katika ulimwengu huu ambao hata mimba inaweza kupimwa DNA, mwanaume unakubali kirahisi rahisi na usomi wako kichwani?
 
Aliyewaumba mwenyewe aliwaambia muishi nao kwa akili.

Hapa ndio ulipofeli, uliingia mzima mzima.
Tukiishi na nyie kiakili mnaanza lalamika oh wanaume na michepuko bwana, mara utamaliza bucha zote nyama ile ile🤣🤣🤣🤣
 
Sasa kama ulijua anakupenda kwanini ulitaka kumuacha au ndiyo mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu

Wewe ulitaka kumuacha eti kisa siyo wife material wakati mwenzio alikupenda na akafa akaoza ila haukujali hilo

Yeye akaona akulipizie kwa njia hiyo unaona kama umeonewa sana kwahiyo wewe ulivyotaka kumuumiza uliona ni sawa
Hujaelewa mada naona. Rudia kusoma tena
 
Mashukuru mungu niliweza kuendelea na maisha had sasa......Cha ajab nimemwona baba wa hyo mtoto kwnye whatsApp namba niliyopewa na rafk yake hyo mwanake.....anafanana sana na mtoto....
Potezea
 
Yani Sijui una miaka mingapi lakini nina uhakika hata shule yako ni tatizo.. Yani wew unamwambia mwanamke huna future nae alafu anakwambia mzae tu unakubali??? Unadhani mtoto ni kama kukojoa tu barabarani na kuondoka eti?? Kama mwanamke humtaki muoneshe vitendo sio kumwambia maneno ya kashfa na kujikuta shujaaa na huyo mwanamke kakosea kitu kimoja Kawahi mapema kukwambia mtoto sio Wako ilibdi umlee mpaka afike miaka hata 15 hivi ndo akupige na kitu Kizito kichwani... Kuna umri ukifika sio kila mwanamke inabdi ulale nae tu ili mradi umkojolee inabdi uwe Selective sana hasa suala la mwanamke gani unazaa nae...

Next time Kuwa na msimamo na maamuzi yako.
 
Mkuu kwa uzoefu wang huwa yanakuja automatically, nikiwa na maana yakwamba wngne huanza urafik, urafki ukizd tunakuwa wapenz hasa zaid mwanzo mwanamke huonesha ishara za kunikubal, wengne huniambia kabsa ananipenda...
Je mahusiano huanza vipi? au wao wanakuanza?
 
Lakin kisayansi mwanamke hana tamaa za ngono, kwamba anataman kufanya huyu au yule kama ilivyo kwetu wanaume.....yaan kwa mwanamke ngono ni kichochoe cha kupata kinginecho zaid ya rungu.....yaan kwa ufup ngono kwa mwanamke si kipaumbele kama ilivyo kwetu wanaume
Wee yaani u adhani hawa wanawake wanaweza rulia na mwanaume mmoja...hamna kktu kama hicho. Wanapenda sana kugeggedwa hawa na de libolo tofauti.
 
sielewi ni kwa nini vijana wasomi wenye digrii zao huwa ni wajinga katika masuala ya mapenzi na ngono.
- Yaani mwanamke anakwambia nataka copy yako nibaki nayo, kirahisi rahisi bila kuwaza kuwa unafanya permanent connection na ukoo wake ambao kimsingi huufahamu na hutaki kuufahamu unakubali kirahisi rahisi tu.

-mnakunjana na baada ya siku chache anakwambia tayari nina mimba yako, wala hunotisi tarehe, tangu mtiane mpaka anajifungua.

-katika ulimwengu huu ambao hata mimba inaweza kupimwa DNA, mwanaume unakubali kirahisi rahisi na usomi wako kichwani?
AZAMING
Hahahaaaa...ndugu kwanza nikuweke sawa katka hlo la kusema wasomi wa degree ni wajinga ktk mapenz.....Nijuavyo mm Hakuna Commando cku zote au milele ktk mapenzi, pili wakt huo nilikuwa diploma (2012s) na kwasabab tulikuwa ktk mapnz na iman kubwa kama ww ulivyo na mtu wako (mpnz au mke)...tatu kwakuwa pia mm c moja ya wanaume wakwepa majukum ilikuwa haikuwa rahis kumkataa pindi anasema kuwa ana mimba yang....so thnk pia mkuu
 
Yani Sijui una miaka mingapi lakini nina uhakika hata shule yako ni tatizo.. Yani wew unamwambia mwanamke huna future nae alafu anakwambia mzae tu unakubali??? Unadhani mtoto ni kama kukojoa tu barabarani na kuondoka eti?? Kama mwanamke humtaki muoneshe vitendo sio kumwambia maneno ya kashfa na kujikuta shujaaa na huyo mwanamke kakosea kitu kimoja Kawahi mapema kukwambia mtoto sio Wako ilibdi umlee mpaka afike miaka hata 15 hivi ndo akupige na kitu Kizito kichwani... Kuna umri ukifika sio kila mwanamke inabdi ulale nae tu ili mradi umkojolee inabdi uwe Selective sana hasa suala la mwanamke gani unazaa nae...

Next time Kuwa na msimamo na maamuzi yako.
Ndugu masuala ya mapenz nadhan haipayasw kujajiwa kwa mihemko kias hcho.....pia suala la umri na hekima/busara si direct proportional kila wakat.....kama ungesoma vzur uzi ungenielewa.....all in all umecoment vyema....nimekusoma....
 
Ulikosea kukubali kuzaa nae, alikua na ujauzito akaona akupumzikie wewe ujile kama ulivyokuwa umemtumia na kumwambia humtaki.

PIMA DNA ya mtoto mara zote kuepuka hizi changamoto za kulea kisicho chako
 
Pole sana ,huwa sio vzr kukubali kumbebesha mimba mtu ambaye huna mpango nae hata kama amekuomba na kukisihi kiasi gani,mwisho wake maranyingi huwa n matatizo.
 
Lakin kisayansi mwanamke hana tamaa za ngono, kwamba anataman kufanya huyu au yule kama ilivyo kwetu wanaume.....yaan kwa mwanamke ngono ni kichochoe cha kupata kinginecho zaid ya rungu.....yaan kwa ufup ngono kwa mwanamke si kipaumbele kama ilivyo kwetu wanaume
Ok sawa ila wapo nymphomaniacs pia ujue.
 
Hahahaaaa...ndugu kwanza nikuweke sawa katka hlo la kusema wasomi wa degree ni wajinga ktk mapenz.....Nijuavyo mm Hakuna Commando cku zote au milele ktk mapenzi, pili wakt huo nilikuwa diploma (2012s) na kwasabab tulikuwa ktk mapnz na iman kubwa kama ww ulivyo na mtu wako (mpnz au mke)...tatu kwakuwa pia mm c moja ya wanaume wakwepa majukum ilikuwa haikuwa rahis kumkataa pindi anasema kuwa ana mimba yang....so thnk pia mkuu
unaweza ukadhani kujiita ni mwanaume usiyekwepa majukumu, ukadhani ni strength but nikwambia that mentality has landed many men in trouble. it is a weakness in disguise
 
Mleta mada unasema umelelewa kwenye dini lakini dini yako inaruhusu Uzini na uzae na binti wa watu huku mama yako naye akijua na kukutuliza baada ya kunyimwa mtoto?

Pili ulikosea kuendelea kumnyandua baada ya kumuona sio wife materials kwako? Ulidhani unamwaga mbegu kwenye pipa ili utoe baadae uende kupanda shambani.?

Papuchi ikimwagiwa mbegu inazalisha mimba na hatimae mtoto.

Sahau yaliyopita hata kama hujaombwa msamaha na mtu.
 
Back
Top Bottom