Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,548
- 88,539
Oh sasa kwanini ulilala nayeTatzo lingine kwa (wanawake) wanapenda kudanganywa.....ukwel nilimwambia ya kuwa sina mpango wa kumuoa.....Ni Kosa tena?!!?
Oh sasa kwanini ulilala nayeTatzo lingine kwa (wanawake) wanapenda kudanganywa.....ukwel nilimwambia ya kuwa sina mpango wa kumuoa.....Ni Kosa tena?!!?
Shida kijana ilianzia hapa :Habar ya wakat huu ndugu zang wana JF,? Mimi ni kijana chin ya miaka ya miaka 35, Elimu yang ni ngaz ya kat na juu (diploma + degree), nimejiajir, mchaga.
Nilipokuwa bado ktk masomo yang ya ngaz ya kat na juu, niliingia kwenye mahusiano na binti mmoja aliyekuwa nyuma yang kdgo ktk ngaz ya elim lakin mbele yang kdgo kiumri. Binti alitokea kunipenda sana kupndukia lakin kwa upande wang haikunishangaza sana kwasabab niko na uzefu wa kupendwa na sijawah wala siamin ktk kutongoza had nimeoa sasa.
Kwa kuwa napenda uwaz na kuishi kwa mipango, siku moja nilimweka waz juu ya mpango wang kwako, Ya kwamba sina mpango wa kumuoa kwa sabab mbalmbal, moja wapo ni kuwa.....Hakuwa wife material kwang....hvyo ikibidi tuachane mapema au akifkia muda wa kuolewa aolewe kwa aman, pa1 na maleng yake mengine. Kwa ufup hakukubaliana na uamuz wala mpang wang, hvyo kutokana na msimamo wang aliniomba walau anizalie ili awe na kop yang.
Nilitafakar kwa kipnd ombi lake, hasa kuhusu "future" ya mtoto wang kwasabab huwa sifany jambo bila mpango na maleng. Baada ya kunishnikiza sana juu ya ombi lake nilimkubalia lakin kwa utaratb maalum.....ikiwa imebak miez kdhaa yy kumaliza masomo alinifuata mko nilipokuwa nasoma chuo.....tulikutana kama kawaida na baada kuondoka muda mchache alipaniambia ni mjamzto nam nikaenda kuthibitisha hlo.
Maisha yaliendelea nikalea mimba kwa shida sana mana ckuwa na mkopo bali nilifanya biashara ndgo ndgo chuon ili kusapot malez ya mtoto. Wakat mwngne ilinilazim kuamka usiku mnene niondoke chuo kwnda nyumba aliyopanga (baada ya kumaliza chuo) kumsaidia mtoto akiugua na changamoto nyingnezo....nilisimamia mtoto akabatzwa kwa jina nililompa mm, nimpleka tohara (kutahiriwa) na mengne meng.
Kwa ufup sana nilimlea mtoto had akafkisha miaka miwil na miez michache kufka miaka mi 3. Nilipokuwa narud DSM baada ya kumaliza chuo; tulikuwa na mgogoro mm na yy (mama mtoto) kisa nilimwambia ntamwtaji mtoto atakapoanza shule nimsomeshe....alikata mawasiliano na mm kwa wiki moja na mm nilijua kuwa ni hasira hvyo yakiisha atanielewa...matokeo yake alikuja na Taarifa kuwa...YULE SI MTOTO WNG..baba yake halisi amerud alipokuwa.....Nilipatwa na mshtuko mkubwa sana na kuishia kuwa na mawazo sana....hasa nikiwaza changamoto nilizoptia....niliwaza hata kumfanyia jambo baya sana lakn bado nafsi ilirud nyuma kwa kuwa pia nimelewa ktk mazngra ya kdin sana....
Mwshowe mama yang aligundua kuwa nilikuwa naptia hyo changamoto na kunisihii nisahau pia nisifanye maamuz mabaya yatayoharib maisha yang baadae...pia alinitia moyo kuwa mungu atanipa wang na mengne meng....hvyo niliamua kusahau na kuendelea na maisha.....
Miaka minne mbele nilioa, na nilifanikiwa kupata mtoto, na maendeleo mengne....miaka imepta lakin kuna wakat moyo uniuma sana nikikumbuka nyuma, hasa nitafakar namna lavyonipenda, na kuniheshim sana....mbaya zaid hakujal mapito niliyoptia kumlea hyo mtoto,,..lakin pia kejel za hyo baba halis ambaye sikuwah kumfaham hata kwa sura.....(ss nimeshamwona pchan kwa ktk jithada za kumfaham)....kwmba sikuwa nimechangia chochote, hata nikifungua kesi (kipnd kile).....
Kwakuwa sikuwahi kuombwa radhi kwa yote bas sihawaji kuhisi msamehee hyo mwanamke pa1 na hyo bwana.....
Maswal niliyobaki nayo (kujiuliza):
(1)Kwann hakuniacha tu kama ilijua kuna mtu mwngne pemben
(2)hata baada ya kujifungua, kwann hakuniambia mapema ili nisiendelee kupoteza muda wang mana wahenga husema ajuae baba halis wa mtoto ni mama.
(3)Je kunipenda kote kule ilikuwa maigizo?!
ATHARI NILIZOPATA KISAIKOLOJIA
(1)Najiuliza Hivi hata hyu niliye nae japo kuna mfanano ni wang!!?
(2)mke wng sijawah mpa hii story ss nawaza hata nikmwabia nihitaji kumpma mtoto DNA atanielewaje!? Na je hao wanaopima DNA watanipa majb ya kwel au ndio kutakuwa na BIAS ili kutovunja ndoa!?
(3) sina iman kabsa juu ya mwanamke yyte.
(4) Hali ile ilinifanya nifkiri kuwa mkatili kwa wanawake na pia nisiwe na mpangi wowote na kuoa....lakin kwa neema ya Mungu alikuwa ameshamwandaa mwanamke kwaajili yangu (mke wng sasa)
MWISHO (nimejarb sana kufupisha story)
Nimeamua kuleta stori hii ya niliyopitia ktk maisha yang ya mahisiano ili Wanaume au vijana wenzang mkae chonjo sana na wanawake mana ni HATARI SANA si wa kuamini kabsa.....pia Nanyi Wanawake mwache Tabia ya kutubambika Watoto na kutupa majukum yasiyotuhusu....mwshowe si mzur.....
NAWASILISHA NDUGU ZANGU......Nakarbisha ushaur, maoni, mjadala na pia kama ww umeptia kama niliyoptia....KARIBUNI....
Basi usimlaumu kwa maamuzi aliyoyachukuaSs hlo ni swal la kumuuliza mwanaume kweliiii?!
ni viumbe hatari kupita kiasi. miaka hiyo nipo misri, nilikuwa nakula dada mmoja hivi, akawa amependa azae na mimi kwa kunitegeshea, kumbe sijui ana tatizo gani, hashiki mimba. mimi nikaendelea tu naule ujinga. alipoona hashiki mimba, na mimi nilikuwa nimesafiri, na anahitaji hiyo mimba ili anichune vizuri, akaenda kwa dada mmoja hivi shosti yake mjamzito, akala naye dili kuwa siku nitakayorudi kwake (ni sehemu napitaga tu kibiashara na alikuwa mzigo wa njiani) akojoe mkojo kwenye kichupa, ajenao anionyeshe kuwa ameshika mimba. akafanya hivyo, nikaenda kununua PT nikamwambia aende bafuni akalete kojo, kumbe huko ndio alificha ule mkojo, akaja nao, nikapima nikaona vimistari viwili. sinaga desturi ya kutoa mimba, nikakubaliana naye kuwa azae tu nitalea.Habar ya wakat huu ndugu zang wana JF?
Mimi ni kijana chin ya miaka ya miaka 35, Elimu yang ni ngaz ya kat na juu (diploma + degree), nimejiajiri, mchaga.
Nilipokuwa bado ktk masomo yang ya ngaz ya kat na juu, niliingia kwenye mahusiano na binti mmoja aliyekuwa nyuma yang kdgo ktk ngaz ya elim lakin mbele yang kdgo kiumri. Binti alitokea kunipenda sana kupndukia lakin kwa upande wang haikunishangaza sana kwasabab niko na uzefu wa kupendwa na sijawah wala siamin ktk kutongoza had nimeoa sasa.
Kwa kuwa napenda uwaz na kuishi kwa mipango, siku moja nilimweka waz juu ya mpango wang kwako, Ya kwamba sina mpango wa kumuoa kwa sabab mbalmbal, moja wapo ni kuwa. Hakuwa wife material kwang, hvyo ikibidi tuachane mapema au akifkia muda wa kuolewa aolewe kwa aman, pa1 na maleng yake mengine. Kwa ufup hakukubaliana na uamuz wala mpang wang, hvyo kutokana na msimamo wang aliniomba walau anizalie ili awe na kop yang.
Nilitafakar kwa kipnd ombi lake, hasa kuhusu "future" ya mtoto wang kwasabab huwa sifany jambo bila mpango na maleng. Baada ya kunishnikiza sana juu ya ombi lake nilimkubalia lakin kwa utaratb maalum ikiwa imebak miez kdhaa yy kumaliza masomo alinifuata mko nilipokuwa nasoma chuo, tulikutana kama kawaida na baada kuondoka muda mchache alipaniambia ni mjamzto nam nikaenda kuthibitisha hlo.
Maisha yaliendelea nikalea mimba kwa shida sana mana ckuwa na mkopo bali nilifanya biashara ndgo ndgo chuon ili kusapot malez ya mtoto. Wakat mwngne ilinilazim kuamka usiku mnene niondoke chuo kwnda nyumba aliyopanga (baada ya kumaliza chuo) kumsaidia mtoto akiugua na changamoto nyingnezo, nilisimamia mtoto akabatzwa kwa jina nililompa mm, nimpleka tohara (kutahiriwa) na mengne meng.
Kwa ufup sana nilimlea mtoto had akafkisha miaka miwil na miez michache kufka miaka mi 3. Nilipokuwa narud DSM baada ya kumaliza chuo; tulikuwa na mgogoro mm na yy (mama mtoto) kisa nilimwambia ntamwtaji mtoto atakapoanza shule nimsomeshe, alikata mawasiliano na mm kwa wiki moja na mm nilijua kuwa ni hasira hvyo yakiisha atanielewa, matokeo yake alikuja na Taarifa kuwa YULE SI MTOTO WNG, baba yake halisi amerud alipokuwa. Nilipatwa na mshtuko mkubwa sana na kuishia kuwa na mawazo sana, hasa nikiwaza changamoto nilizoptia, niliwaza hata kumfanyia jambo baya sana lakn bado nafsi ilirud nyuma kwa kuwa pia nimelewa ktk mazngra ya kdin sana.
Mwshowe mama yang aligundua kuwa nilikuwa naptia hyo changamoto na kunisihii nisahau pia nisifanye maamuz mabaya yatayoharib maisha yang baadae, pia alinitia moyo kuwa mungu atanipa wang na mengne meng, hvyo niliamua kusahau na kuendelea na maisha.
Miaka minne mbele nilioa, na nilifanikiwa kupata mtoto, na maendeleo mengne, miaka imepta lakin kuna wakat moyo uniuma sana nikikumbuka nyuma, hasa nitafakar namna lavyonipenda, na kuniheshim sana, mbaya zaid hakujal mapito niliyoptia kumlea hyo mtoto, lakin pia kejel za hyo baba halis ambaye sikuwah kumfaham hata kwa sura (ss nimeshamwona pchan kwa ktk jithada za kumfaham) kwmba sikuwa nimechangia chochote, hata nikifungua kesi (kipnd kile)
Kwakuwa sikuwahi kuombwa radhi kwa yote bas sihawaji kuhisi msamehee hyo mwanamke pa1 na hyo bwana.
Maswal niliyobaki nayo (kujiuliza):
(1) Kwann hakuniacha tu kama ilijua kuna mtu mwngne pembeni
(2) Hata baada ya kujifungua, kwann hakuniambia mapema ili nisiendelee kupoteza muda wang mana wahenga husema ajuae baba halis wa mtoto ni mama.
(3) Je, kunipenda kote kule ilikuwa maigizo?
ATHARI NILIZOPATA KISAIKOLOJIA
(1) Najiuliza Hivi hata hyu niliye nae japo kuna mfanano ni wang?
(2) Mke wangu sijawahi mpa hii story ss nawaza hata nikmwabia nihitaji kumpma mtoto DNA atanielewaje!? Na je hao wanaopima DNA watanipa majb ya kwel au ndio kutakuwa na BIAS ili kutovunja ndoa!?
(3) Sina iman kabsa juu ya mwanamke yyte.
(4) Hali ile ilinifanya nifkiri kuwa mkatili kwa wanawake na pia nisiwe na mpangi wowote na kuoa....lakin kwa neema ya Mungu alikuwa ameshamwandaa mwanamke kwaajili yangu (mke wng sasa)
MWISHO (nimejarb sana kufupisha story)
Nimeamua kuleta stori hii ya niliyopitia ktk maisha yang ya mahisiano ili Wanaume au vijana wenzang mkae chonjo sana na wanawake mana ni HATARI SANA si wa kuamini kabsa, pia Nanyi Wanawake mwache Tabia ya kutubambika Watoto na kutupa majukum yasiyotuhusu, mwshowe si mzuri.
NAWASILISHA NDUGU ZANGU. Nakarbisha ushaur, maoni, mjadala na pia kama ww umeptia kama niliyoptia.
KARIBUNI.
Hilo swali muulize dingi yako atakujibu,mama yako ni mzuri kwako ila kwa baba yako ndio anajua maswaibu aliyopitiaKama baba ako alivyomchukulia mama ako, au sio mwamba? Kula tano umenikosha sana!
Unaonekana una hasira mno. Uliponiambia tu mtu wa sijui Mozambique hukooo nakufananisha na Mkapa... Mnafanana kitabia(ukorofi na hasira)ni viumbe hatari kupita kiasi. miaka hiyo nipo misri, nilikuwa nakula dada mmoja hivi, akawa amependa azae na mimi kwa kunitegeshea, kumbe sijui ana tatizo gani, hashiki mimba. mimi nikaendelea tu naule ujinga. alipoona hashiki mimba, na mimi nilikuwa nimesafiri, na anahitaji hiyo mimba ili anichune vizuri, akaenda kwa dada mmoja hivi shosti yake mjamzito, akala naye dili kuwa siku nitakayorudi kwake (ni sehemu napitaga tu kibiashara na alikuwa mzigo wa njiani) akojoe mkojo kwenye kichupa, ajenao anionyeshe kuwa ameshika mimba. akafanya hivyo, nikaenda kununua PT nikamwambia aende bafuni akalete kojo, kumbe huko ndio alificha ule mkojo, akaja nao, nikapima nikaona vimistari viwili. sinaga desturi ya kutoa mimba, nikakubaliana naye kuwa azae tu nitalea.
wiki moja baadaye, yule shost wake ambaye pia nilikuwa nimezoeana naye kama shemeji, akawa amekwaruzana naye sijui, nahisi zile hela nilikuwa nampa zilimfanya awe na kiburi, shosti yake akaona wivu na akawa ananitamani. shosti akaomba appointment na mimi siku napita. nikakutana naye guest niliyofikia, ana mimba hivyohivyo, akanipa story yote. ....nikiri nilizini naye pia yeye akiwa na mimba ya mtu mwingine, imagine ana mume, amejazwa mimba na mume, lakini alikuwa ananitamani na alichepuka na mimi na kitumbo chake hivyohivyo.
nikakutana na huyo chepuko, nikamshtukiza, kojoa hapa wakati naangalia, pima, hola hamna mimba wala nini. nikampa story yote, na kwasababu nilikuwa mkorofi sana, nikamwambia kabla sijakupoteza hapa duniani, ukiniona jifanye kama umeona kituo cha polisi.
siandiki ili kutukuza uzinzi, naandika ili ninyi vijana mnaojiona vijogoo mnapendwa na wazinzi, mjue kuwa mnadanganyw atu, hapo mlipo mmepangwa msururu, au la zinapendwa pesa zenu tu. pia jueni uzinzi ni dhambi.
watu wengi sana wanapakaziwa mimba au kuliwa pesa kwa vigezo hivyo. wanawake ni viumbe hatari sana.
Yaani ufanye umalaya uniletee damu sio yangu eti ukiletewa shukuruMtoto hagombewi, endelea na maisha yako tu kama ni wako na Mungu kawajalia maisha atakutafuta tu, damu ni nzito.
Pili usikashifu wanawake kwa zinaa zako binafsi, pengine ungepata wasaa ukakaa na mama yako nae angekuambia kuwa huyo baba anakulea tu wewe sio mwanae wa damu! Baba yako yuko Lindi huko
Kitanda hakizai haramu!
Watoto ni baraka, ukiketewa lea,ukipokonywa hewala.
Wanawake sisi tunaweza kua malaika tukiwa na shida na matatizo tu..... Ila sisi mi mfano halisi wa shetani ni mfano halisi wa mnyama wa mwituni mwenye njaa kali......... Mungu alitupa roho nzuri kwa watu tunaowapenda pekee.... tuliletwa kwa ajil ya kuitunza dunia lkn sis ndio tunaichoma tena kwa cheche.... Usijaribu kumuamini mwanamke anaweza kua vyovyote kuendana na mazingira na wakati..... Anaweza kua na rangi zote duniani.... Hakuna mwanamke mnyenyekevu mbele ya mwanaume asotaka kufanya kitu ambacho yeye anataka...... Mwanamke akinyamaza leo sababu ilofanya anyamaze yaweza kua ni ndogo kama nukta lkn maan yake ni kubwa na inaweza kutikisa jamiii....... Mwanamke kujua ni nn anataka ni ngum mwanamke kutosheka ni ngum....... Hata ww kaka mwenye pesa unaemhudumia mwanamke subili pesa zako ziishe utajua duniani ulikuja mwenyewe......... Ww kaka ambae huna pesa ujui tu mwanamke wako anavyopewa pesa na kugegedwa na wanaume wengine huko nje na ukirudi nyumbani utaonyeshwa kupendwa....... Mwanamke anafanya kile anajua ni cha faida na ni kwa ajili yake tu..... WANAWAKE WABINAFSI SANA UWEZI KUMJUA KWA SABB NYIEMKIONA KITUNDU MNAPOTEZA KUMBUKUMBU...Habar ya wakat huu ndugu zang wana JF?
Mimi ni kijana chin ya miaka ya miaka 35, Elimu yang ni ngaz ya kat na juu (diploma + degree), nimejiajiri, mchaga.
Nilipokuwa bado ktk masomo yang ya ngaz ya kat na juu, niliingia kwenye mahusiano na binti mmoja aliyekuwa nyuma yang kdgo ktk ngaz ya elim lakin mbele yang kdgo kiumri. Binti alitokea kunipenda sana kupndukia lakin kwa upande wang haikunishangaza sana kwasabab niko na uzefu wa kupendwa na sijawah wala siamin ktk kutongoza had nimeoa sasa.
Kwa kuwa napenda uwaz na kuishi kwa mipango, siku moja nilimweka waz juu ya mpango wang kwako, Ya kwamba sina mpango wa kumuoa kwa sabab mbalmbal, moja wapo ni kuwa. Hakuwa wife material kwang, hvyo ikibidi tuachane mapema au akifkia muda wa kuolewa aolewe kwa aman, pa1 na maleng yake mengine. Kwa ufup hakukubaliana na uamuz wala mpang wang, hvyo kutokana na msimamo wang aliniomba walau anizalie ili awe na kop yang.
Nilitafakar kwa kipnd ombi lake, hasa kuhusu "future" ya mtoto wang kwasabab huwa sifany jambo bila mpango na maleng. Baada ya kunishnikiza sana juu ya ombi lake nilimkubalia lakin kwa utaratb maalum ikiwa imebak miez kdhaa yy kumaliza masomo alinifuata mko nilipokuwa nasoma chuo, tulikutana kama kawaida na baada kuondoka muda mchache alipaniambia ni mjamzto nam nikaenda kuthibitisha hlo.
Maisha yaliendelea nikalea mimba kwa shida sana mana ckuwa na mkopo bali nilifanya biashara ndgo ndgo chuon ili kusapot malez ya mtoto. Wakat mwngne ilinilazim kuamka usiku mnene niondoke chuo kwnda nyumba aliyopanga (baada ya kumaliza chuo) kumsaidia mtoto akiugua na changamoto nyingnezo, nilisimamia mtoto akabatzwa kwa jina nililompa mm, nimpleka tohara (kutahiriwa) na mengne meng.
Kwa ufup sana nilimlea mtoto had akafkisha miaka miwil na miez michache kufka miaka mi 3. Nilipokuwa narud DSM baada ya kumaliza chuo; tulikuwa na mgogoro mm na yy (mama mtoto) kisa nilimwambia ntamwtaji mtoto atakapoanza shule nimsomeshe, alikata mawasiliano na mm kwa wiki moja na mm nilijua kuwa ni hasira hvyo yakiisha atanielewa, matokeo yake alikuja na Taarifa kuwa YULE SI MTOTO WNG, baba yake halisi amerud alipokuwa. Nilipatwa na mshtuko mkubwa sana na kuishia kuwa na mawazo sana, hasa nikiwaza changamoto nilizoptia, niliwaza hata kumfanyia jambo baya sana lakn bado nafsi ilirud nyuma kwa kuwa pia nimelewa ktk mazngra ya kdin sana.
Mwshowe mama yang aligundua kuwa nilikuwa naptia hyo changamoto na kunisihii nisahau pia nisifanye maamuz mabaya yatayoharib maisha yang baadae, pia alinitia moyo kuwa mungu atanipa wang na mengne meng, hvyo niliamua kusahau na kuendelea na maisha.
Miaka minne mbele nilioa, na nilifanikiwa kupata mtoto, na maendeleo mengne, miaka imepta lakin kuna wakat moyo uniuma sana nikikumbuka nyuma, hasa nitafakar namna lavyonipenda, na kuniheshim sana, mbaya zaid hakujal mapito niliyoptia kumlea hyo mtoto, lakin pia kejel za hyo baba halis ambaye sikuwah kumfaham hata kwa sura (ss nimeshamwona pchan kwa ktk jithada za kumfaham) kwmba sikuwa nimechangia chochote, hata nikifungua kesi (kipnd kile)
Kwakuwa sikuwahi kuombwa radhi kwa yote bas sihawaji kuhisi msamehee hyo mwanamke pa1 na hyo bwana.
Maswal niliyobaki nayo (kujiuliza):
(1) Kwann hakuniacha tu kama ilijua kuna mtu mwngne pembeni
(2) Hata baada ya kujifungua, kwann hakuniambia mapema ili nisiendelee kupoteza muda wang mana wahenga husema ajuae baba halis wa mtoto ni mama.
(3) Je, kunipenda kote kule ilikuwa maigizo?
ATHARI NILIZOPATA KISAIKOLOJIA
(1) Najiuliza Hivi hata hyu niliye nae japo kuna mfanano ni wang?
(2) Mke wangu sijawahi mpa hii story ss nawaza hata nikmwabia nihitaji kumpma mtoto DNA atanielewaje!? Na je hao wanaopima DNA watanipa majb ya kwel au ndio kutakuwa na BIAS ili kutovunja ndoa!?
(3) Sina iman kabsa juu ya mwanamke yyte.
(4) Hali ile ilinifanya nifkiri kuwa mkatili kwa wanawake na pia nisiwe na mpangi wowote na kuoa....lakin kwa neema ya Mungu alikuwa ameshamwandaa mwanamke kwaajili yangu (mke wng sasa)
MWISHO (nimejarb sana kufupisha story)
Nimeamua kuleta stori hii ya niliyopitia ktk maisha yang ya mahisiano ili Wanaume au vijana wenzang mkae chonjo sana na wanawake mana ni HATARI SANA si wa kuamini kabsa, pia Nanyi Wanawake mwache Tabia ya kutubambika Watoto na kutupa majukum yasiyotuhusu, mwshowe si mzuri.
NAWASILISHA NDUGU ZANGU. Nakarbisha ushaur, maoni, mjadala na pia kama ww umeptia kama niliyoptia.
KARIBUNI.
Daah! Umemalza kila kitu fungua uzi kabisa utawakomboa wengiWanawake sisi tunaweza kua malaika tukiwa na shida na matatizo tu..... Ila sisi mi mfano halisi wa shetani ni mfano halisi wa mnyama wa mwituni mwenye njaa kali......... Mungu alitupa roho nzuri kwa watu tunaowapenda pekee.... tuliletwa kwa ajil ya kuitunza dunia lkn sis ndio tunaichoma tena kwa cheche.... Usijaribu kumuamini mwanamke anaweza kua vyovyote kuendana na mazingira na wakati..... Anaweza kua na rangi zote duniani.... Hakuna mwanamke mnyenyekevu mbele ya mwanaume asotaka kufanya kitu ambacho yeye anataka...... Mwanamke akinyamaza leo sababu ilofanya anyamaze yaweza kua ni ndogo kama nukta lkn maan yake ni kubwa na inaweza kutikisa jamiii....... Mwanamke kujua ni nn anataka ni ngum mwanamke kutosheka ni ngum....... Hata ww kaka mwenye pesa unaemhudumia mwanamke subili pesa zako ziishe utajua duniani ulikuja mwenyewe......... Ww kaka ambae huna pesa ujui tu mwanamke wako anavyopewa pesa na kugegedwa na wanaume wengine huko nje na ukirudi nyumbani utaonyeshwa kupendwa....... Mwanamke anafanya kile anajua ni cha faida na ni kwa ajili yake tu..... WANAWAKE WABINAFSI SANA UWEZI KUMJUA KWA SABB NYIEMKIONA KITUNDU MNAPOTEZA KUMBUKUMBU...
[emoji16][emoji16]SawA mkuu ntafunguaDaah! Umemalza kila kitu fungua uzi kabisa utawakomboa wengi
Jamaa alifanya KOSA kubwa sana kuzaa na mwanamke ambae ametuambia alkua hana future nae na alimwambia live, na hilo kosa mwanamke ndo akaona iwe fimbo ya kumchapia....Sijaona uhatari wa mwanamke hapo. Zaidi wewe ndio lofa na bwege mtozeni.
Toka nje na mbalamwezi hii uangalie juu, jipige kifuani mara tatu na useme mimi ni ng'ombe!
Nakushukuru sana ndugu yang kwa mfano huo mwngne hai....yaan seriously kuna mwanaume kwnye comments hapo juu anasema et hajaona uhatar wa hawa wanawake.......pia shukuru mungu sana kwa kujua ukwel kabla ya kubeba majukum ya ubabani viumbe hatari kupita kiasi. miaka hiyo nipo misri, nilikuwa nakula dada mmoja hivi, akawa amependa azae na mimi kwa kunitegeshea, kumbe sijui ana tatizo gani, hashiki mimba. mimi nikaendelea tu naule ujinga. alipoona hashiki mimba, na mimi nilikuwa nimesafiri, na anahitaji hiyo mimba ili anichune vizuri, akaenda kwa dada mmoja hivi shosti yake mjamzito, akala naye dili kuwa siku nitakayorudi kwake (ni sehemu napitaga tu kibiashara na alikuwa mzigo wa njiani) akojoe mkojo kwenye kichupa, ajenao anionyeshe kuwa ameshika mimba. akafanya hivyo, nikaenda kununua PT nikamwambia aende bafuni akalete kojo, kumbe huko ndio alificha ule mkojo, akaja nao, nikapima nikaona vimistari viwili. sinaga desturi ya kutoa mimba, nikakubaliana naye kuwa azae tu nitalea.