Aaah wasenge tuAliyewaumba mwenyewe aliwaambia muishi nao kwa akili.
Hapa ndio ulipofeli, uliingia mzima mzima.
Ulofa wake uko wapi hapo unaleta kujuaSijaona uhatari wa mwanamke hapo. Zaidi wewe ndio lofa na bwege mtozeni.
Toka nje na mbalamwezi hii uangalie juu, jipige kifuani mara tatu na useme mimi ni ng'ombe!
Duuh, "kisa kinachogusa kinani mwa mtima wa moyo"... pole sana Mkuu. "women are not people except our moms". Mwanamke akikupenda atakupenda kwa kiwango cha hali juu sana. Ubaya wake ni kwamba, akiamua kukufanyia jambo lolote baya hufanya kwa kiwango kilekile (hali juu) tena bila kujali athari yoyote unayoweza kuipata kihisia na kisaikilojia kwa ujumla.Habar ya wakat huu ndugu zang wana JF,? Mimi ni kijana chin ya miaka ya miaka 35, Elimu yang ni ngaz ya kat na juu (diploma + degree), nimejiajir, mchaga.
Nilipokuwa bado ktk masomo yang ya ngaz ya kat na juu, niliingia kwenye mahusiano na binti mmoja aliyekuwa nyuma yang kdgo ktk ngaz ya elim lakin mbele yang kdgo kiumri. Binti alitokea kunipenda sana kupndukia lakin kwa upande wang haikunishangaza sana kwasabab niko na uzefu wa kupendwa na sijawah wala siamin ktk kutongoza had nimeoa sasa.
Kwa kuwa napenda uwaz na kuishi kwa mipango, siku moja nilimweka waz juu ya mpango wang kwako, Ya kwamba sina mpango wa kumuoa kwa sabab mbalmbal, moja wapo ni kuwa.....Hakuwa wife material kwang....hvyo ikibidi tuachane mapema au akifkia muda wa kuolewa aolewe kwa aman, pa1 na maleng yake mengine. Kwa ufup hakukubaliana na uamuz wala mpang wang, hvyo kutokana na msimamo wang aliniomba walau anizalie ili awe na kop yang.
Nilitafakar kwa kipnd ombi lake, hasa kuhusu "future" ya mtoto wang kwasabab huwa sifany jambo bila mpango na maleng. Baada ya kunishnikiza sana juu ya ombi lake nilimkubalia lakin kwa utaratb maalum.....ikiwa imebak miez kdhaa yy kumaliza masomo alinifuata mko nilipokuwa nasoma chuo.....tulikutana kama kawaida na baada kuondoka muda mchache alipaniambia ni mjamzto nam nikaenda kuthibitisha hlo.
Maisha yaliendelea nikalea mimba kwa shida sana mana ckuwa na mkopo bali nilifanya biashara ndgo ndgo chuon ili kusapot malez ya mtoto. Wakat mwngne ilinilazim kuamka usiku mnene niondoke chuo kwnda nyumba aliyopanga (baada ya kumaliza chuo) kumsaidia mtoto akiugua na changamoto nyingnezo....nilisimamia mtoto akabatzwa kwa jina nililompa mm, nimpleka tohara (kutahiriwa) na mengne meng.
Kwa ufup sana nilimlea mtoto had akafkisha miaka miwil na miez michache kufka miaka mi 3. Nilipokuwa narud DSM baada ya kumaliza chuo; tulikuwa na mgogoro mm na yy (mama mtoto) kisa nilimwambia ntamwtaji mtoto atakapoanza shule nimsomeshe....alikata mawasiliano na mm kwa wiki moja na mm nilijua kuwa ni hasira hvyo yakiisha atanielewa...matokeo yake alikuja na Taarifa kuwa...YULE SI MTOTO WNG..baba yake halisi amerud alipokuwa.....Nilipatwa na mshtuko mkubwa sana na kuishia kuwa na mawazo sana....hasa nikiwaza changamoto nilizoptia....niliwaza hata kumfanyia jambo baya sana lakn bado nafsi ilirud nyuma kwa kuwa pia nimelewa ktk mazngra ya kdin sana....
Mwshowe mama yang aligundua kuwa nilikuwa naptia hyo changamoto na kunisihii nisahau pia nisifanye maamuz mabaya yatayoharib maisha yang baadae...pia alinitia moyo kuwa mungu atanipa wang na mengne meng....hvyo niliamua kusahau na kuendelea na maisha.....
Miaka minne mbele nilioa, na nilifanikiwa kupata mtoto, na maendeleo mengne....miaka imepta lakin kuna wakat moyo uniuma sana nikikumbuka nyuma, hasa nitafakar namna lavyonipenda, na kuniheshim sana....mbaya zaid hakujal mapito niliyoptia kumlea hyo mtoto,,..lakin pia kejel za hyo baba halis ambaye sikuwah kumfaham hata kwa sura.....(ss nimeshamwona pchan kwa ktk jithada za kumfaham)....kwmba sikuwa nimechangia chochote, hata nikifungua kesi (kipnd kile).....
Kwakuwa sikuwahi kuombwa radhi kwa yote bas sihawaji kuhisi msamehee hyo mwanamke pa1 na hyo bwana.....
Maswal niliyobaki nayo (kujiuliza):
(1)Kwann hakuniacha tu kama ilijua kuna mtu mwngne pemben
(2)hata baada ya kujifungua, kwann hakuniambia mapema ili nisiendelee kupoteza muda wang mana wahenga husema ajuae baba halis wa mtoto ni mama.
(3)Je kunipenda kote kule ilikuwa maigizo?!
ATHARI NILIZOPATA KISAIKOLOJIA
(1)Najiuliza Hivi hata hyu niliye nae japo kuna mfanano ni wang!!?
(2)mke wng sijawah mpa hii story ss nawaza hata nikmwabia nihitaji kumpma mtoto DNA atanielewaje!? Na je hao wanaopima DNA watanipa majb ya kwel au ndio kutakuwa na BIAS ili kutovunja ndoa!?
(3) sina iman kabsa juu ya mwanamke yyte.
(4) Hali ile ilinifanya nifkiri kuwa mkatili kwa wanawake na pia nisiwe na mpangi wowote na kuoa....lakin kwa neema ya Mungu alikuwa ameshamwandaa mwanamke kwaajili yangu (mke wng sasa)
MWISHO (nimejarb sana kufupisha story)
Nimeamua kuleta stori hii ya niliyopitia ktk maisha yang ya mahisiano ili Wanaume au vijana wenzang mkae chonjo sana na wanawake mana ni HATARI SANA si wa kuamini kabsa.....pia Nanyi Wanawake mwache Tabia ya kutubambika Watoto na kutupa majukum yasiyotuhusu....mwshowe si mzur.....
NAWASILISHA NDUGU ZANGU......Nakarbisha ushaur, maoni, mjadala na pia kama ww umeptia kama niliyoptia....KARIBUNI....
Hii kweliii kabsaa....mkuu.....Duuh, "kisa kinachogusa kinani mwa mtima wa moyo"... pole sana Mkuu. "women are not people except our moms". Mwanamke akikupenda atakupenda kwa kiwango cha hali juu sana. Ubaya wake ni kwamba, akiamua kukufanyia jambo lolote baya hufanya kwa kiwango kilekile (hali juu) tena bila kujali athari yoyote unayoweza kuipata kihisia na kisaikilojia kwa ujumla.
Kifupi hakuna kiumbe kikatili ktk maisha haya kama mwanamke hasa akiamua kuwa hivyo....
Comment hii huwezi kuielewa kama hujawahi fanyiwa ukatili na viumbe hawa...Umenena mkuu duu......yaan kuna jamaaa humu aliwahiandka uzi wake kuwa USIMWONEE HURUMA MWANAMKE....kuna wakat namwelewaa sana
Exactly, kama jamaa mmoja aliye comment upuuz, hapo juu Kinyamkela....inawezekana hayajamkutaComment hii huwezi kuielewa kama hujawahi fanyiwa ukatili na viumbe hawa...
Ah wapi! Mbona bado hawana maajabu? Ni hatari kwa wapumbavu.!Wanawake ni mama zetu, shangazi zetu, dada zetu, binamu zetu wake zetu, watoto wetu, jirani zetu na michepuko yetu, ila ni hatari kuliko bunduki ya AK 47
Asante kwa ushauri. Ni kweli wanawake sio wakuwaamini kabisa...hawa ni kuwachukulia kama chombo cha starehe tuuHabar ya wakat huu ndugu zang wana JF,? Mimi ni kijana chin ya miaka ya miaka 35, Elimu yang ni ngaz ya kat na juu (diploma + degree), nimejiajir, mchaga.
Nilipokuwa bado ktk masomo yang ya ngaz ya kat na juu, niliingia kwenye mahusiano na binti mmoja aliyekuwa nyuma yang kdgo ktk ngaz ya elim lakin mbele yang kdgo kiumri. Binti alitokea kunipenda sana kupndukia lakin kwa upande wang haikunishangaza sana kwasabab niko na uzefu wa kupendwa na sijawah wala siamin ktk kutongoza had nimeoa sasa.
Kwa kuwa napenda uwaz na kuishi kwa mipango, siku moja nilimweka waz juu ya mpango wang kwako, Ya kwamba sina mpango wa kumuoa kwa sabab mbalmbal, moja wapo ni kuwa.....Hakuwa wife material kwang....hvyo ikibidi tuachane mapema au akifkia muda wa kuolewa aolewe kwa aman, pa1 na maleng yake mengine. Kwa ufup hakukubaliana na uamuz wala mpang wang, hvyo kutokana na msimamo wang aliniomba walau anizalie ili awe na kop yang.
Nilitafakar kwa kipnd ombi lake, hasa kuhusu "future" ya mtoto wang kwasabab huwa sifany jambo bila mpango na maleng. Baada ya kunishnikiza sana juu ya ombi lake nilimkubalia lakin kwa utaratb maalum.....ikiwa imebak miez kdhaa yy kumaliza masomo alinifuata mko nilipokuwa nasoma chuo.....tulikutana kama kawaida na baada kuondoka muda mchache alipaniambia ni mjamzto nam nikaenda kuthibitisha hlo.
Maisha yaliendelea nikalea mimba kwa shida sana mana ckuwa na mkopo bali nilifanya biashara ndgo ndgo chuon ili kusapot malez ya mtoto. Wakat mwngne ilinilazim kuamka usiku mnene niondoke chuo kwnda nyumba aliyopanga (baada ya kumaliza chuo) kumsaidia mtoto akiugua na changamoto nyingnezo....nilisimamia mtoto akabatzwa kwa jina nililompa mm, nimpleka tohara (kutahiriwa) na mengne meng.
Kwa ufup sana nilimlea mtoto had akafkisha miaka miwil na miez michache kufka miaka mi 3. Nilipokuwa narud DSM baada ya kumaliza chuo; tulikuwa na mgogoro mm na yy (mama mtoto) kisa nilimwambia ntamwtaji mtoto atakapoanza shule nimsomeshe....alikata mawasiliano na mm kwa wiki moja na mm nilijua kuwa ni hasira hvyo yakiisha atanielewa...matokeo yake alikuja na Taarifa kuwa...YULE SI MTOTO WNG..baba yake halisi amerud alipokuwa.....Nilipatwa na mshtuko mkubwa sana na kuishia kuwa na mawazo sana....hasa nikiwaza changamoto nilizoptia....niliwaza hata kumfanyia jambo baya sana lakn bado nafsi ilirud nyuma kwa kuwa pia nimelewa ktk mazngra ya kdin sana....
Mwshowe mama yang aligundua kuwa nilikuwa naptia hyo changamoto na kunisihii nisahau pia nisifanye maamuz mabaya yatayoharib maisha yang baadae...pia alinitia moyo kuwa mungu atanipa wang na mengne meng....hvyo niliamua kusahau na kuendelea na maisha.....
Miaka minne mbele nilioa, na nilifanikiwa kupata mtoto, na maendeleo mengne....miaka imepta lakin kuna wakat moyo uniuma sana nikikumbuka nyuma, hasa nitafakar namna lavyonipenda, na kuniheshim sana....mbaya zaid hakujal mapito niliyoptia kumlea hyo mtoto,,..lakin pia kejel za hyo baba halis ambaye sikuwah kumfaham hata kwa sura.....(ss nimeshamwona pchan kwa ktk jithada za kumfaham)....kwmba sikuwa nimechangia chochote, hata nikifungua kesi (kipnd kile).....
Kwakuwa sikuwahi kuombwa radhi kwa yote bas sihawaji kuhisi msamehee hyo mwanamke pa1 na hyo bwana.....
Maswal niliyobaki nayo (kujiuliza):
(1)Kwann hakuniacha tu kama ilijua kuna mtu mwngne pemben
(2)hata baada ya kujifungua, kwann hakuniambia mapema ili nisiendelee kupoteza muda wang mana wahenga husema ajuae baba halis wa mtoto ni mama.
(3)Je kunipenda kote kule ilikuwa maigizo?!
ATHARI NILIZOPATA KISAIKOLOJIA
(1)Najiuliza Hivi hata hyu niliye nae japo kuna mfanano ni wang!!?
(2)mke wng sijawah mpa hii story ss nawaza hata nikmwabia nihitaji kumpma mtoto DNA atanielewaje!? Na je hao wanaopima DNA watanipa majb ya kwel au ndio kutakuwa na BIAS ili kutovunja ndoa!?
(3) sina iman kabsa juu ya mwanamke yyte.
(4) Hali ile ilinifanya nifkiri kuwa mkatili kwa wanawake na pia nisiwe na mpangi wowote na kuoa....lakin kwa neema ya Mungu alikuwa ameshamwandaa mwanamke kwaajili yangu (mke wng sasa)
MWISHO (nimejarb sana kufupisha story)
Nimeamua kuleta stori hii ya niliyopitia ktk maisha yang ya mahisiano ili Wanaume au vijana wenzang mkae chonjo sana na wanawake mana ni HATARI SANA si wa kuamini kabsa.....pia Nanyi Wanawake mwache Tabia ya kutubambika Watoto na kutupa majukum yasiyotuhusu....mwshowe si mzur.....
NAWASILISHA NDUGU ZANGU......Nakarbisha ushaur, maoni, mjadala na pia kama ww umeptia kama niliyoptia....KARIBUNI....
Kwa hivyo Adamu baba yetu sote alikua mpumbvu, Halikadhalika Samsoni naye na wengine wengi. Usiombe yakukute, mwache mleta uzi alie lie, anapunguza msongo wa mawazoAh wapi! Mbona bado hawana maajabu? Ni hatari kwa wapumbavu.!
DuuHabar ya wakat huu ndugu zang wana JF,? Mimi ni kijana chin ya miaka ya miaka 35, Elimu yang ni ngaz ya kat na juu (diploma + degree), nimejiajir, mchaga.

Sometimes wanawake wanakosea sanaHabar ya wakat huu ndugu zang wana JF,? Mimi ni kijana chin ya miaka ya miaka 35, Elimu yang ni ngaz ya kat na juu (diploma + degree), nimejiajir, mchaga.