Wanawake ni viumbe hatari sana, tena sana

Wanawake ni viumbe hatari sana, tena sana

Sasa kama ulijua anakupenda kwanini ulitaka kumuacha au ndiyo mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu

Wewe ulitaka kumuacha eti kisa siyo wife material wakati mwenzio alikupenda na akafa akaoza ila haukujali hilo

Yeye akaona akulipizie kwa njia hiyo unaona kama umeonewa sana kwahiyo wewe ulivyotaka kumuumiza uliona ni sawa
 
Mashukuru mungu niliweza kuendelea na maisha had sasa......Cha ajab nimemwona baba wa hyo mtoto kwnye whatsApp namba niliyopewa na rafk yake hyo mwanake.....anafanana sana na mtoto....

Wewe ndio tatizo. Ukubari kushindwa na kuacha mambo yapite inaonekana bado huyo dem na mtoto wake wapo akilin mwako.
Number zake uliomba za nini wakat mliisha achana na kakwambia mtoto sio wako?

Hizo ni changamoto za kawaida katika maisha ya mahusiano kama ukikosea.
Acha yaliyopita yapite, ukijitia kiherehere kuyafalia yanapita kwenda wapi utaharibu ata kwa uliyonayo sahv.
 
Mkuu kosa kubwa la kiufundi ambalo wanaume wengi wanaingia mkenge "et nataka nikuzalie nitoe copy yako nisikusahau hata tukiachana"...kiufupi mwanamke kama anakupenda na anahitaj kukuzalia hawez kukwambia,atategesha mimba tu..yaan hapo alishakuwa na mimba ya huyo mchizi,alivyokuja na kauli hyo na huenda huyo mchizi alikuwa haeleweki,ndomana akakumata ww boya,na ww ukaingia mkenge!
 
Habar ya wakat huu ndugu zang wana JF,? Mimi ni kijana chin ya miaka ya miaka 35, Elimu yang ni ngaz ya kat na juu (diploma + degree), nimejiajir, mchaga.

Nilipokuwa bado ktk masomo yang ya ngaz ya kat na juu, niliingia kwenye mahusiano na binti mmoja aliyekuwa nyuma yang kdgo ktk ngaz ya elim lakin mbele yang kdgo kiumri. Binti alitokea kunipenda sana kupndukia lakin kwa upande wang haikunishangaza sana kwasabab niko na uzefu wa kupendwa na sijawah wala siamin ktk kutongoza had nimeoa sasa.

Kwa kuwa napenda uwaz na kuishi kwa mipango, siku moja nilimweka waz juu ya mpango wang kwako, Ya kwamba sina mpango wa kumuoa kwa sabab mbalmbal, moja wapo ni kuwa.....Hakuwa wife material kwang....hvyo ikibidi tuachane mapema au akifkia muda wa kuolewa aolewe kwa aman, pa1 na maleng yake mengine. Kwa ufup hakukubaliana na uamuz wala mpang wang, hvyo kutokana na msimamo wang aliniomba walau anizalie ili awe na kop yang.

Nilitafakar kwa kipnd ombi lake, hasa kuhusu "future" ya mtoto wang kwasabab huwa sifany jambo bila mpango na maleng. Baada ya kunishnikiza sana juu ya ombi lake nilimkubalia lakin kwa utaratb maalum.....ikiwa imebak miez kdhaa yy kumaliza masomo alinifuata mko nilipokuwa nasoma chuo.....tulikutana kama kawaida na baada kuondoka muda mchache alipaniambia ni mjamzto nam nikaenda kuthibitisha hlo.

Maisha yaliendelea nikalea mimba kwa shida sana mana ckuwa na mkopo bali nilifanya biashara ndgo ndgo chuon ili kusapot malez ya mtoto. Wakat mwngne ilinilazim kuamka usiku mnene niondoke chuo kwnda nyumba aliyopanga (baada ya kumaliza chuo) kumsaidia mtoto akiugua na changamoto nyingnezo....nilisimamia mtoto akabatzwa kwa jina nililompa mm, nimpleka tohara (kutahiriwa) na mengne meng.

Kwa ufup sana nilimlea mtoto had akafkisha miaka miwil na miez michache kufka miaka mi 3. Nilipokuwa narud DSM baada ya kumaliza chuo; tulikuwa na mgogoro mm na yy (mama mtoto) kisa nilimwambia ntamwtaji mtoto atakapoanza shule nimsomeshe....alikata mawasiliano na mm kwa wiki moja na mm nilijua kuwa ni hasira hvyo yakiisha atanielewa...matokeo yake alikuja na Taarifa kuwa...YULE SI MTOTO WNG..baba yake halisi amerud alipokuwa.....Nilipatwa na mshtuko mkubwa sana na kuishia kuwa na mawazo sana....hasa nikiwaza changamoto nilizoptia....niliwaza hata kumfanyia jambo baya sana lakn bado nafsi ilirud nyuma kwa kuwa pia nimelewa ktk mazngra ya kdin sana....

Mwshowe mama yang aligundua kuwa nilikuwa naptia hyo changamoto na kunisihii nisahau pia nisifanye maamuz mabaya yatayoharib maisha yang baadae...pia alinitia moyo kuwa mungu atanipa wang na mengne meng....hvyo niliamua kusahau na kuendelea na maisha.....

Miaka minne mbele nilioa, na nilifanikiwa kupata mtoto, na maendeleo mengne....miaka imepta lakin kuna wakat moyo uniuma sana nikikumbuka nyuma, hasa nitafakar namna lavyonipenda, na kuniheshim sana....mbaya zaid hakujal mapito niliyoptia kumlea hyo mtoto,,..lakin pia kejel za hyo baba halis ambaye sikuwah kumfaham hata kwa sura.....(ss nimeshamwona pchan kwa ktk jithada za kumfaham)....kwmba sikuwa nimechangia chochote, hata nikifungua kesi (kipnd kile).....

Kwakuwa sikuwahi kuombwa radhi kwa yote bas sihawaji kuhisi msamehee hyo mwanamke pa1 na hyo bwana.....

Maswal niliyobaki nayo (kujiuliza):

(1)Kwann hakuniacha tu kama ilijua kuna mtu mwngne pemben

(2)hata baada ya kujifungua, kwann hakuniambia mapema ili nisiendelee kupoteza muda wang mana wahenga husema ajuae baba halis wa mtoto ni mama.

(3)Je kunipenda kote kule ilikuwa maigizo?!

ATHARI NILIZOPATA KISAIKOLOJIA

(1)Najiuliza Hivi hata hyu niliye nae japo kuna mfanano ni wang!!?

(2)mke wng sijawah mpa hii story ss nawaza hata nikmwabia nihitaji kumpma mtoto DNA atanielewaje!? Na je hao wanaopima DNA watanipa majb ya kwel au ndio kutakuwa na BIAS ili kutovunja ndoa!?

(3) sina iman kabsa juu ya mwanamke yyte.

(4) Hali ile ilinifanya nifkiri kuwa mkatili kwa wanawake na pia nisiwe na mpangi wowote na kuoa....lakin kwa neema ya Mungu alikuwa ameshamwandaa mwanamke kwaajili yangu (mke wng sasa)


MWISHO (nimejarb sana kufupisha story)

Nimeamua kuleta stori hii ya niliyopitia ktk maisha yang ya mahisiano ili Wanaume au vijana wenzang mkae chonjo sana na wanawake mana ni HATARI SANA si wa kuamini kabsa.....pia Nanyi Wanawake mwache Tabia ya kutubambika Watoto na kutupa majukum yasiyotuhusu....mwshowe si mzur.....

NAWASILISHA NDUGU ZANGU......Nakarbisha ushaur, maoni, mjadala na pia kama ww umeptia kama niliyoptia....KARIBUNI....
Wewe jamaa ni mtu mbinafsi sana, unajifikiria hisia zako tu bila kujali wengine ulivuna ulichopanda
 
Kama kweli ulilelewa kidini usingefanya ujinga huo iufanya, ni dharau sana kwa kumzalisha tu mwanamke ili hali huna future naye, mama yako angefanyiwa na baba yako unafikiri ingekuwaje
 
Poleh sana mkuuu m, m naona hyo mwanamke alifanya hayo kulipiza kisasi,yan alikupenda ukampotezea mda wake kirahisi tu ukajaa kumwambia humuoi.wanawake wengne hawajui kunakuchezeana so akaona akukomeshe
 
Wa kwanza kuwa katili ni wewe na mbaya zaidi ulikuwa mbinafsi sasa na yeye akajua wewe ni kichwani hazipo za kutosha akakuleta akakuleta akakuleta akakupa za uso tena za kudumu hadi leo unatoa uzi.
 
Kwani wanaume wenzangu ambao mko interested na ndoa hamuwezi kufanya kuwa na mtoto mpka mtakapo oa ? Kwa nini mnazaa ovyo ?


Mnakuja kuwapa tabu watoto kwenye malezi

Mtoto anahitaji malezi ya baba na mama
Wao (wanawake) wangetia koful au hata komeo tusingeingia ng'o...
 
Sasa kama ulijua anakupenda kwanini ulitaka kumuacha au ndiyo mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu

Wewe ulitaka kumuacha eti kisa siyo wife material wakati mwenzio alikupenda na akafa akaoza ila haukujali hilo

Yeye akaona akulipizie kwa njia hiyo unaona kama umeonewa sana kwahiyo wewe ulivyotaka kumuumiza uliona ni sawa
Tatzo lingine kwa (wanawake) wanapenda kudanganywa.....ukwel nilimwambia ya kuwa sina mpango wa kumuoa.....Ni Kosa tena?!!?
 
Poleh sana mkuuu m, m naona hyo mwanamke alifanya hayo kulipiza kisasi,yan alikupenda ukampotezea mda wake kirahisi tu ukajaa kumwambia humuoi.wanawake wengne hawajui kunakuchezeana so akaona akukomeshe
Hakuna muda unaopotezwa kama mtu hawez kuu_control....(no time 2 waste if u cn't control it).....kanuni yang ktk maisha has mapenz huwa namweleza mtu waz kabxa ajue mstakhabadhi wake ktk hyo meli ya mahusiano.......

Kingine wanawake wanakosea ni kufkiri manaume anawajib wa kufkr juu ya mustakhabadhi wa maisha yake badala ya yy mwenyewe kujfkiria...
 
Amaa kwel.....duuuh...yaan niliwaza sanaa.....huo uroda ilikiwa anatoa huku na huko.....waktk wanachuo weng walijua alivyokuwa kanifia....
Yani wewe ulivyokuwa umemwambia ukweli kuwa humpendi hukuona maumivu yake, Ila ww ndiyo unayaona hayo maumivu. Wanawake wanawake, ata nyie mna mapungufu yenu kibao tuu. Muogope sn m2 anayelipa kisasi kimya kimya, mn moyo wa m2 kichaka.
 
Wa kwanza kuwa katili ni wewe na mbaya zaidi ulikuwa mbinafsi sasa na yeye akajua wewe ni kichwani hazipo za kutosha akakuleta akakuleta akakuleta akakupa za uso tena za kudumu hadi leo unatoa uzi.
Aah mshamba tu huyo mwanamke
 
Wa kwanza kuwa katili ni wewe na mbaya zaidi ulikuwa mbinafsi sasa na yeye akajua wewe ni kichwani hazipo za kutosha akakuleta akakuleta akakuleta akakupa za uso tena za kudumu hadi leo unatoa uzi.
Yeye ndiye katili mkuu, na hajaona yale maumivu ya mwenzie, ilhali alikuwa akimpenda sanaaa. Sasa amelipiziwa kisasi analalama wanawake. Mtupumzishe aisee, wanaume nao wanamapungufu ya kutosha tu.
 
Back
Top Bottom