Wanawake na wanaume naombeni majibu

Wanawake na wanaume naombeni majibu

kuna binti nilimwelewa na kumtazamia kuwa mama watoto lakini akaja kukiri kuhusu historia yake inayonipa probability kwenye uzazi, njia panda napofikiria
Pole mkuu na pongezi kwa huyo mwenzako maana ni wachache wenye kujali kueleza wenzao ukweli mapema.
 
Mwenyezi mungu awape wepesi waja zake hao wasio pata watoto, Ila nadhani ningemshauri mwenzangu tuka chukue mtoto yatima Lakini mchanga tulee wenyewe...
 
Wako wababa hawana uwezo wakuzaa huwarusu wake zao wazae nje, ninajirani yangu kafanya ivo ila mwanamke anamdharau Sana mume wake
 
Wako wababa hawana uwezo wakuzaa huwarusu wake zao wazae nje, ninajirani yangu kafanya ivo ila mwanamke anamdharau Sana mume wake
ugumu unaanzia hapo.
chochote utakachoongea ukibishana naye tu hawakawii kukuambi; kwani na we mwanaume?!!
na wadada au wamama wengi ndio wanakuwaga wa kwanza kunyooshea watu wasiozaa.
kama ni wifi yao basi watasema anawajazia choo.
kama ni shemeji yao basi watataka dadayao atoke akaolewe kwingine.
 
Endeleeni kuishi pamoja huku mkijadiliana namna ya Kuasili mtoto naona kama ni suluhisho. Ila huku kwetu naona watu wengi wanaamini sana kwenye kubeba mimba hii ya kuasili baadhi wanadai eti haiwagusi sana na kujisikia kama wazazi.
Naamini Kila jambo linaanzia kwenye akili yako,kama umeiaminisha akili yako kuwa huyu ni mwanangu haijalishi kama umemzaa au umem asili UTAMPENDA KWA DHATI TU.
Mungu awepe hekima na busara nyingi kwenye uamuzi mtakaouchukua.
 
Zamani upande wa kuumeni wakijua kijana wao anatatizo basi kaka yake atatumwa kumuingilia shemeji yake iliamzalie mdogo wake mwana.siku hizi ni ngumu sana kama mume ndo anashida nirahisi kusolve ila kama mke ndio shida ni ngum kidg.kama mume anashida na kunahaja ya kumfichia aibu,binti huitwa na kuambiwa atafute mimba,kisha mtoto hulelewa mle ndani na hata kaa atoke.
 
Hizi papuchi cku hizi zinatuleta shida kweli
 
Duh hiyo inahitaji busara ya mtu husika! Ingekua ni mie miaka mingi ishapita ningemruhusu tu ajaribu bahati yake.....wanawake sie ndio wenye moyo mkuu wa kulea watoto wa nje wa mwanaume! Kuliko wenzetu
 
Mambo mengine huwezi kuwa na jibu sahihi hadi likutokee..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom