@Nyalotsi maswali yako yanatega sana. Na uzi huu unaniingia kwelikweli kwani the very best frienda of myn yupo ktk hali hii na alishachek ikagundulika yeye ndio mwenye shida.
Ts sad and weakening.
Anyway... Mimi kama ndo ningekuwa ktk hali hyo nisingemuacha mke wangu ili akazae huko....hapo ni kama tatizo nimeshalijua na niko nae muda mrefu. Labda kama sikumpenda au yeye awe hakuwa na mapenzi ya dhati na kaanza vitimbi hapo itabidi tutengane. Ila kama mapenzi hayafi simuachi. Akitaka mtoto tunaenda na option niliyoisema hapo juu.
Ila wakati mwingine wanawake wawe wanajiongeza mapema. Let say umeshare same roof na mume 4 mnths hakuna mimba na umeenda hospt umeonekana mzima. Fanya mambo chepuka wakati ndoa mbichi kabisa..., asilimia 49 inabidi ihusike tu. Hapo ni siri kubwaa.