Wanawake na wanaume naombeni majibu

Wanawake na wanaume naombeni majibu

just imagine tu upo kwenye mazingira ya hivo.
utafanyaje??
Basi tena ndo ntashukuru kwa hali hiyo, nitaadapt mtoto nikae nae japo najua watoto wa kuadapt nao wakikua wakubwa wanatafuta wazazi wao
Hiyo nimewaza kwa upande wangu ningekua hivo, wanaume wengine kabla hata hujaruhusu tayari atakimbia nje kuzaa.....mie binafsi siwezi kuletewa mtoto nimlee ilhali tayari tupo kwenye ndoa it's okay kama nimemkuta nae, akiamua kuzaa nami nikajua ntashika 50 zangu
 
Mkuu, mie kwa ushauri wangu. Kama mna uwezo wa ku adopt mtoto mfanye hivyo lakini mjadiliane na kila mmoja aafiki kwa amani. Kutoka nje ya ndoa kutafuta mtoto ni issue na itawapa shida. Ni bora muadopt kisheria na huyo mtoto atakuwa wa kwenu...
mtoto wa kuadopt hawezi kuwa sehemu ya kizazi chako.
ni tofauti kujua kuwa huyu ni baba/mama yako na kujua kuwa huyu ni mlezi wako tu.
aafu huwezi kujua unajitwisha kizazi cha aina gani!!.
hivi, mbona sarah alimruhusu ibrahimu kupata mtoto kwa suria wake baada ya kujua yeye hawezi kushika mimba??
hata rahel naye alipokuwa hazai alimpa yakobo suria wake azae naye ndio maana watoto wa mjakazi wake wakawa wakubwa kuliko kina yusuph!!!
 
Kumruhusu akazae nje ni kiama... Bora mu asili mtoto./adoption
kwa nini usimruhusu akaenda kuolewa kwingine na wewe ukatafuta mwanamke mwenye watoto ukaishi naye na kulea hao watoto?
 
mtoto wa kuadopt hawezi kuwa sehemu ya kizazi chako.
ni tofauti kujua kuwa huyu ni baba/mama yako na kujua kuwa huyu ni mlezi wako tu.
aafu huwezi kujua unajitwisha kizazi cha aina gani!!.
hivi, mbona sarah alimruhusu ibrahimu kupata mtoto kwa suria wake baada ya kujua yeye hawezi kushika mimba??
hata rahel naye alipokuwa hazai alimpa yakobo suria wake azae naye ndio maana watoto wa mjakazi wake wakawa wakubwa kuliko kina yusuph!!!
wanawake wenye mioyoni ya Sarah hatuexist tena 😀😀
 
Basi tena ndo ntashukuru kwa hali hiyo, nitaadapt mtoto nikae nae japo najua watoto wa kuadapt nao wakikua wakubwa wanatafuta wazazi wao
Hiyo nimewaza kwa upande wangu ningekua hivo, wanaume wengine kabla hata hujaruhusu tayari atakimbia nje kuzaa.....mie binafsi siwezi kuletewa mtoto nimlee ilhali tayari tupo kwenye ndoa it's okay kama nimemkuta nae, akiamua kuzaa nami nikajua ntashika 50 zangu
kwa nini usimruhusu mkaachana kabisa ili yeye akaendelee na mambo mengine kuliko kuanza kutafuta kuishi na mtoto ambaye hamjui mtaishia wapi naye??
 
Kama mume amegundua nina tatizo na yeye hana na nikiona anatamani kuwa na mtoto nitamruhusu akazae tuu.
Ila kama mimi sina tatizo mume analo nitampa moyo na tutachukua watoto yatima tutawafanya kuwa wetu milele
 
wanawake wenye mioyoni ya Sarah hatuexist tena 😀😀
ha ha ha ha.
kwa hiyo miaka hii mpo mnaotaka kukumbatia wenyewe?
akiwa ni kaka yako na mkewe ana tatizo, ndugu mtaruhusu mtoto wa kuadopt awe mrithi wa haki za kaka yenu?
na kumchukulia kama sehemu yenu kama wengine??
na ikiwa wewe uko vizuri na mr ndio shida, utaendelea kumvumilia??
 
Ndio msimamo/mtazamo wangu mkuu kwangu ndoa ni zaidi ya hayo na pia kama mtu hajakosa kizazi kwa maswala yake mwenyewe (kama abortion na magonjwa ya zinaa) basi ni kuacha mwenyezi Mungu atende kazi yake.
kuna binti nilimwelewa na kumtazamia kuwa mama watoto lakini akaja kukiri kuhusu historia yake inayonipa probability kwenye uzazi, njia panda napofikiria
 
Kama mume amegundua nina tatizo na yeye hana na nikiona anatamani kuwa na mtoto nitamruhusu akazae tuu.
Ila kama mimi sina tatizo mume analo nitampa moyo na tutachukua watoto yatima tutawafanya kuwa wetu milele
wewe hutatamani kuwa na wako?
 
JAMANI EEH ! Naingiza taarifa mpya.Siku hizi wanaweza kuzaa hata umri wo wote. HOSPITALI SASA WANAFANYA ZOEZI LA KUTUNGISHA. JIPANGE KIFEDHA UTAPATA MTOTO HATA KWENYE CHUPA YA MAABARA.NI HOSPITALI ZILIZOSHIBA TEKNOLOJIA NA MABINGWA WA KUBOBEA SHULE.. WASIOBAHATISHA
 
ha ha ha ha.
kwa hiyo miaka hii mpo mnaotaka kukumbatia wenyewe?
akiwa ni kaka yako na mkewe ana tatizo, ndugu mtaruhusu mtoto wa kuadopt awe mrithi wa haki za kaka yenu?
na kumchukulia kama sehemu yenu kama wengine??
na ikiwa wewe uko vizuri na mr ndio shida, utaendelea kumvumilia??
Kaka akizaa kwingine ni yeye tu na mtoto akileta ntakaa nae ila mme wangu hapana tuachane akazae salama
 
Mtoto ni Muhimu ila sio lazima..Kama mnapendana kweli mnaweza kuendelea tu na mahusiano
 
Kwann mhangaike kwenda maabara au kuasili damu ya wengne?
Kama mwanaume ndio hana uwezo wa kuzalisha na imethibitshwa kitaalamu basi hana budi kukaa na familia yake pamoja na mkewe ili washauriane na amchukue mdogo wake ama kaka yake ndio amlale mkewe ili apate kuzaa na kuendeleza uzao wa damu moja..

Lakn kama mwanamke ndio tatzo hapo itabidi mwanamke akubali kumleta mdogo wake ili alale na mme wake ili wapate uzao wa damu mmoja hayo yote yanaruhusiwa kimila..
 
@Nyalotsi maswali yako yanatega sana. Na uzi huu unaniingia kwelikweli kwani the very best frienda of myn yupo ktk hali hii na alishachek ikagundulika yeye ndio mwenye shida.
Ts sad and weakening.

Anyway... Mimi kama ndo ningekuwa ktk hali hyo nisingemuacha mke wangu ili akazae huko....hapo ni kama tatizo nimeshalijua na niko nae muda mrefu. Labda kama sikumpenda au yeye awe hakuwa na mapenzi ya dhati na kaanza vitimbi hapo itabidi tutengane. Ila kama mapenzi hayafi simuachi. Akitaka mtoto tunaenda na option niliyoisema hapo juu.

Ila wakati mwingine wanawake wawe wanajiongeza mapema. Let say umeshare same roof na mume 4 mnths hakuna mimba na umeenda hospt umeonekana mzima. Fanya mambo chepuka wakati ndoa mbichi kabisa..., asilimia 49 inabidi ihusike tu. Hapo ni siri kubwaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom