Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,138
ningekuwa karibu ningekukisssss
Nia tu imetosha mamy,thanks.
ningekuwa karibu ningekukisssss
humpendi mkeo wewe, mimi wangu hadi pichu namvalisha, alafu namgeuza nampa kakibao ka mapenz kwenye kalio lake halafu namuambia nenda mamaa! ni ishara ya mapenzi, mwanamke anayekupenda anathamini sana ukimfanyia vitu vidogovidogo kama hivyo kuliko hata kumnunulia hayo magari
it feels good
Si brazier tu, namvua pichu! Nampigia pasi! Nampa comments khs mavazi yk kbl hajaonwa na wa nje! Nampeleka saluun km atapenda! Namnyoa ma**zi! Mbn yp mengi tu ya kumfanyia mam- sap jamani!
Hupaswi kusubiri aombe umsaidie kwanza,akiipachika tu kwa nido kama uko nae room una offer kumsaidia kuifunga!!!
Ni vitu vidogo vidogo tu kama hivi ndio vinamfanya mtu aku miss usipokuwepo!!!
kweli aisee
kama nilivyommis baba watoto kila ikifika wakati wa kufunga zipu
wiki mbili zimekua kama miezi 2
Hupaswi kusubiri aombe umsaidie kwanza,akiipachika tu kwa nido kama uko nae room una offer kumsaidia kuifunga!!!
Ni vitu vidogo vidogo tu kama hivi ndio vinamfanya mtu aku miss usipokuwepo!!!
Mwenzangu...analalamiiiika utafikiri kaombwa amfunge kilemba cha wanaijeria......
Nimecheka sana!!
seriously!! hapo huelewi nini sasa....wanaume wengine so un-romantic! wenzio wanawapenga kamasi wenzi wao wewe unalalamika kufunga bra! kalagha bao. siku utashangaa mkeo kachukuliwa na dereva wa bodaboda anayejua kumvalisha na kumvua sidiria hapo ndo utakapo tia akili
kweli aisee
kama nilivyommis baba watoto kila ikifika wakati wa kufunga zipu
wiki mbili zimekua kama miezi 2
ndio nini hiyo?Mbona hujanidipu nikupigie?
Ah keimamae.... Makamasi tena? Ptuu!!!
Huo sasa utumwa.
Hivi ni kudeka ua vp tukiwa wote utasikia naomba unifungie/unibanie blezia/sidilia yangu mbona nikiwa sipo unujibania mwenyewe
au mitego ya kiutu uzima mimi huwa sielewi elewi haka tabia
wakuu ni mimi tu au sote humu janvini
cc:heaven of earth.lady chaga:kiwatengu:deo cleore.na wana mmu wote
Mwenzangu...analalamiiiika utafikiri kaombwa amfunge kilemba cha wanaijeria......