Wanawake na usumbufu wa kuvaa blezia

Wanawake na usumbufu wa kuvaa blezia

Mbona issue ndogo sana. Mimi underwear, thong namvisha pia...hata pads naingia supermarket kununua...kitu gani bana.
 
Me huwa namuhudumia kila kitu hadi kumshelve mavazi yoteeeee.

Nakushangaa wewe bra una lalamika je kwenda dukani kumnunulia utaweza?
Namna hiyo hata mtu ukisafiri kidogo unammiss,siku mbili unaona mwaka
 
Hivi ni kudeka ua vp tukiwa wote utasikia naomba unifungie/unibanie blezia/sidilia yangu mbona nikiwa sipo unujibania mwenyewe
au mitego ya kiutu uzima mimi huwa sielewi elewi haka tabia

wakuu ni mimi tu au sote humu janvini

cc:heaven of earth.lady chaga:kiwatengu:deo cleore.na wana mmu wote

we huoni raha kumfunga baby wako brazia?

kufungwa brazia raha sana
 
Hahahaaa ana raha sana huyo!

Cyan6 girl, I'm telling you si utani. Hata kumyoa "1600 Pennsylvania Ave." nafanya. There are simple things that I think strengthen the bond between two people. Mimi mchokozi chokozi, mara nimeku-tap your butt, mara nimekubeba juu juu for no reason basi tu. Kitu gani.
 
Cyan6 girl, I'm telling you si utani. Hata kumyoa "1600 Pennsylvania Ave." nafanya. There are simple things that I think strengthen the bond between two people. Mimi mchokozi chokozi, mara nimeku-tap your butt, mara nimekubeba juu juu for no reason basi tu. Kitu gani.

nimekupenda bure
 
ndo maana yakee, inapendeza muogeshane, mpakane mafuta mvalishane, yani hadi shetani anaona wivu

umeona eeeeh mi hubby akiwa around hadi viatu ananivalisha yaaani najiskiaga rahaaaa pata picha
unamwambia hubby nifunge zipu
 
Hivi ni kudeka ua vp tukiwa wote utasikia naomba unifungie/unibanie blezia/sidilia yangu mbona nikiwa sipo unujibania mwenyewe au mitego ya kiutu uzima mimi huwa sielewi elewi haka tabia wakuu ni mimi tu au sote humu janvini cc:heaven of earth.lady chaga:kiwatengu:deo cleore.na wana mmu wote
Na akikwambia njoo uingize kibamia chako huko kwenye handaki lake utaingiza? Na utakuja kulalamika humu?
 
humpendi mkeo wewe, mimi wangu hadi pichu namvalisha, alafu namgeuza nampa kakibao ka mapenz kwenye kalio lake halafu namuambia nenda mamaa! ni ishara ya mapenzi, mwanamke anayekupenda anathamini sana ukimfanyia vitu vidogovidogo kama hivyo kuliko hata kumnunulia hayo magari

Huu ndio ukweli safi sana.
 
Back
Top Bottom