Left back-gunner
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 572
- 234
Kama sikosei wewe ni mfunguaji mzuri wa io kitu...tena hukosei...ukigusa tu imefyatuka....
Na kufunga uwe mwepesi shekhe!....Tuwapende wake zetu Jamani...mapenzi sio kununua Galax6 tu peke yake......Kunyoa nywele za makao makuu, za kwapa, kumkata kucha.....we subiri apate mtu amfanyie ayo mambo halafu ubaki unadai gharama zako....