CORAL
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 2,828
- 1,862
hubby hapa panawashaa nikune!
Acha kudeka wewe
hubby hapa panawashaa nikune!
Acha kudeka wewe
humpendi mkeo wewe, mimi wangu hadi pichu namvalisha, alafu namgeuza nampa kakibao ka mapenz kwenye kalio lake halafu namuambia nenda mamaa! ni ishara ya mapenzi, mwanamke anayekupenda anathamini sana ukimfanyia vitu vidogovidogo kama hivyo kuliko hata kumnunulia hayo magari
mbona hulalamiki kumvua hio bra??? tena una mvua bila kuambiwa.
oa mkuu ukijua mapenz maisha ya kuoa matam sana, sio mleta mada anafikiri mapenz ni kugegeda tu
Hivi ni kudeka ua vp tukiwa wote utasikia naomba unifungie/unibanie blezia/sidilia yangu mbona nikiwa sipo unujibania mwenyewe
au mitego ya kiutu uzima mimi huwa sielewi elewi haka tabia
wakuu ni mimi tu au sote humu janvini
cc:heaven of earth.lady chaga:kiwatengu:deo cleore.na wana mmu wote

Mbona issue ndogo sana. Mimi underwear, thong namvisha pia...hata pads naingia supermarket kununua...kitu gani bana.
Aawwwww!!some men are sooooo sweeeeet,,,those are the things we garls wants,,,just affection.
nadanganywa mie..
Aawwwww!!some men are sooooo sweeeeet,,,those are the things we garls wants,,,just affection.
u dont tag me at all kwa hayo maneno...
she doesnt tag me,,i wonder whom she refers to...
ha aha ha aah...mkuu acha kulalamika actually hiyo sasa ndo mapenzi yenyewe....kumfunga blauzi au kumvalisha sketi...mimi huwa na mnyowa kule chini.....tena na hata nyuma...and we enjoy it.....ndo maana nikisafiri kidogo tu hata siku moja....huwa analia kabisa kama mtoto..inabidi nimbembeleze then naenda safarini.......its an opportunity to show love in aunthencitiyhivi ni kudeka ua vp tukiwa wote utasikia naomba unifungie/unibanie blezia/sidilia yangu mbona nikiwa sipo unujibania mwenyewe
au mitego ya kiutu uzima mimi huwa sielewi elewi haka tabia
wakuu ni mimi tu au sote humu janvini
cc:heaven of earth.lady chaga:kiwatengu:deo cleore.na wana mmu wote