Si brazier tu, namvua pichu! Nampigia pasi! Nampa comments khs mavazi yk kbl hajaonwa na wa nje! Nampeleka saluun km atapenda! Namnyoa ma**zi! Mbn yp mengi tu ya kumfanyia mam- sap jamani!
Kuna watu kwao tafsir ya mapenzi ni kugegedana tu!!!
Siyo kudeka ndo mapenzi hayo unataka akamwambie jirani yako ili wewe usipate usumbufu? mbona hata wewe asipokuwepo kunyosha nguo unanyosha mwenyewe,kubrush ila akiwepo utamwambia yeye akunnyoshee so hivyo vitu ndo huwa vinafanya akukumbuke na wewe umkumbuke anapokuwa mbaliHivi ni kudeka ua vp tukiwa wote utasikia naomba unifungie/unibanie blezia/sidilia yangu mbona nikiwa sipo unujibania mwenyewe
au mitego ya kiutu uzima mimi huwa sielewi elewi haka tabia
wakuu ni mimi tu au sote humu janvini
cc:heaven of earth.lady chaga:kiwatengu:deo cleore.na wana mmu wote
it feels good
Hupaswi kusubiri aombe umsaidie kwanza,akiipachika tu kwa nido kama uko nae room una offer kumsaidia kuifunga!!!
Ni vitu vidogo vidogo tu kama hivi ndio vinamfanya mtu aku miss usipokuwepo!!!
Hupaswi kusubiri aombe umsaidie kwanza,akiipachika tu kwa nido kama uko nae room una offer kumsaidia kuifunga!!!
Ni vitu vidogo vidogo tu kama hivi ndio vinamfanya mtu aku miss usipokuwepo!!!
tema mate tuwachape