Wanawake na sex toys...

Watasema mchana weeee! Usiku watalala! Watachonga sana juu yetu.... Achana nao. Lakini mchumba msamehe bure WANAWAKE ndivyo mlivyo. Mnaoneana wivu sana. Hahahaha! lol!

Unataka kuniambia huyu PJ ni SHE?mbona maneno yake kama HE?kumbe kama ni SHE nimemsamehe bure.Niandelee kulinda mali yangu naona kama wezi wanachungulia kwa mbaali.
 
of all people in JF you Paka jimmy!???I cant believe this,sikutegemea kama kuna haters humu ndani .leo umeonyesha waziwazi makucha yako.
Lengo lako ni kututenganisha hli upate nini? kiumbe mzito wewe!
Huko A-town nimfuate kanda mbili sijui.jina lenyewe kama mganga wa kienyeji.
Naendelea kusisitiza ,nitake radhi, mbona leo umeniamkia unataka kuitibua wikiendi yangu?

Sasa nafuta kauli zangu...unisamehe sana dada ZD!...Sina nia ya kukutenganisha na Chrispin na Mpwa wake Geoff na besti yao Fidel!


Endeleeni kwa maraha yenu!

 
Huyu PakaJimmy akili zake hazina akili kabisaaaa mm naandamana kwa Invisible
 
BujiBuji wasialiana na PJ may be atakuwa anafahamu sehemu zilipo Je Wewe PJ umeulizwa swali la msingi wewe ni She or He maana umedadavua vyema sana please please usikasirike.jibu tu wana JF waelewe
 
..."He" or "She" inaanza kuletesha mtafaruku hapa,...
act your ages wajomba, rudini kwenye mada...

:)
 
..."He" or "She" inaanza kuletesha mtafaruku hapa,...
act your ages wajomba, rudini kwenye mada...

:)

dah, mkuuumeshaamka huko:D

Mi binafsi naamini hakuna anayeshinda uumbaji wa Mungu ulivokuwa tangu mwanzo. Hayo matoy huwa yanaongea? yana hisia? yana passion? yanakula? yanavaa? cause mambo hayo na mengine ndo yanaconsitute a huma being ambaye eventually tinabond na kuform a loving couple...naturally!
 
dah, mkuuumeshaamka huko:D

Mi binafsi naamini hakuna anayeshinda uumbaji wa Mungu ulivokuwa tangu mwanzo. Hayo matoy huwa yanaongea? yana hisia? yana passion? yanakula? yanavaa? cause mambo hayo na mengine ndo yanaconsitute a huma being ambaye eventually tinabond na kuform a loving couple...naturally!

...~kulala hiari, kula lazima!~ :D
 
Jamani wandugu, mie mwenzenu nahtaj kujua kdogo kuhsu hz sex vibrators, cku hz zinapewa nafac kubwa sana katika mapenz.

Mie cjawah kuz2mia, naomba waliowah wanipe somo kdogo, na zinapatikana wap? Ili nichambue pumba na mchele.
 
We huyo demu wako anaekupa style za ajabu ajabu hutoshek nae? Mpaka uanze kutafuta hayo mamashine yasiyofaa? Acha ujinga we katoto!
 
Katoto kajinga utaingia kwenye ujinga halisi sasa,kuna vitu vingine haifai hata kujaribu.
 
Back
Top Bottom