Wanawake na sex toys...

Wanawake na sex toys...

Jamani msaidieni, si ndo na yeye anataka walau kuonyesha ufundi kiduchu?
Hebu google 'how and WHERE to use xex vibrators' labda utapata info.
We huyo demu wako anaekupa style za ajabu ajabu hutoshek nae? Mpaka uanze kutafuta hayo mamashine yasiyofaa? Acha ujinga we katoto!
 
mkuu Katavi Sex Vibrator madude yenyewe kama haya hapa pichani..................

13358721-different-colored-vibrators-in-one-line.jpg
12770422-dildos.jpg

duuh, hapana mi cwez, kwan hakuna vidogodogo?
 
Last edited by a moderator:
jamani nakushauri tu usiinunue hii kitu ni hatari tena zipo zile zenye lube kabisa ukianza kutumia tu kuanzia demu wako utamuona takataka hilo dude ndilo linatakuwa demu wako maana inavuta uume ni balaa kama unahitaji ni pesa za kitanzania Tsh 180,000/=, ni ushauri tu nimekupa na mimi sio muuzaji nimeyakuta kwenye body shop moja hivi

hebu nielekeze hlo duka wng.
 
Wewe katoto kajinga sijui ni mvulana au shostito?kama ni mvulana we ni punga na kama ni msichana basi una K likubwa sanaaaaaaaaaaaaaa!
Yaani duduz zetu huzitaki unataka duduz artificial!Ila sito shangaa hata k za madukani zikiwepo!

mie ni kavulana, nataka kujua 2, swala la ku2mia niachie mwenyew!
 
katoto kajinga. Sex Vibrator zipo za wanawake zunaitwa Dildo ina umbo la uume na wanaume zina umbo la K na vifaa vingi hutumia betri ili kutoa mtetemo ambao hutekenya sasa km ww ni dume acha kutekenywa km ni jike acha pia kwani Dildo haina joto km binadamu na siku ukitaka mtoto hutatamani original na ndio mwanzo wa
 
Last edited by a moderator:
sijatunga....kwani wewe kwa kiswahili unaiitaje.....?

Kwakweli sijui kwa kibantu inaitwaje....lakini tumdadisi huyu kijana kidogo, je anataka kuitumia yeye? Kwa uelevu wangu finyu ni kuwa hiki kifaa ni cha binafsi na hutumiwa na mtu mmoja kama vile inavyopaswa kuwa Mobile phone au PC yako. Hili 'toto jinga' linataka kukitumia mwenyewe(Cameron style) au anamnunulia mwenza zawadi? Bado nashindwa kumuelewa huyu.....nisaidie
 
kwanini kina dada/mama wameamua kujikita katika matumizi ya viungo vya plastiki(sex toys)? tatizo?

Nashangaa wakati hot blooded and strong dushelele zipo
 
Jamani Mungu alipokuwa akituumba alisema haipendezi mwanaume awe peke yake....... Tumfanyie msaidizi....jazeni dunia.....
Nashangaa sana mtu anapoacha asili yake na kufuata tamaduni za kwwnye tv.
Bwana awe nanyi

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Apology accepted. Hiyo nyingine umempakazia. Wiki nzima hii nilikuwa naye bega kwa bega na wapwa na mashemeji zake. Hilo halinitii presha. Tafuta sababu nyingine ya kutugombanisha. Kwa hilo hutafanikiwa.
Hatariii
 
Back
Top Bottom