Mwana va Mutwa
JF-Expert Member
- Jun 9, 2009
- 460
- 55
Yes dear!Nimewahi kusikia watu wanasema kuwa eti mwanamke akikosa mume/mwanamume kwa umri fulani anakuwa na asilimia kubwa ya kuwa kama aliyechanganyikiwa,sijui ni kweli?
hata hivyo mimi sielewi lakini nini hasa kinasababisha wanawake watumie ma-toy kwa kiwango hicho?.
wanawake wengi wanatumia hayo matoi kwakuwa hawaridhishwi na wanaume kwenye tendo kwahiyo wanaona hiyo ndio mbadala wake.tena hao ni wachache kati ya wengi ambao hawaridhishwi,wengi hawaridhishwi na hawajui kama hawaridhishwi kwakuwa hawajui wanatakiwa kufikia hatua gani kwenye tendo lenyewe.